Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

Hakuwa mtu wa kawaida yule ila wabongo tuna dharau mpaka. Sasa kale kapolisi ketu kanafananisha uhai wa mtu na million kale kajamaa bwana kamelewa madaraka alafu hakana elimu
 
Ni udadisi mzuri. Lakini namna alivotoka kule shimoni kwa KGB INATIA Shaka Bado Kuna mengi hayajulikani.
 
Sinema tu.Maswali machache kwanza.Hiyo pesa aliyolipia nyumba kwann bado haijafika.kuna documents zozote za malipo alizonazo zinazoonyesha kwamba ameinitiate transaction? Unakuwaje na kampuni kubwa Urusi (tufanye kwamba kaspersky au sukhoi ni ya dr shika) na unakaa miaka 24 nje ya hiyo nchi for what kwamba ICT imeendelea huna haja ya kuwa huko.umekamatwa ukatoroka.kwann hukurudi kushtaki police ? Msifanye watu wafuatilie interpol na kwingine mje kuumbuka.una hela kibao kwann ukae uswazi bure na hata kulipa kodi huwezi? Watz tuki buy story za huyu jamaa nitaelewa kwann wanasemaga elimu yetu iko chini.time will tell si anasema ataenda tena mnada unaokuja.kwann asilipe tu hiyo hela baada ya clearance ? Mwisho mtu akiwa mwehu hata kama alienda kusoma Neuro Surgery atabaki kuwa mwehu tu
 
Mtuma post kwani jukumu la polisi lilikuwa kutafuta cv ya Dr. SHIKA au kukidhi matakwa ya kisheria ya uendeshaji wa minada?

Haya sasa hata baada ya kutambua uwezo wa ki elimu na ubunifu wa Dr. Shika huko Russia imewezesha kulipa 25% ya mnada aliopigania?

Hupaswi kiwalaumu polisi kwa matatizo watu wanayojizalishia wenyewe.

If he is intellectual to that much amewezaji kuingia ktk mnada asio na uwezo nao kama si matatizo ya AKILI ALIYONAYO?

Hebu fikeni mahali lipeni thamani linayostahili jeshi lenu la polisi ambalo kwa kutimiza wajibu wake umeweza kaa nyuma ya keyboard na kuandika utumbo wako ambao nimeinshia njiani kuusoma. Sababu nimebaini chuki yako dhidi ya polisi ndo imekusukuma kuandika.
 
huenda ukawa hujui unacho ongea.....
 
Nakusihi sana tena kwa upendo kabisa nakushauri usimuige tembo kunya... Utapasuka msamba.. Maana yangu ni kwamba kama ukiona kina cha maji si saizi yako, usilete ujuvi wa kutaka kuogelea.... Na kama kitu kinakushinda kukielewa in a very simple way then you are not logical, kaa pembeni uwe mtazamaji
 
mshana jr ulitaka mambosasa akae kwenye kamera na kuanza kuelezea shughuli za Dr shika alizokuwa anazifanya urusi??

Nijuavyo mm undercover yeyote anapokamatwa na polisi kwa kwa kutokujua kama ni undercover huwa kamanda anapewa taarifa maalumu na kwaharaka sana ili ambue uwepo Wa mtu huyo na baadae wanamwachia..

Hata kamanda mambosasa alitambua fika na mapema kwamba dr shika ni nani ndio maana aliachiwa kwakujidhamini mwenyew na hapatakuwa na kesi yoyote juu yake.

Ile kauli aliyoitoa kwa waandishi wa habar ilikuwa ya kutuaninisha mm na ww tutambue kwamba ni mlala hoi.
 
