Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Sawa soko la China na uchumi wa china umeyunga na Tanzania ni Mdau mkubwa kibiashara na China lakn swali Je ina maana mizigo yooote iliyokuwa inashukua hapo bandarini inatokea China? Na Je kama TZ ni Mdau mkubwa wa kibiashara na China vp hizo nchi ambazo c Mdau wa kibiashara na China zenyewe zimekuwaje?
Labda anataka kutuambia kwamba Tanzania sasa ni mkoa wa China kwa hiyo vitu vyote vinavyoingizwa nchini hata kama hivitengenezwi china ila nI lazima kwanza vipitie china kwanza ndipo viletwe Tanyania
 
Ila kuna haja ya kufkri kwa mapana kuna kitu gan cha pekee kilichokua kinafanyika awamu iliopita kufanya mizigo kuwa mingi ambacho sasa hakinyiki na kuasababisha mizigo kufungua?
 
HATUA ya kupungua kwa mizigo
inayotoka nje ya nchi kwenye
Bandari ya Salama haitokani na
ongezeko la kodi, anaadika
Regina Mkonde.

Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mpango amesema kuwa, pamoja na kuwepo kwa madai kwamba, mizigo kutoka nje ya nchi imepungua
kutokana na ongezeko la kodi “kauli hii si ya kweli.” Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa uorodheshwaji wa hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mpango amefafanua kuwa,
kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua kwa kuwa, Tanzania inashirikiana na nchi hiyo katika masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China unavyokwenda, soko lake limepungua ulimwenguni, kutokana na sababu ya nchi kuwa na ushirikiano wa
kiuchumi na china kumeathiri.

Kodi haiathiri chochote kile, na
kelele zote zinazoendelea zinafanywa na wale wakwepa kulipa kodi.

“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”

Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.

“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
Kujitetea ni kitu cha kawaida popote pale hata kama una kosa au huna. Tuseme nikimkosoa mleta mada kuwa kaandika pumba hivi kweli mtoa mada hato jitetea?, so ni haki yake mkuu kutetea hali waliyo nayo ila ukwli na uwongo tafuta mwenyeo wewe unaetaka kujua hali ilivyo na mwisho wa siku utafanya maamuzi unayo yapenda. But the true is......

We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
 
Hahaha.Mnaisingizia China kwa vile ni marafiki wenu.

Nyongeza china ndo nchi pekee iliyokuwa ina float banndari ya dar kwa vitu BANDIA NA ORG ,MFANO KITENDO TU CHA SERIKALI KUKOMAA. NA VITU VYEKI VISIJE BONGO MFANO SIMU TAYARI LAZIMA kutokee gepu
 
Ila kuna haja ya kufkri kwa mapana kuna kitu gan cha pekee kilichokua kinafanyika awamu iliopita kufanya mizigo kuwa mingi ambacho sasa hakinyiki na kuasababisha mizigo kufungua?

Vitu vya madilidili na vitu vyeki ,ukiziba mambo ya dili lazima wapigadili wapige miayo , kama bandari ilikuwa inafurika halafu kodi ya serikali inayokusanywa ni kiduchu kuna haja gani ya kuwa na mizigo ya namna hiyo?
 
Hawajitambui hawa kila mtu anakuja na sababu zake. Sijui ni yupi msema kweli.

WAKATI Mamlaka ya Bandari (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam, imebainika idadi ya mizigo katika bandari hiyo, imepungua tofauti na matarajio.

Akizungumza wakati akifunga warsha ya Wahariri wa Habari mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alitoa mfano wa shehena ya magari yanayokwenda Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).

Kwa mujibu wa Mhanga, shehena ya magari yanayokwenda katika nchi hiyo kutoka Januari 2015 mpaka Januari 2016, imepungua kwa asilimia 50 huku shehena ya Zambia ikipungua kwa asilimia 46. Beira Mhanga alisema walipochunguza sababu ya kupungua kwa shehena hizo, walibaini sehemu ya shehena hiyo hasa iliyokuwa ikienda Zambia, DRC na Malawi, inashushwa katika Bandari ya Beira nchini Msumbiji.

Sababu za kushushwa katika Bandari ya Msumbiji, badala ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ndiyo yenye unafuu wa umbali kutokana na jiografia yake, Mhanga alisema ni unafuu wa kusafirisha shehena hiyo kwa reli ya Beira mpaka Malawi, tofauti na ilivyo kwa barabara.

