Watajijua, haituhusu sisi.CCM wanavyotuchukulia watanzania, wanaweza weka hata jiwe na likapita.That's official. Mhe Deo Ndejembi apendekezwa VP. Taratibu zinaendelea kukamilisha mchakato. That's it.
Inasikitisha sana
Hapana. Amepimwa kwa mizania ya chama hafai! What else do you want? Katibu Mkuu amemalizia taarifa yake isiyozididi dakika 3; POKEENI TAARIFA HIYO! Not for discussion.Inasikitisha sana
Elimu mbali mbali.Deo Ndejembi ana elimu gani?
Atakuwa anafanana elimu na Saa100Elimu mbali mbali.
Wangesema alifanya kosa Gani.Hapana. Amepimwa kwa mizania ya chama hafai! What else do you want? Katibu Mkuu amemalizia taarifa yake isiyozididi dakika 3; POKEENI TAARIFA HIYO! Not for discussion.
Hata mume wake alishamkimbiaHuyu mama kumtetea ni ngumu sana
That's official. Mhe Deo Ndejembi apendekezwa VP. Taratibu zinaendelea kukamilisha mchakato. That's it.
Kwanza pokea taarifa hiyo kama ilivyo. Amefanya nini ni mambo ya ndani ya chama kilichomvua uanachama!Wangesema alifanya kosa Gani.
Hapo sasaMaadili ni yapi