Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,758
- 6,087
Mbona alisema ana Kampuni urusiKuna mtu mmoja wa internet Cafe alisema Dr Luis alikuwa anakwenda sana kiufupi maelezo ya pesa aliyoyatoa yanaonyesha amekutana na matapeli wa mtandao ambao wanaweza kukwambia umeshida pesa kibao namna hile ya usafirishaji aliosema wa kulipia bima pesa niya kutapela badala ya money transfer cost ambayo wanaweza kukata kwenye pesa yako bila kutuma chochote, hivyo kwa hatua hii inahitaji mjadala mpana wa kusaidia watu wasiojua kadhia hiyo
Kampuni hewa, nawafahamu wazee wengi wastaafu wanavyotapeliwa kwenye mtandao, tena wanafanya siri sana mwisho wa siku inakuwa hali tete atakuwa alichaguliwa kuwa kiongozi kwenye kampuni hewa,Mbona alisema ana Kampuni urusi
Dokta ana exposure ya kutosha, hana ushamba na anajiamini.
Serikali ifuatilie taarifa zake huenda ni kweli alikua na kampuni huko Urusi.
Ila sikushauri ukajiweke pale!Tusubiri dr akamilishe manunuzi ya nyumba za Lugumi
Ni kweli mkuuIla sikushauri ukajiweke pale!
Ni kwa mapenzi mema kabisa dadangu!Ni kweli mkuu
KINA VODCA..?????Wazazibar hawagusagi pombe.
Pombe za urusi zinaenda kichwani
Huyu dk sio mtu wa mchezoAaah aah, mimi ukiacha mengine nimeshika "ukikutana na mbwa mkali shika pu.bu zako atanywea na ukikutana na nyoka shika kitovu".
Kweli huyu doctor ana knowledge!