Uchaguzi 2020 Dkt. Kavishe: Wawakilishi wa CHADEMA waliomba Tundu Lissu apunguziwe adhabu, maana yake walikiri kosa

emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
View attachment 1588495View attachment 1588496
Sidhani Kama Ni mwandiko wa mzungu, hawezi kuwa na grammar mbovu hivi
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hili jamaa ongo Sana, lilisema limetumiwa barua ya uchumba haliendi, kumbe limemtuma kibatala, likasema lina hafla na balozi wa umoja wa ulaya kumbe linakikao na millard Ayo, likatudanganya eti halitaenda kwa Mambo Sasa kumbe mbowe kaomba msamaha kalia ka mtoto mdogo, nyambafu
 
leo ya pili bado siku tano tu,itamsaidia mgombea kupumua na kujipanga
siku ingine aache ununda
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lisu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe kulikuwa na wawakilishi feki, chama hakikushirishwa mchakato haramu

Kuna ukiukwaji mkubwa wa Sheria

Maamuzi yao ni batili
 
Huyo Amsterdam ni mtu wa wapi? Mbona kama english language grammar yake haiko vizuri? Grammar mbovu au siyo native speaker wa english language?
Sisi wenyewe tunaoandikiwa hatujui vizuri kwahiyo inatosha, yaan kwa maana nyingine mwalimu anayesahisha mtihani naye hajui majibu yake vizuri.
 
Hili siyo swala la taaluma, ni kitu rahisi tu, kwamba huo ujumbe grammar yake haijakaa sawa sasa kama hauoni hiyo siyo kazi yangu kukufundisha labda ni wewe ndiye uliyemuandikia huyo loya na yeye hakujisumbua kusoma akaposti tu, lkn hauwezi kuwa ujumbe ulioandikwa na loya ambaye ni native speaker wa english language, ...

Hii English imeenda shule, kama hujaelewa jua hujui
 
Uzuri ni kwamba, hata pakitokea umwagaji damu, NEC, Msajili na police wote wameshaonyesha kuwa wanachochea hizo vurugu kwa kumwandama Lisu unfairly huku wskimwacha magufuli akiendelea kuvunja taratibu nyingi, ikiwemo kutisha wapiga kura kuwa wasipochagua wabunge na madiwani wa ccm hawatapata maendeleo.
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kesho TL kampeni zinaendelea. Endeleeni na kamati yenu ya maadili tuonane Oct 28
 
Kuomba nafuu ya adabu sio kukiri kosa, mleta uzi una uelewa mdogo sana au hakuna kabisa juu masuala ya kisheria.
 
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.

Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa adhabu ilipunguzwa na kuwa kifungo cha kutofanya kampeni kwa siku saba (7)

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwa nini hawakumtumia Dr. Maduhu?
 
binafsi naishangaa sana kamati kuu ya CHADEMA kukulaiana na hukumu hii, next kabla ya uchaguzi tume ikishirikiana na hao wahuni kutoka vyama uchwara itamuengua kabisaa TL asishiriki uchaguzi…………………...
 
DR, mbona unatuangusha sana, yaani unamhukumu mtu bila ya-

1. Kumwambia kosa lake
2. Nani aliyelileta hiko kosa lake kwenu (mlalamikaji)
3. Bila kumpa nafasi ya kujitetea yeye mwenyewe, sababu kosa halikufanywa na chama bali ni yeye

Huoni hujafanya justice hapo? una amani ndani ya roho yako personally baada kutimiza hilo?
 
Back
Top Bottom