Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Mimi nahisi wewe ndugu yangu Kuna mambo huyajui Kabisa lakini pia hujataka kuelewa ama kuuliza.Mfano point yako namba tatu(03).Naona uko mweupe kabisa jukumu la kuteua wasimamizi ni la baraza lenyewe ila wamekasimisha madaraka hayo wilayani na mkoani sasa Baraza NECTA walipoamua kuteua au kufanya kazi Yao shida Iko wapi?? Point namba mbili (02) pia uongo kwani walimu wapya wanaitwa kusahihisha. Dr.Msonde sana sana alithibiti na kupunguza mitihani kuvuja.
 
... shule gani hizo zinatoa mlungula ili zing'are?
Nafikiri haelewi huyo shule ya waislamu kama Feza ihonge au ya wakristo ya St Francis wahonge kwa lipi?
Wanafunzi wao ni cream na walimu wanao the best

Au shule za vipaji za Serikali kama Mzumbe na Kibaha wanunue mtihani ili iweje .Watoto wana uwezo mkubwa wa kutisha

Nafikiri huyo mdini anafikiri kufaulu ni kitu cha upendeleo tu

Nidhamu tu ya hizo shule ziko juu mno huwezi linganisha hata na za watoto wanaosoma madrasa ya kiislamu
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Huyo jamaa anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini naona ya kwako ni makubwa zaidi.
 
Kwa maelezo yako sidhani kama unamfahamu kiundani, ila kuna mambo uliya chukia ya baraza na ukayahusisha moja kwa moja na Dr Msonde. Kama kuna kiongozi ni mnyenyekevu na ana heshimu kazi yake basi ni Dr Msonde.

Mengine kiutendaji hauwezi kuwa ni uamuzi wa kwake binafsi, management mara nyingi ndio hutoa ushauri na kazi yake ni kusimamia utekelezaji. Ama kuhusu wasahihishaji inawezekana wamebaini mapungufu lukuki kuhusu Markers vijana, wengi hawako serious!! Wanapewa kazi wanaendekeza ubishoo.
 
Kitendo cha KUWATUMIA WALIMU Shule za msingi kusimamia mitihani kidato cha NNE lilikuwa kosa la kiufundi. Jambo hili liliwaudhi wakubwa
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
JPM amewaachia hangover mbaya sana. Haiishi.
 
Kwa bandiko hili,hivi ww ulistahili kwenda Urusi kweli?🚮
 
Wee ni ngurue huna akili na inaonekana ulifeli masomo yote hadi ya dini yako na utaendelea kufeli hadi maisha...
Huna hoja ya ukweli hata moja watu wapumbavu kama nyie mnavisirini na watu kwasabab walikataa kukubali upumbav wenu sasa mmeona katoka mnazusha...
 
Mtoa uzi umeandika ukiwa umekunywa pombe za kienyeji,tena gongo la kinyesi.
 
Wee ni ngurue huna akili na inaonekana ulifeli masomo yote hadi ya dini yako na utaendelea kufeli hadi maisha...
Huna hoja ya ukweli hata moja watu wapumbavu kama nyie mnavisirini na watu kwasabab walikataa kukubali upumbav wenu sasa mmeona katoka mnazusha...
Mbona hasira nyingi kunywa maji mengi basi dada
 
"TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO" by Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe mleta mada ni muongo sana. Hayo uliyoandika huwezi hatari kuthibitisha. Acha kudhalilisha waalimu wenzio.
 
Back
Top Bottom