Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

There is more to this story than we think. Kwa jicho la tatu.
Huyu mzee is very smart beyond,trained smart.
Swaqta.sio bure mkuu mpaka muda wote leo ndo anaonekana!
Hapana tena ktk sakata la nyumba!
Sio bure kuna kagiza ktk uoni wetu
Naungana na wew lazma kuna kitu.
 
Kinachonifanya nizidi kumkubali huyu mzee. AMESIMAMIA MSIMAMO WAKE ULE ULE. anataka anunue nyumba za lugumi.
Mzee peace Sana. Na ushirikiano anatoa kwa waandishi.
Nimecheka pale getini alipokuwa anahojia alipomaliza akasema. Haya Asanteni.

Halafu anafafanua kwa ufasaha Tatizo la kwny Mnada Tena kwa Maneno mafupi conclusive
'Tatizo ni kutokuelewana'
 
Sioni Kama ni chizi huyu mzee...tarehe za matukio anazikumbuka vzr Sana kitu amabachi wengi wetu atuwezi kuweka kumbukumbu....ila mbona pesa anataja nyingi Sana!!! Mmm.hapa sijui
 
watanzania wengi wanaoenda urusi huishia kuvurugikiwa akili.

Nawafahamu zaidi yA watatu. Sijui kuna jambo gani (japo kuna exception ya wazanzibar)
Kweli kabisa. Tatizo hili limewakumba wengi waliojihusisha na unywaji wa pombe kali za Kirusi. Si Wazanzibari tu ambao hawakuguswa na janga hili, kuna wale wa Bara ambao wameepuka kwa kutojihusisha na ulevi huo.
 
Hadithi ya Dr inasikitisha....pamoja na kuonekana kidogo hayuko sawa bado inaonekana kayapitia makubwa sana na kinda ukweli kuwa amepata kuwa na fedha
 
Kuna mtu mmoja wa internet Cafe alisema Dr Luis alikuwa anakwenda sana kiufupi maelezo ya pesa aliyoyatoa yanaonyesha amekutana na matapeli wa mtandao ambao wanaweza kukwambia umeshida pesa kibao namna hile ya usafirishaji aliosema wa kulipia bima pesa niya kutapela badala ya money transfer cost ambayo wanaweza kukata kwenye pesa yako bila kutuma chochote, hivyo kwa hatua hii inahitaji mjadala mpana wa kusaidia watu wasiojua kadhia hiyo
KWELI KABISA------------NAONA ITAPENDEZA SANA
 
Back
Top Bottom