Kwanza nimpe pole kamanda wa polisi aliyemu underrate Dr Shika kwamba hana thamani hata ya million... Hawa ndio makamanda wetu wenye dhamana kubwa ya kutulinda.... Tungesema sisi wa mitandaoni isingekuwa shida sana maana huku tuko mix grille, wajuzi na wajuvi wa kila jambo.. Kamanda hakujihangaisha kabisa kupata habari za huyu mtu kabla hajatoa taarifa yake mbele ya kamera.... Kumbe mtu aliyemdharau ni viwango vingine kabisa.. Mazoea yale yale ya kuwaamini wasaidizi na bila kujiridhisha na taarifa zao
Dr Shika ni mtu zaidi ya tunavyomfahamu, kaeleza machache kabaki na mengi, lakini machache aliyoasema yametosha kumchora picha yake halisi katika uhalisia wake..... Twende na dondoo zifuatazo

1. Masomoni Urusi na kuanzisha biashara kubwa
Achana na scholarship za siku hizi za kupeana... Wakati ule ukienda kusoma/kusomeshwa nje... Wewe ni cream... Historia inaonesha Dr Shika alikuwa vizuri sana kichwani tangu sekondari.... Na kwa vyovyote huko Urusi alifanya vizuri pia kitu kilichowavutia wengi...
Ni baada ya kumaliza masomo yake hakurudi nchini bali alibaki Urusi na kuanzisha biashara kubwa, yeye pamoja na washirika wengine ambao asili ya kukutana kwao haiwekwi wazi... Dr. Shika yeye ndio akawa rais wa kampuni kubwa yenye mtandao wa makampuni mengi.. Mafanikio ya haraka ya kampuni hii yaliwagutua warusi na kuanza kumdukua

2. Mafanikio ya kampuni na kumiliki mali nyingi
Kampuni yao hiyo bila kujulikana kwa hakika shughuli zao hasa ikawa ni kampuni inayokuwa kwa haraka mpaka kuwa na uwezo wa kumiliki ndege binafsi... Hapa warusi wakashtukia mchezo kuwa pengine hawa watu ni undercover informers wa wamarekani, na hii kampuni ni zuga tuu... Janja hii hutumiwa na mataifa mengi... Dr. Shika inapofikia hapa huwa na kigugumizi kidogo na bahati mbaya hatuna waandishi wanaojua kuhoji

3. Kuwindwa kutekwa na mateso
Dr. Hapa kuna kitu kikubwa sana anakificha.. Aliliwa timing ya muda mrefu mpaka alipokamatwa nyumbani kwake.. Inawezekana kabisa nyumba ilishakaguliwa yote.... Lakini pia style ya kuondoka naye wakiwa wamemfungia kwenye kabati maana yake huyu hakuwa mtu wa kawaida
Kwa maelezo yake alipelekwa mpaka nje ya mji Kwenye nyumba yenye chumba cha siri chini ya ardhi na kuanza kuteswa, kwa madai kwamba watekaji walitaka pesa kiasi cha USD million moja... Dr hapa pia kasema uongo kuna kitu anaficha pia... Kwa utekaje huo watekaji wangetaka awapigie simu jamaa zake wakate mpunga (ransom).. Lakini Dr Shika anakiri kwamba alitekwa na kuteswa na the professionals toka KGB- shirika la kijasusi la Urusi... Kwa mateso yale hawa walikuwa wanamlainisha aseme yeye ni nani hasa.. Amekuwa mlemavu wa vidole vitano vya mikono.. Mkono mmoja viwili, mmoja vitatu, amevunjwa mbavu tano, na sikio moja limepindishwa kwasasa ya makofi... Majambazi wanaotaka hela hawana mateso ya namna hii.. Haya ni mateso ili ufunguke.. Roma anajua vema..

4. Ujasiri, uvumilivu na utulivu
Dr ana viashiria vyote vya majasusi, pamoja na mateso yote hayo na kujeruhiwa vibaya kabisa lakini hakupaniki wala kukata tamaa alikuwa mtulivu jasiri akisuburi one mistake one goal... Na akajenga nao urafiki yani hakuwa kiburi, unateswa unatukanwa unadhalilishwa unaumizwa lakini baada ya hapo unaenda nao sawa... Hii kitu ina mafunzo maalum.. Dr. Alikuwa mtulivu na mvumilivu mpaka akaweza kutoroka akiwa hoi kabisa...