Alisema usafirishaji wa reli ni nafuu kwa asilimia 30, ikilinganishwa na usafirishaji wa barabara na kwa kuwa Msumbiji wameshakamilisha ujenzi wa reli ya kisasa, wafanyabiashara wameona unafuu wa kupitisha mizigo katika Bandari ya Beira kuliko ya Dar es Salaam.

Athari hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam, huenda ikawa mbaya zaidi baada ya kukamilika kwa reli ya kisasa inayoanzia katika Bandari ya Mombasa mpaka DRC, kwa kuwa itaongeza unafuu wa usafirishaji wa mizigo katika bandari hiyo shindani kwa Tanzania.

Katika warsha hiyo, ilifafanuliwa kuwa dunia nzima bandari zimekuwa na mafanikio, kutokana na kuwa na mfumo wa reli za kisasa unaotoa mizigo bandarini na kufikisha kwa mteja, jambo linalokosekana katika Bandari ya Dar es Salaam.

Durban Shehena nyingine iliyokuwa ikipitia nchini, imebainika kupelekwa katika Bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kutokana na unafuu uliotokana na matumizi ya fedha ya nchi hiyo, Rand, katika utozaji wa gharama za kutoa mizigo, tofauti na Tanzania ambako gharama hutozwa kwa Dola ya Marekani.

Akifafanua hali hiyo, Mhanga alisema kwa sasa Rand imeshuka thamani na hivyo mfanyabiashara mwenye Dola ya Marekani, atatumia Dola chache za Marekani kulipia tozo hizo kwa Rand ya Afrika Kusini iliyoporomoka thamani.

Kutokana na hali hiyo, ingawa gharama za utoaji mizigo kati ya Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Durban zinalingana, lakini mfanyabiashara akipitisha mzigo Afrika Kusini, atatakiwa kubadilisha Dola ili apate Rand ya kulipa gharama hizo; na kwa kuwa Rand imeporomoka thamani, atatumia Dola chache kuliko ilivyo kwa Tanzania.

Mizigo yapungua Bandari ya Dar

HATUA ya kupungua kwa mizigo
inayotoka nje ya nchi kwenye
Bandari ya Salama haitokani na
ongezeko la kodi, anaadika
Regina Mkonde.

Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mpango amesema kuwa, pamoja na kuwepo kwa madai kwamba, mizigo kutoka nje ya nchi imepungua
kutokana na ongezeko la kodi “kauli hii si ya kweli.” Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa uorodheshwaji wa hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mpango amefafanua kuwa,
kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua kwa kuwa, Tanzania inashirikiana na nchi hiyo katika masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China unavyokwenda, soko lake limepungua ulimwenguni, kutokana na sababu ya nchi kuwa na ushirikiano wa
kiuchumi na china kumeathiri.

Kodi haiathiri chochote kile, na
kelele zote zinazoendelea zinafanywa na wale wakwepa kulipa kodi.

“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”

Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.

“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
HATUA ya kupungua kwa mizigo
inayotoka nje ya nchi kwenye
Bandari ya Salama haitokani na
ongezeko la kodi, anaadika
Regina Mkonde.

Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mpango amesema kuwa, pamoja na kuwepo kwa madai kwamba, mizigo kutoka nje ya nchi imepungua
kutokana na ongezeko la kodi “kauli hii si ya kweli.” Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa uorodheshwaji wa hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mpango amefafanua kuwa,
kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua kwa kuwa, Tanzania inashirikiana na nchi hiyo katika masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China unavyokwenda, soko lake limepungua ulimwenguni, kutokana na sababu ya nchi kuwa na ushirikiano wa
kiuchumi na china kumeathiri.

Kodi haiathiri chochote kile, na
kelele zote zinazoendelea zinafanywa na wale wakwepa kulipa kodi.

“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”

Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.

“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
 
Waziri Mpango usipate shida ya kuona kwamba unawajibika kuwajibu hao wazushi wasioitakia mema nchi yao. Baadhi yetu tulipoona picha zinazosemekana ni za bandari kavu zikiwa tupu tuliipongeza serikali tukijua kwamba hayo ni matokeo ya kibano cha serikali kwa wale waliokuwa wakiingiza makontena bure kwa kukwepa ushuru. Na ndio hao wanaosambaza taarifa za kizushi. Nchi zilizoendelea hutoza kodi iweje kwa Tanzania iwe nongwa eti mizigo haiji kutokana na kodi!

Mhe. Waziri Mpango wakosoaji wasikunyime usingizi wala kukutia pressure. Usijali maneno ya wapinga maendeleo. Watasema mchana ucku watalala! Piga kazi tu, maana hakuna asiyejua hizi ni zama za Hapa Kazi Tu!
 
