Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

Kigwa Kila siku anazidi kujidhalilisha, angekaa kimya.. shobo kumshindo sio inshu
Ni kweli mkuu, kigwa ni hovyo sana, hasa anavyolialia kwenye mitandao kila kukicha huyu jamaa ni shida
 
Back
Top Bottom