Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,889
- 4,295
Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi.
Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai kwakifupi alikua karibu na wananchi, Hayati Magufuli alikua ni great thinker mtu mwenye utambuzi na mwenye maono.
Alitamani kila Mtanzania anufaike na rasilimali ya taifa letu ndiyo maana alipambana na mabepari na wakoloni weusi, magufuli alikua mchamungu sana na hakua mbaguzi hakua mdini.
Hakika kuna mengi aliyafanya na angeendelea kuwepo hakika angetufikisha nchi ya Ahadi.