5. Kutoroka kwake kunaacha maswali mengi, kwanini alibebwa na ndege maalum ya malkia wa uholanzi? Je ilikuwaje? Ni nani walifanikisha hii mipango? Kwanini mmarekani alitoa msaada mkubwa kwake mpaka akaweza kufika nchini salama? Je KGB walikuwa sahihi? Je alifanikiwa kuficha siri kuu ndio maana wamarekani hawakumtupa hata sasa?

6. Vifo vya washirika wake kwenye kampuni
Wenzake karibia wote walikufa kwa kuuwawa.. Yeye kaponea shimo la tewa (kuna maswali mengi sana kwenye hili..... Kampuni lao bado lipo lakini limesimamisha shughuli zake.. Wamarekani wanamsaidia Dr Shika kupata pesa zake! Kaamua kuishi nyuma ya wakati.... Osama alitumia hii mbinu kwa mafanikio makubwa.. Dr kaamua ku act low profile na kujitenga kabisa na harakati za dunia.....

ITAENDELEA........
Hizi ndizo threats tunazozitaka.
 
Naamini hukunielewa kabisa na hizi ni tafsiri zenu kwa kile alichokisema ila angeulizwa yeye jibu lingekuwa tofauti kabisa
 
Ukisoma kitabu cha Chahali,Afisa Usalama,utagundua kuwa Dr Louis Shika Kid ni jasusi wa viwango vya juu sana. MTU ambaye yuko tayari kufa bila kutoa siri na katika hali mbaya akafanikiwa kutoroka,hii sio kawaida. Hapo ni kusema,miongoni mwa watesi wake,alikuwepo mwenzake undercover ambaye hata warusi wenyewe hawakumjua ni nani aliyemtorosha,ila yeye Dr anamfahamu ila kamwe hawezi kumtaja. Baada ya kukamatwa na Polisi,ni nani aliye elekeza ajidhamini mwenyewe na mpaka sasa hajapekwa mahakamani,ni kitu gani Polisi wamegundua au nani kawalekeza cha kufanya? Yote hayo ni maswali yasikuwa na majibu. Na kwanini Polisi hawasemi clues walizopata baada ya kumuhoji kama wanavyosemaga kuhusu wahalifu wengine? Kwanini balozi Patrick Chokala ameonesha kutokutaka kuingia into details za waliomteka Dr na kuishia kuwaita ni wezi tu? Mwizi gani anateka zaidi ya siku nane! Serikali ya Tanzania miaka hiyo imepeleka majasusi wengi kusoma Russia na wengi wamefanya kazi nzuri lakini kama vichaa,nani anataka kuamini kuwa serikali haimjui Dr Shika? Kwanini waandishi wasi take trouble kumuhoji Mzee Ackson amuelezee Dr Shika au kutafuta wastaafu wahoji?

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nimpe pole kamanda wa polisi aliyemu underrate Dr Shika kwamba hana thamani hata ya million... Hawa ndio makamanda wetu wenye dhamana kubwa ya kutulinda.... Tungesema sisi wa mitandaoni isingekuwa shida sana maana huku tuko mix grille, wajuzi na wajuvi wa kila jambo.. Kamanda hakujihangaisha kabisa kupata habari za huyu mtu kabla hajatoa taarifa yake mbele ya kamera.... Kumbe mtu aliyemdharau ni viwango vingine kabisa.. Mazoea yale yale ya kuwaamini wasaidizi na bila kujiridhisha na taarifa zao
Dr Shika ni mtu zaidi ya tunavyomfahamu, kaeleza machache kabaki na mengi, lakini machache aliyoasema yametosha kumchora picha yake halisi katika uhalisia wake..... Twende na dondoo zifuatazo

1. Masomoni Urusi na kuanzisha biashara kubwa
Achana na scholarship za siku hizi za kupeana... Wakati ule ukienda kusoma/kusomeshwa nje... Wewe ni cream... Historia inaonesha Dr Shika alikuwa vizuri sana kichwani tangu sekondari.... Na kwa vyovyote huko Urusi alifanya vizuri pia kitu kilichowavutia wengi...
Ni baada ya kumaliza masomo yake hakurudi nchini bali alibaki Urusi na kuanzisha biashara kubwa, yeye pamoja na washirika wengine ambao asili ya kukutana kwao haiwekwi wazi... Dr. Shika yeye ndio akawa rais wa kampuni kubwa yenye mtandao wa makampuni mengi.. Mafanikio ya haraka ya kampuni hii yaliwagutua warusi na kuanza kumdukua

