Sasa 2015 ilikuaje wakahairisha uchaguzi? Mlibanwa pabaya mana mbinu zote zenu ziliwekwa wazi. Mara hii mmetumia mbinu za pingamizi lakini nazo zimebumaKumbe wanasiasa waongo huwa wanasema Maalim huwa anaishinda ccm ktk chaguzi zote kisha wanampora! Kumbe huwa anakosa ushindi japokuwa kashinda!!! Duh Dunia haijawahi kuwa na usawa.