PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli chama kimekufa, mtu aliyeandika kitabu kuwa lissu ni muongo na mropokaji leo anapokelewa kama Shujaa. Chama hakina watu hiki kinachukua makapi.
Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu.
Siasa hubadilika kuendana na wakati husika.
 
Wakati wa Bwana hauna Kizuizi

Inhawa Dr Slaa alituumiza sana 2015. Ni wazi mambo yalikuja kugundulika mwaka 2025.

Muda huwa ni Mwalimu
 
Cha muhimu aendelee kuitunza kadi ya chama chake CCM. Muda ukifika kusiwe na usumbufu wa yeye kupewa kadi mpya. Kimsingi CHADEMA inamhitaji zaidi Dr Slaa kuliko Slaa anavyoihitaji CHADEMA.
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya. Leo tarehe 23 Machi 2025 Chama kinazindua Operesheni #NoReformsNoElection katika jiji la Mbeya.
 
Mchungaji Msigwa is next…
 
Mbowe's silence is quite conspicuous, where is the man? He ought to collaborate with his party colleagues to actively partake in the ongoing "No Reform, No Election" campaign. The triumph of this movement is intrinsically tied to the nation's progress. This is no time for brooding or behaving with the petulance of a girl when the objective is to unseat CCM from power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…