Hayo maneno yako ni sawa na ya mfa maji na hapo bado hadi muwapatie nafasi wataalamuWataalamu gani hao?! Wameanza lini kutoheshimiwa? Effect ya kutoheshimiwa ionekane utawala huu tu? Maswali ni mengi kuliko majibu
ahahaha,hapo unachangia uku machozi yakikulenga lenga!
Wacha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupajapo amekurupuka, ni mapema sana kupima uhai kwa bandari kwa miaka 3 au 5 ijayo.
mbegu lazima ioze ili iote.
Hata hiyo midogo haipo sasaNi bora kuwa na mizigo michache inayolipiwa kodi kuliko kuwa na lundo la mizigo ya mafisadi isiyolipiwa kodi. Hapa kazi tu
Ndiyo imeshatoka hiyoNatafakari kwa sauti:
J. K. Nyerere alibana kwa kiasi chake,
A. H. Mwinyi akaachie kidogo,
B. W. Mkapa nae akaja akabana,
J. M. Kikwete akalegeza, sasa kaja
J. P. Magufuli... mwendo ndo kama ulivyo.. Mie nadhani ni nyakati tu zinaongea. Wote wamefanya/wanafanya kwa kadri ya utashi waliojaliwa na Mungu. Tumpe muda JPM.
Mkuu ni wachache watakuelewa lakini hali ni mbaya sana.Kutoka magari 3500 hadi 1,500 tathmini je kati ya magari 3500 mangapi yalikuwa yanalipia ushuru, hatuwezi kusema magari yanayohudumiwa kwa sasa kuwa ndio yalikuwa yanalipiwa ushuru na ambayo hayapo hayakuwa yanalipiwa la hasha lazima tuweke makadirio kama magari 2500 hivi ndio yalikuwa yanalipiwa. Sasa swala lingine ni kwamba kati ya hayo magari 1500 yapi ni ya transit maana yake hayalipiwi ushuru wa hapa nchini lazima yatakuwa kama 800 maana nimewahi kufika bandarini kuona magari ambayo hawa wageni wanayatoa ni mengi sana. Tukubali lazima kuna shoti ya ushuru je serikali itaendelea kutegemea ushuru wa viwanda vya ndani na kodi za wananchi tukizingatia hatuna viwanda kiivyo lol hapa KAZI KUBWA ni kufikiria jinsi ya kupata fedha kwa ajili ya kuendesha serikali maana DENI ambalo serikali inalipa nje ni kubwa sana Eh mwenyezi MUNGU TUSAIDIE.
2020 njia nyeupeeeeee kwa ukawaInasikitisha kafeli uchumi na ni ishara kwamba ataendela kufeli kwa miaka mitanoi
Hiyo ndio hali halisi na ndio ukweli wa bandari yetu mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi hivyo ni bora wasije kabisa...!
Naipongeza serikali kwa hatua hii ya kudhibiti kwa sasa tunajua kabisa tunapata mizigo ya aina gani na kiasi gani.. Nina hakika kwa sasa mtu akiagiza gari lake hato ibiwa...!
Bandarini sasa ni kweupeeeeeeee= halafu
= bandarini
hawa watu was bandari watoe ripoti zinazo eleweka kama wasomi. waseme wazi kuwa mapato yamepungua kiasi gani, swala la idadi ya magari halitoi picha sahihi.Kutoka magari 3500 hadi 1,500 tathmini je kati ya magari 3500 mangapi yalikuwa yanalipia ushuru, hatuwezi kusema magari yanayohudumiwa kwa sasa kuwa ndio yalikuwa yanalipiwa ushuru na ambayo hayapo hayakuwa yanalipiwa la hasha lazima tuweke makadirio kama magari 2500 hivi ndio yalikuwa yanalipiwa. Sasa swala lingine ni kwamba kati ya hayo magari 1500 yapi ni ya transit maana yake hayalipiwi ushuru wa hapa nchini lazima yatakuwa kama 800 maana nimewahi kufika bandarini kuona magari ambayo hawa wageni wanayatoa ni mengi sana. Tukubali lazima kuna shoti ya ushuru je serikali itaendelea kutegemea ushuru wa viwanda vya ndani na kodi za wananchi tukizingatia hatuna viwanda kiivyo lol hapa KAZI KUBWA ni kufikiria jinsi ya kupata fedha kwa ajili ya kuendesha serikali maana DENI ambalo serikali inalipa nje ni kubwa sana Eh mwenyezi MUNGU TUSAIDIE.
LumpenSawa kwa sababu wezi wamefukuzwaaa
wakwepa kodi hatuna haja nao , wacha waende zao tuna vyanzo vingi vya mapatoWewe naona unaongelea hapo bongo tembelea bandari ya mombasa uone jinsi mimeli inavyo pishana na ukienda bandari ya beira nako ni meli kibao
Sasa hapo kigumu kiko wapi? Au hesabu kwako ni ngumu?Binafsi hii habari nimeiona. Lakini, imepungukiwa kitu kimoja. Wangetuambia na mlinganyo wa mapato wakati wa magari 3,500 na mapato ya magari 1,500. Kama na mapato yamepungua, hapo ni tatizo. Kama ni kinyume, tatizo nini?
Mimi sio mwanasiasa wewe...tatizo lenu kila jambo mnalijadili ki-UKUTA.Hayo maneno yako ni sawa na ya mfa maji na hapo bado hadi muwapatie nafasi wataalamu
Vyanzo gani zaidi ya bandari na utalii?wakwepa kodi hatuna haja nao , wacha waende zao tuna vyanzo vingi vya mapato
2020 njia nyeupeeeeee kwa ukawa
Mwizi weeLumpen
Poleni sana wana lumumbaMimi sio mwanasiasa wewe...tatizo lenu kila jambo mnalijadili ki-UKUTA.