Hawajitambui hawa kila mtu anakuja na sababu zake. Sijui ni yupi msema kweli.

WAKATI Mamlaka ya Bandari (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam, imebainika idadi ya mizigo katika bandari hiyo, imepungua tofauti na matarajio.

Akizungumza wakati akifunga warsha ya Wahariri wa Habari mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alitoa mfano wa shehena ya magari yanayokwenda Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).

Kwa mujibu wa Mhanga, shehena ya magari yanayokwenda katika nchi hiyo kutoka Januari 2015 mpaka Januari 2016, imepungua kwa asilimia 50 huku shehena ya Zambia ikipungua kwa asilimia 46. Beira Mhanga alisema walipochunguza sababu ya kupungua kwa shehena hizo, walibaini sehemu ya shehena hiyo hasa iliyokuwa ikienda Zambia, DRC na Malawi, inashushwa katika Bandari ya Beira nchini Msumbiji.

Sababu za kushushwa katika Bandari ya Msumbiji, badala ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ndiyo yenye unafuu wa umbali kutokana na jiografia yake, Mhanga alisema ni unafuu wa kusafirisha shehena hiyo kwa reli ya Beira mpaka Malawi, tofauti na ilivyo kwa barabara.

Alisema usafirishaji wa reli ni nafuu kwa asilimia 30, ikilinganishwa na usafirishaji wa barabara na kwa kuwa Msumbiji wameshakamilisha ujenzi wa reli ya kisasa, wafanyabiashara wameona unafuu wa kupitisha mizigo katika Bandari ya Beira kuliko ya Dar es Salaam.

Athari hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam, huenda ikawa mbaya zaidi baada ya kukamilika kwa reli ya kisasa inayoanzia katika Bandari ya Mombasa mpaka DRC, kwa kuwa itaongeza unafuu wa usafirishaji wa mizigo katika bandari hiyo shindani kwa Tanzania.

Katika warsha hiyo, ilifafanuliwa kuwa dunia nzima bandari zimekuwa na mafanikio, kutokana na kuwa na mfumo wa reli za kisasa unaotoa mizigo bandarini na kufikisha kwa mteja, jambo linalokosekana katika Bandari ya Dar es Salaam.

Durban Shehena nyingine iliyokuwa ikipitia nchini, imebainika kupelekwa katika Bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kutokana na unafuu uliotokana na matumizi ya fedha ya nchi hiyo, Rand, katika utozaji wa gharama za kutoa mizigo, tofauti na Tanzania ambako gharama hutozwa kwa Dola ya Marekani.

Akifafanua hali hiyo, Mhanga alisema kwa sasa Rand imeshuka thamani na hivyo mfanyabiashara mwenye Dola ya Marekani, atatumia Dola chache za Marekani kulipia tozo hizo kwa Rand ya Afrika Kusini iliyoporomoka thamani.

Kutokana na hali hiyo, ingawa gharama za utoaji mizigo kati ya Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Durban zinalingana, lakini mfanyabiashara akipitisha mzigo Afrika Kusini, atatakiwa kubadilisha Dola ili apate Rand ya kulipa gharama hizo; na kwa kuwa RandT imeporomoka thamani, atatumia Dola chache kuliko ilivyo kwa Tanzania.

Mizigo yapungua Bandari ya Dar
Huyu kaimu meneja nae ni walewale tu, pamoja na maelezo marefu alioyatoa lakini hakuna hoja ya msingi
Kwani hizo bandari za Beira na Durban na kuwepo kwa hizo reli pamoja na kushuka kwa thamani ya rand kote kumetokea mara baada ya serikali ya awamu hii ya tano.
Viongozi wanajitahidi kutoa sababu hizi na zile, lakini
ukweli ni kama jipu, hata usipolitumbua mwishowe hutumbuka lenyewe, au mimba hata ikifichwa vipi lakini mwisho wa siku mtoto ataonekana tu .
 
Waziri Wa FEdha Dr. Mpango ni mchapakazi mzuri...ila amshauri Rais bila woga...

Achukue facts za kweli bila siasa

Tatizo la VAT kwenye utalii ni short notice...Watalii walishapanga budget zao, walishalipia trip/safari zao kuanzia June Mpaka December.....So kuongeza VAT ghafla ni kuwaambia watafute pesa zingine. Destination must be Faithful....

VAT italipwa vizuri sana, ila VAT isogezwe mbele ianze at least January 2017

Tour Operator and Travel Agents hawapingi kulipa VAT, kwanza mlipaji wa VAT ni mtalii sio Kampuni....

