Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

Dr Msonde kaifikisha NECTA mbali Sana NECTA imekua NI miongoni mwa taasisi chache zinazofanya kazi Kwa uweledi uliotikuka xana
Dr Msonde amedhibiti mivujo ktk mitihani Kwa SASA huwezi kuona iyo kitu
Dr Msonde amedhibiti vyetu feki sasa huwezi kukuta MABASHITE maofisini
Dr Msonde ndie alieleta mapinduz kutoka utahini WA kimaudhui (content)au mitihani ya kukariri na kwenda ktk upimaji WA Umahiri computes base
Dr Msonde katutoa toka 24hrs ya confidential ambayo ilitoa upenyo WA uvujaji WA Mitihani ya vitendo (practical) mpaka 4 hrs
Dr Msonde ameanza kututia usahihishaji WA mikono manual na kutupeleka E-marking mfumo ambao itaokoa mamilioni ya fedha za walipa Kodi
DR MSONDE NI MFANO MZUR YA WAZALENDO WA KWELI WA. TAIFA HILI
kesho ntaleta Uzi unaonitegemea kuhusu yeye
 
Kama itathibitika kuwa kweli hayo usemayo basi uamuzi wa kumuondoa pale ni mzuri.
 
Bi.ushungi anahangaika bure na Msonde wambie ndugu zako huko pemba/unguja waache kuoza watoto wadogo, wasome.
Mjahidina Proffessor Kighoma Malima alikuja na theory fake kuwa mitihani wakristo wanaendelewa sababu majina ya mitihani ya Kikristo akaja na kuwa kuwe na namba tu msahihishaji asijue karatasi anayosahihisha ni ya Mkristo au muislamu anatoka shule gani

Matokeo bado shule za kiislamu zinashika mkia kwa kufeli sababu wanawekeza zaidi kwenye madrasa na elimu ya kiislamu kuliko elimu dunia

Elimu dunia inetoka nchi za wakristo sio uarabuni kwa Mohamed

Kwa hiyo kuona wakristo wengi wakifanya vizuri elimu dunia sio kitu cha ajabu
 
Ila ile ya ufaulu wa Shule ya Chato gafla kuwa kinara binafsi ilinidhangaza sana wakati ule!
 
Kwa bandiko hili,hivi ww ulistahili kwenda Urusi kweli?[emoji706]
Urusi kwa walevi wa Vodka. Huyu anaonekana ni mlevi.
Eti Msonde alikuwa anapendelea baadhi ya shule, duh! Huyu ni wakukamata akatoe ushahidi kwenye vyombo vya dola.
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Acha upuuzi. Umetumwa au? Hatukuelewi. Msonde hachafuki. Kajipange upya.
 
Ni kweli , kuna walimu kwenda kusahihisha ni lazima , sio ombi ,kila mwaka wanaenda walawale,
Acha uongo. Namba 2 ni uongo sababu ya wingi wa watahiniwa na idadi ya masomo, kuna watu wanaofanya hiyo kazi ya kuchagua wala sio yeye.
Namba 6 ilikuwepo toka zamani, yeye sio mwanzilishi.
Nafikiri hoja yako ni namba 6, acha Udini hauna faida kwenye maendeleo.
 
Huyu mwandishi mpumbavu kweli! Hajui kuwa hiyo shule ya Chato hata mwaka jana imefanya vizuri sana tu! Hawa wakisikia cha to eanachukia wakisikia St Fransis wanachekelea! Kuna watu wapuuzi sana aese!
"TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO" by Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe mleta mada ni muongo sana. Hayo uliyoandika huwezi hatari kuthibitisha. Acha kudhalilisha waalimu wenzio.
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Kaka kuna serious allegations hapa ambazo mmmh.
 
Walimu wa msingi kusimamia sekondari na sekondari msingi!! ulikuwa ujinga Sana!!
Kama si maslahi ya kiuchumi ambayo walimu wengi wanalalamika kuyakosa zoezi la walimu wa sekondari kusimamia msingi limekuwa na manufaa makubwa sana hasa katika kudhibiti udanganyifu.

