Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

SOMETIME MUWE NA AIBU MAANA KU COMMENT UJINGA KAMA HUU. WIZI UITWE WIZI TU NA HII NI AIBU KUBWA KWAMBA MMESHINDWA KUPIGANA VITA WENYEWE HADI RAIS AWAPIGANIE
Bwashee Hata ungeandika kwa herufi ndogo ungeeleweka tu, povu la Nini, kwani barabarani mnaingia sangapi?
 
Dear hongera sana kwa kupiga kura,Ila ukweli utabaki mwaka huu huyu fisiem wametuamulia yaani huez amini huyo Rashid Gwajima wanaweza wakamtangaza ameshinda. Akati mshindi ni Halima..Umeona Mbeya walichomfanyia sugu

Nimeona dear, nimeshalia mpaka basi. Wametuamulia cha ajabu mpaka sasa viongozi wetu wako kimya wakati uhuni huu unaendelea.
Lissu atakuwa kadhibitiwa, haiwezekani akae kimya mpaka sasa.
Namsubiri aseme chochote...
 
Spana imebana pasipohusika😂😂😂😂😂😂😂😂watu walidhan wao wamiliki pekee wa spana
 
Wapinzani kwa kuvumilia ushenzi huu ,hatuwezi toboa jaribuni kuiga kwa Raila Odinga mjue kwa nini anaheshimika Kenya, au mfanye yale ya Corombia ili kuimaliza ccm. Watu wakufanya kazi hizo wapo.
Mpaka nijue kwanza COROMBIA iko wapi..na walifanya nn ndio nitafanya maamuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom