Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

Lissu anahitaji watu wenye busara nyuma yake kumuongoza jamaa ni mjuaji sana na ni kama hana cha kupoteza so chadema wasipokuwa makini hili jini litatoka nje ya chupa
 
Ukikifahamu kiingereza kwa uzuri hutashindwa kusikiliza na kuelewa anachoongea mzungu awe mmarekani au mwingereza na wazungu wengine.

Kwenye kiingereza ukifahamu hiyo grammar kama anavyosema mmoja wetu hapo juu basi wewe utakuwa wakitafuna tu.

Cha msingi ni ule mfumo wake wa kanuni kwamba wafahamu kuunda maneno, sentesi na kauli kwa kutumia lugha yako ya asili.
Hapo sio kweli.

Watu wa nchi mbali mbali wana namna ya kutamka maneno ya Kiingereza. Waweza kuwa wamwelewa mswahili akitema yai lakini ukapata tabu kumwelewa mmarekani au mtu toka baadhi ya nchi za Afrika magharibi na Latin America.
 
Huyu mwanasheria huu uchaguzi una mhusu nini?

Yani anafikia hatua ya kutukana taasisi za nchi yetu kisa Lisu?

Ana maslahi gani huyu na Lisu wake?
mmmm taasisi zetu mabingwa wa kujitukanisha,mmm labda kesho zitakuja kuwa TAASISI
 
Back
Top Bottom