Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Natafakari tu kwa mtu msomi wa kiwango cha Dr Mashinji kwenda mahakamani kila wiki inamharibia ratiba zake nyingi za kijamii na kiuchumi.

So sitashangaa nikisikia kamwandikia barua DPP kukiri makosa ya kuandamana bila kibali cha polisi.

Narudia tena sitashangaa kama hilo linawezekana kisheria.

Maendeleo hayana vyama!

Anatakiwa aandike haraka maana hakimu anaagizwa na magu tu jinsi ya kuendesha kesi. Akina Mbowe tayari hukumu iko Magogoni watafungwa miezi 6.
 
Haya ya Mdee kugoma kumpa mkono Mashinji, yanasikitisha sana, hii mbegu ya uadui na uhasama tunayoipalilia kwenye siasa ina matunda yanayotishia uhusiano, udugu na uzalendo kwa nchi yetu. Tukatae na kuukemea ukaburu kwenye siasa zetu, tunapoteza mwelekeo kama taifa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumnyima mtu mkono humpunguzii chochote na wala hujamkomoa
JPM alipowapiga marufuku wabunge wa CCM kwenda kumtembelea Lema gerezani ilikuwa na maana gani?
Kama CCM inasema wasaliti wauwawe,CDM wanawanyima tu mikono!
 
Back
Top Bottom