Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,897
- 4,314
Kwani nini maana ya kuwa rais mkuu au urais unachagua ukoo na familia.Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?
Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.
Nilijua tu post kama hii itakuwepo.Vyeo now hakuna ndugu labda ufe akakuteue kuzimu
Kwa ufupi qualities za mtendaji na kiongozi ni tofauti..., baadhi ya qualities za a good leader ni zifuatazo, (angalia mwenyewe Magufuli alikuwa nazo ngapi);Kwani nini maana ya kuwa rais mkuu au urais unachagua ukoo na familia
Hata wewe itafika siku yako utakufa pia,kifo kipo kwa kila kiumbe kilicho hai siku yake itakapofika,Vyeo now hakuna ndugu labda ufe akakuteue kuzimu
Mkuu me naona hayo yoote aliyaishiKwa ufupi qualities za mtendaji na kiongozi ni tofauti..., baadhi ya qualities za a good leader ni zifuatazo, (angalia mwenyewe Magufuli alikuwa nazo ngapi);
- Integrity
- Ability to delegate
- Communication
- Self-awareness
- Gratitude
- Learning agility
- Influence
- Empathy
- Courage
- Respect
Huyo dikteta uchwara alikua lini mzalendo Kama sio jambazi Kama majambazi wengine......au kutotaka kwake kuzungumza kiingereza kwa kuwa alikua hakijui vyema na kung'ang'ana na kiswahili chake cha kisukuma ndio uzalendo?Hayo mawazo yako wewe na usikariri kila mtu mpigaji kama wewe, mkuu uongozi unataka mtu mzalendo
Lumumba siku hizi kuna shamba?Nilijua tuu post kama hii itakuwepo
Mkuu mimi mwananchi wa kawaida sihitaji hayo mavyeo kwa tarifa yako mimi nimkulima nipo huku kijijini navuna ufuta na naridhika na kilimo changu cha small scale
KaribuNgoja ninywe maji kwanza nirudi.View attachment 1749919
Daah kitu gani?Daah aisee