Dkt. Mwinyi aongoza matembezi ya kuhamasisha mazoezi na kufunga kambi ya upimaji afya ya moyo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
737
476
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameongoza Matembezi ya kuhamasisha mazoezi ili kulinda afya ya moyo katika kampeni maalumu ya kuzuia magonjwa yasiyoambukiza, pia amefunga kambi ya uchunguzi na tiba ya magonjwa ya moyo yenye kauli mbiu: Tembea na Wizara ya afya na JKCI linda afya ya moyo wako yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Leo Jumamosi, 28 Januari 2023, Uwanja wa Amaan.View attachment 2497966View attachment 2497968View attachment 2497967View attachment 2497971View attachment 2497969View attachment 2497970
IMG-20230128-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom