Dkt. Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu, Zanzibar

DKT. MWIGULU ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar leo tarehe 25 Januari, 2026.

Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

e7fb0523f8844e978894552ab744603f.jpg
c68c1a2826a44982b2467a3b7be340a8.jpg
5c4a86a79c344f88ae99837700d9aa12.jpg
e6cd6bd50fc24113b5944c5c5ef05f61.jpg
b20a9fe53a3545269306e5a443f4191d.jpg
 
Attachments

  • d7d3c2f929e040e18a98bce90e008088.jpg
    d7d3c2f929e040e18a98bce90e008088.jpg
    151.8 KB · Views: 26
  • 08ba0bba58ab47929852179dd1838571.jpg
    08ba0bba58ab47929852179dd1838571.jpg
    95.8 KB · Views: 21
DKT. MWIGULU ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar leo tarehe 25 Januari, 2026.

Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwenye sifa za kihabari, hii sio habari bali ni uchawa tuu wa kumfanyia uchawa PM!.

News ingekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan leo ameendesha kikao cha Kamati kuu Zanzibar, na miongoni mwa waliohudhuria ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu, na wajumbe wengine!.

Huwezi kufanya PM awe lead story wakati kuna watu yeye ni mtu wa 6 kwa seniority kwenye kikao hicho!

Haya ya kumfanyia mtu uchawa kutaka kumpandisha hadi kumu outshine boss wake, mtakuja kumponza bure hilo kasha lenu mwishowe 2030 akaishia kuisikia tuu kwenye bomba!.

Kuna mtu alitumbuliwa kwa kosa tuu la kupiga picha na mtu fulani, huku boss wake hajawahi kupiga picha kama hiyo!, mtu akanuna, akampiga chini!.

Sipingi uchawa ndio ajira mpya ya vijana ila fanyeni basi uchawa kwa akili, unamsifu na kumkuza mdogo huku bosi wake yupo unamdogosha!

Kama ndio hivi si mwaka 2030 majabali yote nchini yaandikwa jina...!.

P
 
Huyu bi chura hakukosea kujiita chura

Yani ni chura copyright!
Hayo mambo ya vikao hayanihusu watajuana wenyewe mapimbi ya kijani!
 
Wanafanyia kikao kwenye hema ofisi zimekuwa za moto.
 
Hyu
Kwenye sifa za kihabari, hii sio habari bali ni uchawa tuu wa kumfanyia uchawa PM!.

News ingekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan leo ameendesha kikao cha Kamati kuu Zanzibar, na miongoni mwa waliohudhuria ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu, na wajumbe wengine!.

Huwezi kufanya PM awe lead story wakati kuna watu yeye ni mtu wa 6 kwa seniority kwenye kikao hicho!

Haya ya kumfanyia mtu uchawa kutaka kumpandisha hadi kumu outshine boss wake, mtakuja kumponza bure hilo kasha lenu mwishowe 2030 akaishia kuisikia tuu kwenye bomba!.

Kuna mtu alitumbuliwa kwa kosa tuu la kupiga picha na mtu fulani, huku boss wake hajawahi kupiga picha kama hiyo!, mtu akanuna, akampiga chini!.

Sipingi uchawa ndio ajira mpya ya vijana ila fanyeni basi uchawa kwa akili, unamsifu na kumkuza mdogo huku bosi wake yupo unamdogosha!

Kama ndio hivi si mwaka 2030 majabali yote nchini yaandikwa jina...!.

P
Huyu ndie pasco ninaye mfahamu juzi na jana na sio Pascal Mayalla wa leo hii.
Asante kwa comment hii.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2026.

Haya ndiyo mashetani yaliyorayibu na kufurahia mauaji ya ndugu zetu. Walaaniwe watu hawa. Sura zao ni chukizo mbele za Mungu na wanadamu.
 
Kuna mtu alitumbuliwa kwa kosa tuu la kupiga picha na mtu fulani, huku boss wake hajawahi kupiga picha kama hiyo!, mtu akanuna, akampiga chini!.
Sidhani kama hii ndio sababu pekee ya kutumbuliwa.
 
Back
Top Bottom