Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,730
- 4,426
Raisi wa kwanza ambaye haishi IKULU🤣🤣🤣!
TANGANYIKA ni pamoto sana
TANGANYIKA ni pamoto sana
[emoji1787]Obviously walikubaliana watafune kungu-manga kabla ya kuingia kwenye kikao hicho haramu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2026.