Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Ha ha ha ha hii inanifanya nimkumbuke Chemical Ally yule waziri wa Saddam Hussein
 
Waziri Wa FEdha Dr. Mpango ni mchapakazi mzuri...ila amshauri Rais bila woga...

Achukue facts za kweli bila siasa

Tatizo la VAT kwenye utalii ni short notice...Watalii walishapanga budget zao, walishalipia trip/safari zao kuanzia June Mpaka December.....So kuongeza VAT ghafla ni kuwaambia watafute pesa zingine. Destination must be Faithful....

VAT italipwa vizuri sana, ila VAT isogezwe mbele ianze at least January 2017

Tour Operator and Travel Agents hawapingi kulipa VAT, kwanza mlipaji wa VAT ni mtalii sio Kampuni....

WaTanzania tuelewane kwenye hili..upotoshaji tuache...
 
HATUA ya kupungua kwa mizigo
inayotoka nje ya nchi kwenye
Bandari ya Salama haitokani na
ongezeko la kodi, anaadika
Regina Mkonde.
Dk. Phillip Mpango, Waziri
wa Fedha na Mipango
amesema kuwa, pamoja
na kuwepo kwa madai
kwamba, mizigo kutoka
nje ya nchi imepungua
kutokana na ongezeko la
kodi “kauli hii si ya kweli.”
Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo
katika mkutano wa
uorodheshwaji wa hisa kwenye
Soko la Hisa la Dar es Salaam
(DSE) uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
Mpango amefafanua kuwa,
kuyumba kwa soko la China
ndiyo sababu ya mizigo hiyo
kupungua kwa kuwa, Tanzania
inashirikiana na nchi hiyo katika
masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China
unavyokwenda, soko lake
limepungua ulimwenguni,
kutokana na sababu ya nchi
kuwa na ushirikiano wa
kiuchumi na china kumeathiri.
Kodi haiathiri chochote kile, na
kelele zote zinazoendelea
zinafanywa na wale wakwepa
kulipa kodi.
“Waambie waache porojo,
waende kwenye takwimu, hata
kwa nchi jirani ya Kenya mizigo
inayoingia imepungua kwenye
Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”
Amesema kuwa, serikali ipo
makini na wafanyabishara
ambao hawataki kulipa kodi.
“Walipe kodi tu ili serikali iweze
kuwahudumia, haiwezekani
bandari itoe huduma kwa
wafanyabiashara pasi na wao
kulipa kodi, hapana.”
Wakati mombasa wanakesha kwenye kazi yeye analeta soga tu,wakubali kuwa wamechemsha
 
Ukweli wafanyabiashara hawapendi kulipa kodi, kama wameshindwa kufanya biashara hapa tanzania wapo huru kuondoka na kwenda kufunya nchi nyingine ambako watafanya ufisadi wao wa kutokulipa kodi.
Na wamesha wasikiliza tayari maana ukifika bandari ya mombasa huwezi kuamini kama kweli hayo maneno anayosema mpango yanasemwa na waziri,bandari imejaa meli kibao watu wapo busy na wanakusanya kodi kwa kwenda mbele, huku walipa kodi wakifurahia kulipa kodi kwa huduma wanazo zipata
 
Magufuli kiboko nowdays watu wanafuatilia mizigo inayoingia bandarini na kodi inayopaswa kulipa.Awamu iliyopita umuhimu wa bandari haukujulikana hadi Kagame akatushangaa sana
Sasa hivi bandarini labda wafungue club, maana wafanyakazi wanashinda bila kazi
 
hahahaha anajichimbia kaburi taratibu badala ya kutia maji mwenzie akinyolewa yeye mbabe haya kila la heri yake mchumi yeye.nchi haiendeshwi kwa emotions bali hekima na usikivu.
Akitumbuliwa atajiunga na Act maana ndiyo chama cha kwetu
 
HATUA ya kupungua kwa mizigo
inayotoka nje ya nchi kwenye
Bandari ya Salama haitokani na
ongezeko la kodi, anaadika
Regina Mkonde.

Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mpango amesema kuwa, pamoja na kuwepo kwa madai kwamba, mizigo kutoka nje ya nchi imepungua
kutokana na ongezeko la kodi “kauli hii si ya kweli.” Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa uorodheshwaji wa hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mpango amefafanua kuwa,
kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua kwa kuwa, Tanzania inashirikiana na nchi hiyo katika masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China unavyokwenda, soko lake limepungua ulimwenguni, kutokana na sababu ya nchi kuwa na ushirikiano wa
kiuchumi na china kumeathiri.

Kodi haiathiri chochote kile, na
kelele zote zinazoendelea zinafanywa na wale wakwepa kulipa kodi.

“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”

Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.

“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
Sawa soko la China na uchumi wa china umeyunga na Tanzania ni Mdau mkubwa kibiashara na China lakn swali Je ina maana mizigo yooote iliyokuwa inashukua hapo bandarini inatokea China? Na Je kama TZ ni Mdau mkubwa wa kibiashara na China vp hizo nchi ambazo c Mdau wa kibiashara na China zenyewe zimekuwaje?
 
Sawa soko la China na uchumi wa china umeyunga na Tanzania ni Mdau mkubwa kibiashara na China lakn swali Je ina maana mizigo yooote iliyokuwa inashukua hapo bandarini inatokea China? Na Je kama TZ ni Mdau mkubwa wa kibiashara na China vp hizo nchi ambazo c Mdau wa kibiashara na China zenyewe zimekuwaje?
Wew unahis tatizo ni nin
 
H

“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”


Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.

“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”

Mimi nijuavyo watu wanlaalmika mzigo ya kutoka nchi jirani na sio ya kutoka nje. hasa kabisa ni SHABA.
 
Back
Top Bottom