nchimbi afukuzwa uwanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chacha: Wengine wanauliza Nchimbi yuko wapi? Umeenda nyumbani kwake wamekwambia hayupo!

    Katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni wa CCM, Paul Matiko Chacha, amekemea viongozi wanaofanya makosa na kujificha nyuma ya chama, akisema CCM itachukua hatua dhidi ya kiongozi au mwanachama yeyote atakayekiuka Katiba, kanuni na taratibu za chama na jumuiya zake. Chacha pia amehoji wanaoendelea...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mohammed Kawaida: Mliona tulichokifanya, mwingine ajifanye mkubwa kuliko CCM aone

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mohamed Kawaida ametoa onyo kali kwa viongozi wa serikali na wa Chama hicho wanaojifanya kuwa ni wakubwa kuliko chama hicho kwamba hawatasita kuwachukulia hatua Soma pia >> Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM na Wassira, tuelezeni Nchimbi yuko wapi?

    Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoeleweka. Imekuwa ukitofautiana kimawazo katika CCM basi wewe ni ugaidi. CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi. Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watueleze Nchimbi yuko wapi?
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Nchimbi: Ninamsimamo na kama mnataka kunitimua nitumueni leo leo

    Kutoka Maktaba: Alisema Dkt. Emmanueli Nchimbi, punde baada ya kutangazwa kuwa Katika Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo mwezi Januari, 2024 Naona alichokisema kimetimia! Msimamo ndio silaha muhumi zaidi kwenye maisha Mzee wangu Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt...
Back
Top Bottom