Dkt. Mwaka akinukisha nini tena?

Dkt. Mwaka akinukisha nini tena?

Haya ni mambo ya hovyo hovyo tu ya uswahili usio na tija.
 
Ujinga tu, sasa Mwaka aje na ushahidi... hapo Ngoma imeisha,
 
Buana weee, kwani nani kasema viongozi wote wa kidini ni wasafi?

Tuache unafiki, kama mtu ana tuhuma za kweli na zisemwe...
 
Wamejipanga au wamepangwa na shehe kutetea naona clip baada ya clip kumshambulia mwaka
 
Mwaka kachafua hali ya hewa😀😀Alisema masheikh wacha Mungu wapo,lakini pia kuna masheikh waovu akasisitiza ushahidi upo!
 
Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka:


Samahani mama, niko nje ya mada. Naomba connection yoyote ile. Mtaani kugumu! Mimi kijana wako naishi chini ya dola moja kwa siku.

Chonde chonde mama! Hata kazi ya ulinzi naimudu vizuri.
 
Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka:


Ni nani huyu? Binafsi simfahamu na anadai Dunia nzima inamfahamu...mimi nipo Duniani sijaenda hata sayari ya karibu tu hapo. Nadhani pia anapaswa apunguze jazba. Ajielezee kwa utulivu mzuri. Amani haichafuki kirahisi kama anavyodhani. Na pengine anataka kuza jambo hilo analolizungumzia. Huyo Mwaka ni nani mpaka achafue amani? Some people are just to be ignored.
 
Back
Top Bottom