Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Mumeo, kwahiyo Israel ivamiwe ikae kimya? shame on you, acha wapigwe mpka wapate adabu na wasirudie tena, shetani kabisa wewe, wao walivyoua waisrael walikuwa wanaua kuku?So you can also do that,mmm?? Hivi unajua kwamba hata kuua under any circumstances is evil?Mkuu wars are of the Devil,we as humanity are supposed to live in peace as God's sons and daughter.So the fact that you are endorsing evil,shows clearly that you are of Satan and also evil.
Unaona akili zako,mwanamme atakuwaje na mme,tuachane mkuu,na-share na mtu ambaye siye,wewe ni wa aina ya Netanyahu,so sodomy is okay for you.Mumeo, kwahiyo Israel ivamiwe ikae kimya? shame on you, acha wapigwe mpka wapate adabu na wasirudie tena, shetani kabisa wewe, wao walivyoua waisrael walikuwa wanaua kuku?
Kazi iendeleeRais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023
Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa katika kuimarisha maendeleo na utulivu nchini Tanzania.
The African Times USA imeangazia juhudi za Rais katika kuleta mabadiliko makubwa ambayo yameinua Tanzania katika nyanja za ukuaji wa uchumi, utawala bora, na mageuzi ya kijamii. Jitihada zake za kukuza umoja, demokrasia, na uwezeshaji wa wanawake zimeweka mfano wa kuigwa na viongozi kote barani Afrika.
Heshima hii ni uthibitisho wa kujitolea kwa Rais Samia katika kuhakikisha maendeleo na ustawi wa Tanzania na ahadi yake thabiti kwa ustawi wa wananchi wake.
View attachment 3071105Top 7 Best Performing African Leaders in 2023 - The African Times/USA
TOP RANKINGS The Best Performing African Leaders ranking is an annual report of leaders who have performed better than their peers in the continent of Africa Across Africa's dynamic landscape, seven leaders rise above the challenges, fostering remarkable progress in their respective nations...theafricantimes.com
Hata mimi nashauri ukae pembeni mkuu kwa haya matusi ako nitakuumiza bureUnaona akili zako,mwanamme atakuwaje na mme,tuachane mkuu,na-share na mtu ambaye siye,wewe ni wa aina ya Netanyahu,so sodomy is okay for you.
🤔🙇🏿♂Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023
Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa katika kuimarisha maendeleo na utulivu nchini Tanzania.
The African Times USA imeangazia juhudi za Rais katika kuleta mabadiliko makubwa ambayo yameinua Tanzania katika nyanja za ukuaji wa uchumi, utawala bora, na mageuzi ya kijamii. Jitihada zake za kukuza umoja, demokrasia, na uwezeshaji wa wanawake zimeweka mfano wa kuigwa na viongozi kote barani Afrika.
Heshima hii ni uthibitisho wa kujitolea kwa Rais Samia katika kuhakikisha maendeleo na ustawi wa Tanzania na ahadi yake thabiti kwa ustawi wa wananchi wake.
View attachment 3071105Top 7 Best Performing African Leaders in 2023 - The African Times/USA
TOP RANKINGS The Best Performing African Leaders ranking is an annual report of leaders who have performed better than their peers in the continent of Africa Across Africa's dynamic landscape, seven leaders rise above the challenges, fostering remarkable progress in their respective nations...theafricantimes.com
Upuuzi mtupuRais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023

Hakuna kama mama.Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023

Comment on this👇 please!!!!!!
View attachment 3071729
FaizaFox so whatever you do not like in politics is gutter politics,funny,isn't it.Can you prove to me that it is a cooked story?Gutter politics.
NakaziaLabda bora wa kuuza rasilimali za nchi
Teleprompter🤔Rais Samia ni teleprompter president.
This is forcing indeed.Mbona mnaforce sana?
Biden ndiye Teleprompter President,kumbe hata Samia,duh,hii kali.Teleprompter🤔
Utakuwa chawa wewe lazima.True story, she deserves
Samia utamlinganisha na nani pale ufipani?Utakuwa chawa wewe lazima.
As long as wazungu wanakula nakufanya wanachotaka then you’re the best ilaukiingilia mianya yao,wewe bepari na mkandamiza haki za binadamu acha watu wale nchiRais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023