WaTanzania tuelewane kwenye hili..upotoshaji tuache...
Majibu mepesi kwa maswali magumu. Huyu Waziri inatakiwa Rais amruhusu asafiri nje ya nchi kwa sababu nasikia kusafiri ni mpaka upate kibali, halafu anitafute tuambatane mpaka mombasa, tukae Siku 3 kwa gharama zangu. Akishaona kinachoendelea hapa, Nina imani atomba msamaha kwa wananchi kwa hii kauli yake isiyo na mashiko kabisa.

Bandari ya kenya iko Bize masa 24. Hakuna cha weekend hapa. Meli zinashusha mizigo masaa 24, hakuna Siku hata moja mizigo iliwahi kupungua. Hakuna ukiritimba. Wafanyakazi ni wakarimu,wana heshima wafanyabiashara wageni hakuna mfano. Lakini wanachonifurahisha nacho ni weledi na u haraka wa utendaji wao. Hadi raha.
 
Ama kwa hakika huyu waziri hajielewi kabisa. Picha haoni. Eti kupungua kwa mizigo bandarini kwa takribani asilimia 70 kunatokana na uchumi wa China kuyumba? kwamba china ndo ina form that 70% ya mizigo bandarini? kwamba kodi haina uhusiano na importation kupungua? how about transit cargo to rwanda, burundi, DRC, Zambia, Malawi??

Haya ni Maajabu!
 
"Sukari imepanda Tanzania kwa sababu wachina wameongeza matumizi ya sukari hivyo bei ya sukari imeongezeka nchini china, kwa sababu wachina ni marafiki zetu, bei ya sukari haina budi kupanda nchini Tanzania............Mchumi"
 
Ukweli utabaki pale pale kodi sio tataizo tatizo ni mfumo gani ya kulipa aitha capital au interest, ukimkata mfanyabiashara mtaji wake kodi ni dhahiri atapunguza manunuzi na atatafuta mahali pengine hasa wanapokata through interest kama jirani
 
Suala la kulipa kodi naliunga mkono kwa asilimia MIA MOJA, kuhusu sababu ya kuyumba soko la China kutu affect moja kwa moja namna hii, SIKWELI nakasirika sana majibu mepesi mepesi ya msomi nguli kama huyu. Kwa nini asishushe details zenye kueleweka??yaani haya majibu yana kera sana, jibu hoja kwa maelezo ya kina ili hata sisi raia wa kawaida tukuelewe na tunufaike na usomi wako, sasa hii maana yake nini?? Wafanyabiashara wanasema hili, waziri anajibu vile?? Kwa nini waziri usionyeshe na kupangua hoja ya Wafanyabiashara, then ukaendelea na maelezo zaidi, hata ikibidi ukatupa na projection ya mambo yatakavyokuwa. Au tatizo ni hawa waandishi makanjanja?? Habari za Tanzania zinakera sana, huwezi soma kitu ukapata points za maana, Wafanyabiashara wanalalamikia hili, waziri anajibu lile, waandishi want report hivi! Ni mwendo wa vurugu mechi.
 
Mimi nataka kulia kabisa bcoz Kodi bandari inatokana na importation of goods, cargo etc the higher the tax lower the importation flows, how come kwa kweli higher tax isiathiri importation aisee mi nahamia Halotel kutoka vodacom
 
Labda tumuulize dr. Mpango hivi; iweje kuyumba kwa soko la China ndy kumesababisha Zambia, Malawi, Congo, Burundi nk kuhamia bandari ya beira?. Yaaan kuyumba kwa soko la China unatuambia kumesababisha mizigo kupungua wakati waagizaj wameamua kuhamia beira. Aache kutufanya sisi wajinga kama hatujui kitu
 
Sasa mkuu Dr Mpango kama shida ni china mbona hata magari yanayotoka Japan nayo yamekauka ?
anajaribu kutufanya sisi mambulula kama alivyojaribu kamishna mkuu wa TRA aliyesema VAT ni kodi inapolipwa na mfanyabiashara badala ya mlaji matokeo yake wakakimbia kipima joto ITV
 
Leo hakuna wakuhoji sukari kwanini imepanda bei na tulihakikishiwa malighafi hiyo itashuka bei hadi 1800! Ngoja tusubiri maana wao wamekuwa wazee wa kubadili gia hewani.
Mara oooh kuna watu wameficha sukari, mara bei elekez tsh. 2000 leo ukiwauliza la sukar vip unaletewa polisi
 
hahhaahhahahha...kuna mfanyabiashara ameenda china akakosa mzigo? jamani hawa watu wanatufanya hatuna akili hata moja ya kufikiri...
 
Back
Top Bottom