Tatizo kubwa lililopo ni walimu kutojali kutenda haki na kutanguliza pesa,,udanganyifu katika mitihani hasa ya shule ya msingi na baadhi ya sekondari binafsi ni mkubwa wakuu wa shule wanawatafuta wasimamizi ili kutengeneza mazingira ya udanganyifu na ukizingatia katika halmashauri kadhaa kulikuwa na wasimamizi wao wa kudumu ambao ndo mabingwa wa hujuma wao walikuwa hawajali kutenda haki isipokuwa ni kuona wanakwenda kunafaika kiasi gani katika zoezi la mitihani.
Hakika kati ya jambo la kupongeza baraza ni hili la wasimamizi kutojulikana mapema na wasimamizi wakuu kutoteuliwa na halmashauri maana halmashauri nyingi ni mwendo wa kujuana tu na sio weredi.

Fuatilia hata nje ya mitihani katika idara ya elimu enzi za nyuma walimu waliokuwa wanapata promosheni mara nyingi walikuwa ni wachapakazi kwelikweli lakini miaka ya hivi karibuni unakuta mtu anateuliwa kuwa mkuu wa shule au afisa elimu kata wakati kazini kwake alishindwa kupeform vizuri akiwa mwalimu wa darasa wale wenye weredi hawapati promosheni kisa tu hawapo karibu na maafisa wateuaji
Rushwa rushwa na connection huku kwenye serikali za mitaa.ofcoz serikali iangalie morali ya watu kufanya kazi inashuka kutokana na rushwa na upendeleo wa waziwazi wenye uwezo mdogo wanapewa madaraka wenye uwezo mkubwa wanaachwa.
 
Badoo takwimu za matokeo ni zile zile tu Hata kama wasimamizi ni primary!!hakuna tija hapo!
 
Primary hawawezi kufanya hujuma mtihani wa sekondari,,kitu cha msingi labda hakuna uhakika kama walimu wanaoenda kusimamia primary wakitokea sekondari hawawezi kuwa bribed,,maana tatizo kubwa ni walimu kuendekeza njaa
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Watakaokusupport kwa huu ujinga ulioandika ni watu wasio kwenye sekta ta Elimu na wasuoweza kufikiri kwa undani juu ya ukweli wa statement na kufikia hitimisho.
HOJA YAKO NAMBA 1.
1. "Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake".

Imekaa kimbeambea..kama upo Tanzania na mdau wa Elimu ungeweka mwaka ambao chato iliongoza na shule ambayo wewe unaona ikiongoza lakin haikustahili.
Mfumo wa uendeshaji wa necta sio wa mtu mmoja. Kila hatua mpaka matokeo kutangazwa kuna watu tofauti na kila mtu human ya kazi kazi yake bila kujua anaefuata ni nani na anakazi gani.

HOJA YAKO NAMBA 2.

2. "Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu".

kwa hoja hiyo nikisoma between the line naweza kuhitimisha kuwa wewe sio mwalimu. Ikiwa n mwalimu basi si wa sekondari ambaye huenda kusahihisha mitihani.
Mfumo unaotumika na NECTA ambao Msonde aliuleta na kuufanya fair ni mfumo wa 1/3 (one third) kwenye panel. Na kuna masharti ya kutosha ili kuwapa uzoefu walimu wachanga.
Kwa taarifa yako tu kwa sasa usahihishaji utakua wa online. Ameanzisha huyohuyo ambaye wewe humpendi.
Kwa ufahamu wako uliouonyesha hapa kwenye posti yako. we huko Russia ulikuwa unaenda kudhalilisha Taifa bora hata ulivyobakia hapahapa.

HOJA NAMBA 3
3. "Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu".

Hauna unalofahamu kuhusu usiri na usalama wa mitihani. Kaa zako kimya.