2. Mafanikio ya kampuni na kumiliki mali nyingi
Kampuni yao hiyo bila kujulikana kwa hakika shughuli zao hasa ikawa ni kampuni inayokuwa kwa haraka mpaka kuwa na uwezo wa kumiliki ndege binafsi... Hapa warusi wakashtukia mchezo kuwa pengine hawa watu ni undercover informers wa wamarekani, na hii kampuni ni zuga tuu... Janja hii hutumiwa na mataifa mengi... Dr. Shika inapofikia hapa huwa na kigugumizi kidogo na bahati mbaya hatuna waandishi wanaojua kuhoji

3. Kuwindwa kutekwa na mateso
Dr. Hapa kuna kitu kikubwa sana anakificha.. Aliliwa timing ya muda mrefu mpaka alipokamatwa nyumbani kwake.. Inawezekana kabisa nyumba ilishakaguliwa yote.... Lakini pia style ya kuondoka naye wakiwa wamemfungia kwenye kabati maana yake huyu hakuwa mtu wa kawaida
Kwa maelezo yake alipelekwa mpaka nje ya mji Kwenye nyumba yenye chumba cha siri chini ya ardhi na kuanza kuteswa, kwa madai kwamba watekaji walitaka pesa kiasi cha USD million moja... Dr hapa pia kasema uongo kuna kitu anaficha pia... Kwa utekaje huo watekaji wangetaka awapigie simu jamaa zake wakate mpunga (ransom).. Lakini Dr Shika anakiri kwamba alitekwa na kuteswa na the professionals toka KGB- shirika la kijasusi la Urusi... Kwa mateso yale hawa walikuwa wanamlainisha aseme yeye ni nani hasa.. Amekuwa mlemavu wa vidole vitano vya mikono.. Mkono mmoja viwili, mmoja vitatu, amevunjwa mbavu tano, na sikio moja limepindishwa kwasasa ya makofi... Majambazi wanaotaka hela hawana mateso ya namna hii.. Haya ni mateso ili ufunguke.. Roma anajua vema..

4. Ujasiri, uvumilivu na utulivu
Dr ana viashiria vyote vya majasusi, pamoja na mateso yote hayo na kujeruhiwa vibaya kabisa lakini hakupaniki wala kukata tamaa alikuwa mtulivu jasiri akisuburi one mistake one goal... Na akajenga nao urafiki yani hakuwa kiburi, unateswa unatukanwa unadhalilishwa unaumizwa lakini baada ya hapo unaenda nao sawa... Hii kitu ina mafunzo maalum.. Dr. Alikuwa mtulivu na mvumilivu mpaka akaweza kutoroka akiwa hoi kabisa...

5. Kutoroka kwake kunaacha maswali mengi, kwanini alibebwa na ndege maalum ya malkia wa uholanzi? Je ilikuwaje? Ni nani walifanikisha hii mipango? Kwanini mmarekani alitoa msaada mkubwa kwake mpaka akaweza kufika nchini salama? Je KGB walikuwa sahihi? Je alifanikiwa kuficha siri kuu ndio maana wamarekani hawakumtupa hata sasa?

6. Vifo vya washirika wake kwenye kampuni
Wenzake karibia wote walikufa kwa kuuwawa.. Yeye kaponea shimo la tewa (kuna maswali mengi sana kwenye hili..... Kampuni lao bado lipo lakini limesimamisha shughuli zake.. Wamarekani wanamsaidia Dr Shika kupata pesa zake! Kaamua kuishi nyuma ya wakati.... Osama alitumia hii mbinu kwa mafanikio makubwa.. Dr kaamua ku act low profile na kujitenga kabisa na harakati za dunia.....

ITAENDELEA........
Hii story umeharibu ulipomhusisha roma. Lile ni tukio la KIKI. Hakunaga utekaji ka ule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom