dkt emmanuel nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Au Nchimbi anafanya kusudi ili kupandisha sukari za watu?

    Ah leo Nchimbi ametoka katikati ya uwanja na kurudi upande wa goli lake amewachambua wote akajifunga bao huku wenzake wakimshangaa. Kwanza kawasifia wanaharakati na kumtaja Maria kama mtu shupavu. Samia alisema wana matendo ya kigaidi. Pili katuambia tupambane tuwezavyo tupate katiba mpya...
  2. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ahimiza Watanzania tupambanie Katiba Mpya. Ni yeye au AI?

    Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania. Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

    Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwamba Watanzania tunapaswa kupambana kupata Katiba Mpya ni kauli kubwa na yenye uzito mkubwa kisiasa. Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya Kwa muda mrefu, madai ya Katiba Mpya yamekuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Haiwezekani mtetezi wa amani akawa adui wa haki, na mtetezi wa haki akawa adui wa amani

    Akizungumza katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Julai 23, 2026, amesisitiza kuwa haki ndio msingi mkuu wa amani na kuwataka Watanzania kutohofu kuisimamia na kuitamka, akieleza kuwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  8. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  9. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sitamani kumuona Nchimbi akiwa Rais

    .
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe. "Chama chetu kinaunga mkono kauli ya Rais wetu yakutaka uchunguzi wa haraka ufanyike...
Back
Top Bottom