Dkt. Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana

Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Nasikia hakuwa haafiki uhuni wa bimkubwa na DP World, kama ni kweli wazanzibari watakuwa wamevuka mstari mwekundu
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Huyu ilitakiwa aondoke hata kabla ya Magu,aliponea chupuchupu sana,fuatilia hoja za Boss kuhusu Mpango utaelewa
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba Dkt. Mpango hana makuu na wala hana matatizo na mtu. Ni miongoni mwa viongozi wachache sana ktk nchi hii ambao hawana 'makandokando' ya kutisha.
Tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba Serikali yenyewe ndio ambayo imesababisha uvumi huu mbaya wa kumchuria mtu huyu kwa kufanya Usiri wa kipuuzi usiokuwa na ulazima. Pale ambapo habari za ukweli zinafichwa basi habari za uongo na uzushi hupata nguvu zaidi na kuaminika na watu.
Mpango yupo wapi ? Ni swali ambalo linatakiwa lijibiwe na siyo longo longo Magufuli alifichwa kama alivyofichwa Mpango baadae watu wanatangaziwa Tanzia.

Hii siyo sawa.
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Jamaa ni president material!

Sema wawangaji walikuja na kale ka Uzi kale eti"Nimeambiwa Mpango ndio Mpango mzima"!

Sasa hatujui kwamba he huko alipo ndio anafundwa Ili aje awe Mpango mzima au ndio hayo ya tetesi wanazoandika kama zinavovuma!!
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Acha ujinga! Humjui huyo mtu! Ni mbaya hakuna mfanowe. Alitutenda, Mungu ndiye anajua
 
Hakuna anayependwa na kila mtu, kawaida hiyo usijipe shida.

Kuna watu wanamchukia kwa chama chake, kwa nafasi yake na kuna wanaompenda kwa sababu hizohizo.
Ndio maisha na ulimwengu ulivyo.
Nakazia Sana
Huyo Anatoka Buhingwe Ambako Kasulu Ndiyo Imegawanywa
Kuna Sehemu Inaitwa Kasumo Huko Kuna Secondary Rufino And Rinado
Mungu Atatenda Wepesi December Hii
 
Hata mimi huyu Mheshimiwa ninamkubali sana. Wakati alipokuwa Waziri wa Fedha na Mipango, sera zake nyingi zilikuwa hazimgusi moja kwa moja mwananchi wa kawaida, kama sera za huyu Mr. Misifa.
Ziliwagusa kina nani ?
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba Dkt. Mpango hana makuu na wala hana matatizo na mtu. Ni miongoni mwa viongozi wachache sana ktk nchi hii ambao hawana 'makandokando' ya kutisha.
Tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba Serikali yenyewe ndio ambayo imesababisha uvumi huu mbaya wa kumchuria mtu huyu kwa kufanya Usiri wa kipuuzi usiokuwa na ulazima. Pale ambapo habari za ukweli zinafichwa basi habari za uongo na uzushi hupata nguvu zaidi na kuaminika na watu.
Nyie mlimjua vizuri Mrundi huyo? Waulize sie aliowavictimize kutokana na cheo chake. Roho mbaya hakuna Mfano. Muulize Balozi Mulamula etc.
 
Ndg Kimsboy hongera sana kwa andiko zuri nami niungane nawe kama mzee wetu anaumwa basi Mola ampe nafuu na aweze kuwa nasi tena. Ni jambo la ajabu sana na inasikitisha kuona watu wanazungumza kitu ambacho si cha kiungwana. Yes ni kiongozi na ni binadamu siyo malaika. Nilitegemea hao wangekuja na wazo la kuomba kwa kila imani yake ili hata kama kuna ukweli wowote kiafya aweze kupona haraka.Fikiria anafamilia yake, Mke,watoto,wazazi pengine, ndugu na jamaa , je ingekuwa ni baba yetu au kaka yetu tungejisikiaje? Tuwe na utu mzee wetu hana tatizo na mtu kwanini tunamfanyia haya , tumpe heshima yake na utu
Lakini swali linabakia lilelile: yuko wapi?
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Wewe naye sijuhi umeibukia shimo gani, tayari umeshatoka kwa ayatollah wenu baada ya kuona gaza inazidi kudidimia.

Hivi nikuulize CCM hii ninayoijua mimi, kuna mtu mzalendo kwa nchi hii ndani ya CCM?????

Ficha ujjinga wako mda mwingine, sio kukurupuka kama gaidi la Hamas hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom