Dkt. Mwakyembe: Bunge liiombe radhi Mahakama

Dkt. Mwakyembe: Bunge liiombe radhi Mahakama

Toka augue mwakiembe huwa anapoteza kumbukumbu angalia jins alivyo piga kilele kuhusu wizi wa rich monda na ulinganishe alivyokaa kimya kwenye japo hili la escrow acc akumbukia kama alipambamba na rich mond, au ilikuwa ni chuki na rais lowas

Tangu alipokataa andiko lake lililohusu shirikisho hata mimi naamini ile dawa haijaisha kichwani. Kwanza alitumia m. 100 kufanya uchunguzi wa Richmond halafu akaficha baadhi ya taarifa. Huyu siyo mtu wa kumwamini hata. Ni opportunist wa hali ya juu sana. Kwa nini mahakama isiombe radhi kulidhalilisha bunge. Watu wengine ni majanga kabisa.
 
Mkuu wote wanajua wanachokifanya it is just a commedy of its kind.just keep cool and see.

mkuu wewe unaakiri sana walio serious hapo niwale wachache tu wasio na maslahi na ccm wengine hapo zito na wenzake ni comedy
 
Nimegundua hapa JF kuna watu wanaandika coment bila kulijua jambo kwa undani kama GT. Wengi wanaanduka si kwa facts ila ni kwa hisia zao kutokana na uungaji mkono wao baina ya CCM na Ukawa. Suala la kuwepo kwa barua toka mhakama kwenda bunge liliibuliwa na ukawa na kusema barua hiyo imepelekwa bungeni na Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya mjadala Ndugai alisema bunge halijapokea barua ya aina hiyo, kwa hiyo barua hiyo ilikuwepo kwa dhana tu. Lissu wakati anachangia alisema "kama barua hiyo ipo" maana yake hata yeye hakua na hakika kama kuna barua ya aina hiyo
 
na Mfuga nyuki kilichomsimamisha kilikua nini????
 
Watapiga chenga hadi watajichenga wenyewe... mwishoni ni kula mweleka kuangukia mat ako
 
Kejeli za namna hii zinakera sana!
Si kejeli. Ubongo unahitaji oksijeni ili ufanye kazi yake, oksijeni haiwezi kuufikia ubongo bila kusafirishwa na damu, sumu iliingia kwenye mfumo wa damu... Unafikiri ubongo wake utakuwa salama? Utakuwa mtu wa ajabu sana kama unakerwa na ukweli.
 
bora angeamua na yeye kuwa kama jamaa wa aina hii tu
 
Attachments

  • 1416593247913.jpg
    1416593247913.jpg
    32.5 KB · Views: 323
Hayo yamesemwa na Waziri Mwakyembe wakati akihitimisha azimio la bunge alilowasilisha. Amesema kitendo cha wabunge kuishambulia mahakama ambayo ni muhimili mwingne hakikustahili na hata yaliyosemwa juu ya mahakama hayana ukweli. Kwan mahakama haijaleta barua kuzuia mjadala wa Escrow. Pia, amemsifia Werema kuwa ni AG makini kwa 100%. Mh. Werema naye kakoment kwa kusema ametenga siku atazungumzia suala la mahakama.

mliocoment ndio hamuelewi mnatawaliwa na hisia tu
 
Nimnafiki mwakyembe yeye aripokuwambunge aripigakerere sana juu ya rechimond reo kapewamadaraka anajifanya ajuirorote
Aisee bwana jameskijaro, reo reo etii razima tuwaseme wahatuwezi kwa rorote eti eeh?...!!&?? Haa ha haa
 
tufanye akili zetu kufikiri sawasawa,tusiongozwe na mawazo au hisia za mawazo ya wengine,tupambanue mambo kwa uhakika,ndio useme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom