Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

Mkuu mshanar jr!mimi na hisia kuwa maisha ninayoyaishi sio yenyewe yaani hayakupaswa kuwa hv yalivyo!ni kama ni ya chini ya kiwango hv!!Ni kama nilistahili kuishi kiwango fulani na si hiki!!!sijajua ni nini!!!Huwa nasikitika sana kila mara na kuona kama nime lost!kifupi sina raha!!!Hebu niangalizie hii kitu nifanyaje mkuu!!!!!NAOMBA MREJESHO ITS A MATTER OF LIFE BROO!!!
 
Dr shika ana masters ya infectious diseases na phd ya sayans ya afya,ni moja ya jopo la madaktar waliotengeneza airbone biological weapons kama AIDS,ebola nk,..na ndomana anasakwa,wenzie walishauliwa...so huyu anajua dawa ya hzo mambo.serikal imtumie vzur
Kwamba Dr. Shika alikuwa Los Alamos? Wakati hiyo Lab iko U.S na yeye alikuwa Russia.
Unataka kumlinganisha Dr. Shika na Dr. Robert Gallo.
Unataka kusema Wamarekani walimchukua kutoka Russia na kumfanya atengeneze diseases then akarudishwa Russia.
 
Kamwe hata Kama Ni undercover informer hatokuja kupata huduma Kama amelitibua huko.mpaka leo hakuna anaejua Dr shika alikuja lini? Kwa usafiri gani? Na muda gani Bali karibu wote tulianza kumuona katika 900 itapendeza hapo ndipo story zilipo anzia na kuanza kumfuatilia

Kwa mantiki mzee wa mia 9 itapendeza Kama alikuwa agent wa taifa lolote lile bas taifa Hilo humkana na hyo sifa moja kuu ya mambo udakuzi Mana wanalinda mahusiano ya nchi na nchi.pili kutafutwa kule aliko dukuliwa na wale waliomtuma either kwa uzuri au ubaya ila upate mmoja Ni uzuri watakutafuta ili usije ukasema.

Tatu kwashika mpaka Sasa anajua wapi aliko na anaenda wapi Kuna siku hamtokuja kumuona Wala kumsikia Tena kupotea kwake kutakuwa ghafla Kama alivyotokea Mungu amlinde Sana

Naishia hapa nisiongee mengi

kilicho akilini kitumie
 
Mkuu mshanar jr!mimi na hisia kuwa maisha ninayoyaishi sio yenyewe yaani hayakupaswa kuwa hv yalivyo!ni kama ni ya chini ya kiwango hv!!Ni kama nilistahili kuishi kiwango fulani na si hiki!!!sijajua ni nini!!!Huwa nasikitika sana kila mara na kuona kama nime lost!kifupi sina raha!!!Hebu niangalizie hii kitu nifanyaje mkuu!!!!!NAOMBA MREJESHO ITS A MATTER OF LIFE BROO!!!
Namimi nahisi hivyo hivyo, pengine zaidi yako.
Mpaka kinafika kipindi natamani namimi niunge mkono juhudi ili namie nifaidi national cake maana ndo mchomoko siku hizi
 
Jr umewasilisha vizuri sana habari ya dr. Nashangaa kuona baadhi ya members wanavyokosoa juu ya habari hii kana kwamba wanakufaham saana ukiacha kujua kwamba wee ni mataalam wa mambo ya Jadi kulingana na nyuzi zako nyingi humu ndani. Tatizo members wengi katika forum hii wanajiona Ma-great thinker baada ya kusoma nyuzi mbili tatu zinazohusu CIA na KGB
 
Nitakurejea kaka
Mkuu mshanar jr!mimi na hisia kuwa maisha ninayoyaishi sio yenyewe yaani hayakupaswa kuwa hv yalivyo!ni kama ni ya chini ya kiwango hv!!Ni kama nilistahili kuishi kiwango fulani na si hiki!!!sijajua ni nini!!!Huwa nasikitika sana kila mara na kuona kama nime lost!kifupi sina raha!!!Hebu niangalizie hii kitu nifanyaje mkuu!!!!!NAOMBA MREJESHO ITS A MATTER OF LIFE BROO!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jr umewasilisha vizuri sana habari ya dr. Nashangaa kuona baadhi ya members wanavyokosoa juu ya habari hii kana kwamba wanakufaham saana ukiacha kujua kwamba wee ni mataalam wa mambo ya Jadi kulingana na nyuzi zako nyingi humu ndani. Tatizo members wengi katika forum hii wanajiona Ma-great thinker baada ya kusoma nyuzi mbili tatu zinazohusu CIA na KGB
ni forum ya wanajamii ina kila aina ya wanajamii ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je,a
Mimi pia kwa kumtizama Dr namuona. Anajua sana Disguise Tactics na ana behave kama a proffessional Spy.
Mtu anayeweza kutoroka kwenye hali hiyo ni lazima awe trained.

Hata sasa atakuwa anafuatiliwa na ni muhimu TISS imtizame kwa makini likely warusi watamuuuwa kwa kuwa akiamua kufunguka zaidi ataweka hadharani mbinu chafu hurusi ilizotumia kuzuia makampuni ya kigeni kuwa na nguvu

Pengine anawez kutusaidia kufundisha spies wetu anahitaji kuhamishwa haraka pale alipo apelekwe eneo salama.
[/QUOT
Ila anaweza kua pandikizi la USA apa mkuu
 
All in all kati ya watu elfu mia sita biblia imewataja kutoka Misri kwenda Kaanani walifika watu wawili tu wale walioianza safari toka Misri to Kaanani nae ni JOSHUA na KALEBU, namna gani waliamua kuwa waaminifu na kuzingatia kiapo chao hawakuogopa mateso wala dhiki ila wakatoboa ( Mungu nisaidie kuvuka)
Kwenye hili swala la KALEBU NA YOSHUA umenigusa kidogo, nina hoja fulani huwa najaribu kuwauliza wataalamu wa maandiko matakatifu, lakini kwa bahati mbaya sijawahi kuapata majibu sahihi. labda itabidi siku moja nikimbilie kwenye jukwaa la dini. MUSSA alitakiwa kuwa mtu wa tatu kati ya wale ambao wangeingia Nchi ya Ahadi lakini hakufanikiwa, aliiona kwa mbali tu. TUSEME pamoja na kutokuingia nchi hii ya ahadi, Mussa atakwenda Mbinguni siku ya ufufuo wake, Yesu atakaporudi. Na kama takwenda Mbinguni basi sasa hivi yuko amepumzika mahala pema peponi au paradiso kama sikosei.Kwa muktadha huu sasa, kama Mungu alimzuia Mussa kuingia Kanaani na badala yake kumchukua na kumpeleka Paradiso, huoni kuwa alimpa zawadi kwa sababu Paradiso ni kuzuri mara billions kuliko Nchi ya Ahadi Kanaani, ambayo hata kuiingia ilikuwa bado inawahitaji wa-Israel wapigane vita?

Unless Mussa hakwenda paradiso na kwamba siku ya mwsisho, hastahili kwenda mbinguni. Ila kama anastahili kwenda Mbinguni, kitendo cha Mungu kumzuia kuingia Kaanani haikuwa adhabu, bali ilikuwa ni zawadi. Labda adhabu hapa mi naweza kusema ni kile kiendo cha kumtenganisha kimwili na wenzake aliohangaika nao jangwani kwa muda wa miaka 40. Vinginevyo mimi mtizamo wangu ni kuwa Mussa alipewa offer na Mungu na si adhabu
 
Tatu kwashika mpaka Sasa anajua wapi aliko na anaenda wapi Kuna siku hamtokuja kumuona Wala kumsikia Tena kupotea kwake kutakuwa ghafla Kama alivyotokea Mungu amlinde Sana
Tayari hayupo alishapotea siku nyingi, yaani kwa maana nyingine ni kwamba, he has had dissappeared!
 
Jr umewasilisha vizuri sana habari ya dr. Nashangaa kuona baadhi ya members wanavyokosoa juu ya habari hii kana kwamba wanakufaham saana ukiacha kujua kwamba wee ni mataalam wa mambo ya Jadi kulingana na nyuzi zako nyingi humu ndani. Tatizo members wengi katika forum hii wanajiona Ma-great thinker baada ya kusoma nyuzi mbili tatu zinazohusu CIA na KGB
au kuangalia movie za hollywood
 
Kwenye hili swala la KALEBU NA YOSHUA umenigusa kidogo, nina hoja fulani huwa najaribu kuwauliza wataalamu wa maandiko matakatifu, lakini kwa bahati mbaya sijawahi kuapata majibu sahihi. labda itabidi siku moja nikimbilie kwenye jukwaa la dini. MUSSA alitakiwa kuwa mtu wa tatu kati ya wale ambao wangeingia Nchi ya Ahadi lakini hakufanikiwa, aliiona kwa mbali tu. TUSEME pamoja na kutokuingia nchi hii ya ahadi, Mussa atakwenda Mbinguni siku ya ufufuo wake, Yesu atakaporudi. Na kama takwenda Mbinguni basi sasa hivi yuko amepumzika mahala pema peponi au paradiso kama sikosei.Kwa muktadha huu sasa, kama Mungu alimzuia Mussa kuingia Kanaani na badala yake kumchukua na kumpeleka Paradiso, huoni kuwa alimpa zawadi kwa sababu Paradiso ni kuzuri mara billions kuliko Nchi ya Ahadi Kanaani, ambayo hata kuiingia ilikuwa bado inawahitaji wa-Israel wapigane vita?

Unless Mussa hakwenda paradiso na kwamba siku ya mwsisho, hastahili kwenda mbinguni. Ila kama anastahili kwenda Mbinguni, kitendo cha Mungu kumzuia kuingia Kaanani haikuwa adhabu, bali ilikuwa ni zawadi. Labda adhabu hapa mi naweza kusema ni kile kiendo cha kumtenganisha kimwili na wenzake aliohangaika nao jangwani kwa muda wa miaka 40. Vinginevyo mimi mtizamo wangu ni kuwa Mussa alipewa offer na Mungu na si adhabu
Kwa mujibu wa maandiko Musa yupo mbinguni, na ndio maana siku Yesu yupo katika maombi mlima wa mizeituni kabla ya kukamatwa na kuteswa waliokuja kumtia moyo akomae mpaka mwisho wa mateso ni Elia na Musa, Jambo la pili ni kwamba Musa alistahili kupewa zawadi hiyo ulioisema kwa sababu ukisoma kitabu cha kutoka hata mwisho utaelewa kuwa Musa alistahili kuwa upande wa Mungu pamoja na udhaifu wake maana biblia inaweka wazi kuwa haitatokea nabii kama Musa maana Yeye aliongea ana kwa ana na Mungu
 
Kwa hiyo ni sahihi kuwa kitendo cha Mussa kukatazwa kuingia Nchi ya Ahadi haikuwa adhabu ila ilikuwa ni zawadi, si ndiyo?

Umenifunua macho kwa kiwango cha juu sana ulipohusianisha swali langu na swala la vibanda viatatu. Ubarikiwe sana
 
Ameen ubarikiwe mwana wa Mungu
 
Back
Top Bottom