HOJA YAKO NAMBA 4.
4. "Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita".

Mfumo wa sasa wa kusimamia unatumika baada ya utafiti ili kuzuia uvujaji wa mitihani. Na umefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Taaluma ya mwalimu katika kusimamia haimsaidii mtahiniwa. Wewe kama msekondari ukienda kusimamia msingi hakuna uhusiano wa taaluma yako na kanuni za usimamizi. Kama wewe ni msingi kwwenda kusimamia msekondari, kiwango chako kidogo cha elimu hakimuathiri unayemsimamia.
Kanuni za usimamizi wa mitihani ni General na zinaapply Kote Msingi na sekondari na si degree yako.

HOJA NAMBA 5.
5. "Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi".

Hauna tafiti na ushahidi wa kutosha dhidi yake. Acha roho mbaya mtanzania mwenzetu. Kama una ushahidi fika TAKUKURU. lakini shule kama feza nk unataka ishike Mkia shule ya kata iongoze?

HOJA NAMBA 6
6. "Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu".

Dr Msonde hatungi mtihani. Utaratibu wa utungaji wa mtihani ni very complex. Kuna cordinators wa masomo NECTA na wanaofanya moderation za mitihani n walimu wa kawaida lakin sio kama wewe.

Mtihani kuwa wa kuchagua pekee haumaanishi kuwa ni wa kiwango cha chini.
Mtihani unatakiwa kupima viwango vyote. (Remembering, Comprehend, application, analyse, synthesis, evaluation.) upimaji kama wewe n mwalimu utakuwa umenielewa ila kama umekuja kutembea huwezi kuelewa hili.
Mwisho mtihani wa darasa la saba unasahihishwa na machine lakin pia hata kama machine bado itahitaji human resource atakaye operate. Maswali ya mwisho hayasahihishwi na machine yanasahihishwa na walimu lakin sio wewe mwenye ufahamu mdogo.
Mtihani ya kidato pili, nne, na sita inasahihishwa na walimu sio machine.

Mwisho...
Fahamu kuwa jukumu la NECTA n kupima upimaji . Jukumu la TIE n mtaala. Weza kutofautisha taasis zilizopo chini ya wizara ya Elimu na majukumu yake.

PENDA KUJIFUNZA. HATA MIMI NINGEKUWA MSONDE NINGECANCELL HYO SCHOLARSHIP YAKO INGAWA SIJUI N KWA VIP MTU WA BARAZA AZUIE SCHOLARSHIP YAKO BADALA YA KATIBU MKUU UTUMISHI.
 
Mtoa mada ni MUONGO wa kutupwa. Hujui mambo mengi kuhusu hilo baraza la mitihani, ualimu wala wizara ya elimu.

Umeongozwa na chuki kubwa kuweka bandiko lako hili lisilo la kiuchunguzi.

Poor Poor Poor
 
Mkuu umemjibu vyema mtoaa mada.
Nimemshangaa sana jinsi alivyo mtupu kwenye sekta ya elimu halafu anajifanya kutoa mada ya hovyohovyo.
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Jamaa alikuwa hafai kabisa!
 
Nafikiri haelewi huyo shule ya waislamu kama Feza ihonge au ya wakristo ya St Francis wahonge kwa lipi?
Wanafunzi wao ni cream na walimu wanao the best

Au shule za vipaji za Serikali kama Mzumbe na Kibaha wanunue mtihani ili iweje .Watoto wana uwezo mkubwa wa kutisha

Nafikiri huyo mdini anafikiri kufaulu ni kitu cha upendeleo tu

Nidhamu tu ya hizo shule ziko juu mno huwezi linganisha hata na za watoto wanaosoma madrasa ya kiislamu
yaani Wala nguruwe ndio wanasikitika kuondolewa kwa huyo Msonde hapo Necta, utagundua wakristo Ni watu hatari Sana aisee,Wana udini tofauti na wenzao waislamu
 
Back
Top Bottom