Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.

Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.

Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

😂😂😂😂😂 Nimecheka,hivi ukitimuliwa stahiki zako za Umakamu zinaisha au? 😆😆😆😆
 
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.

Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.

Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Leo ndio mara yangu ya kwanza kusikia Dr Rose Anafanya Kazi za Chama tangu achaguliwe
 
🤣🤣🤣🤣
Lucas Mwashambwa kakosea nini?
Alishaga pewa kalipio Kali huko nyuma na Sasa hakujifunza anaendelea 😆😆😆😆

Baba yake alishawahi shughulikiwa pia 😂😂👇👇
jamvimediagroup_1787717100847.jpg
 
Back
Top Bottom