SMZ NA JKIC

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
732
475
Picha na matukio mbalimbali ya matembezi ya ufungaji wa kambi ya upimaji afya ya moyo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki na kuhamasisha mazoezi ili kulinda afya ya moyo katika kampeni maalumu ya kuzuia magonjwa yasiyoambukiza, pia amefunga kambi ya uchunguzi na tiba ya magonjwa ya moyo yenye kauli mbiu: Tembea na Wizara ya afya na JKCI linda afya ya moyo wako yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Leo Jumamosi, 28 Januari 2023, Uwanja wa Amaan.View attachment 2498264View attachment 2498263View attachment 2498267View attachment 2498265View attachment 2498266View attachment 2498269View attachment 2498268
IMG-20230128-WA0033.jpg
 
Back
Top Bottom