Pole sana huenda wewe ni mtizamaji tu wa mipira ya ulaya na wala sio mfuatiliaji!Ulaya msemaji ni kocha mkuu.
Yeye ndiye anajua kila kitu kuhusu timu hivyo ni mtu sahihi zaidi kuulizwa na kutoa update.
Bongo sasa...
Taja msemaji wa timu yoyote ya uingereza anayeelezea mbinu, matarajio ya timu ya msimu, majeruhi na uwezo wa wachezaji.Pole sana huenda wewe ni mtizamaji tu wa mipira ya ulaya na wala sio mfuatiliaji!
Timu zote unazozijua za ulaya zina wasemaji wake na baadhi kama si zote zina waandishi wao, tv zao pamoja na radio zao.
Taja timu yoyote unayohisi haina msemaji nikutajie jina lake
Shida yako ni ndogo wewe ni mpenzi mtazamaji tu.Taja msemaji wa timu yoyote ya uingereza anayeelezea mbinu, matarajio ya timu ya msimu, majeruhi na uwezo wa wachezaji.
Timu za nje zina msemaji kwa ajili ya ishu kama mapato, faida, madeni, hasara na vitu kama hivyo.Shida yako ni ndogo wewe ni mpenzi mtazamaji tu.
kubishana na wewe itakuwa ni kujipa kazi isiyo na maslahi yoyote.
View attachment 1720905
structure ya manchester united kwenye issue za tech.
Manchester United yakanusha uvumi uliozagaa ya kwamba Wayne Rooney atauzwa mwishoni mwa msimu huu
Klabu ya Manchester United imepuuzilia mbali uvumi uliozagaa ya kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uingereza anayekipiga katika timu hiyo Wayne Rooney atauzwa mwishoni mwa msimu huu. Manchester United…www.rfi.fr
pole sana aisee mpira ni zaidi ya uujuavyo
Bongo msemaji wa klabu anazungumzia mpaka mbinu zitakazotumika mchezoni. Anakwambia kabisa tutacheza mpira wa pasi. Anazungumzia pia majeruhi na hali za wachezaji. Hizo zote msemaji wake apaswa kuwa kocha.Taja msemaji wa timu yoyote ya uingereza anayeelezea mbinu, matarajio ya timu ya msimu, majeruhi na uwezo wa wachezaji.