Dkt. Dau afitinishwa na JPM

labda nssf ni taasisi ya kiislaam kama bakwata, etc... halafu dau naye, kwanini asikatae tu huo uteuzi uliowaudhi confidants wake?
 
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?

Hii dini ni janga jaman
Mbona mnamlalamikia dau kila siku
 
haya yote kisa dau ni muislam,waislam wanapenda kutengeneza mazingira ya kuobekana kuonewa hii sio poa kabisa mnatengeneza chuki uraiani
 
hivi ingekuwa waleta mada na wachangiaji mnakutana uso kwa uso....naona pangechimbika...maana naona jinsi watu walivyosimamisha mishipa ya shingo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Vijana laleni mmpate afya, huu unafiki na uchochezi, hautamiletea kula. Note mnatumiwa kama vibaraka, wanaofaidi ni wajanja na bila kujali dini wana kula pamoja.
 
Dr, Dau aseme yeye mwenyewe. Asiache watu wengine wamsemee. Hata kama ameliendesha shirika hila kwa ufanisi wa hali ya juu, sio sababu ya yeye kuendelea kuwepo hapo. Yeye ni binadamu, anaweza kuugua na akapoteza uhai. Haiwezekani NSSF iwe ni Dr. Dau na Dr. Dau awe NSSF. Pia kwakuwa ameshatumikia kwa miaka zaidi ya 20, ni wakati wa kuwapisha watu wengine wenye maono tofauti. Mfano wengine tunashangaa kwanini wachangiaji wa NSSF hawakopeshwi na NSSF wanaachwa wakakope kwenye mabenki ya biashara kwa riba ya hadi 23% wakati hela zipo zao zipo NSSF kila siku zinajenga majengo.

Iwapo ataruhusu watu 'wake' wamsemee, basi itadhihirisha yale yaliyokuwa yakisemwa mtaani kuwa yupo pale kwa maslahi ya 'watu wake'. Mtu mwenye elimu na uzoefu wa Dr. Dau, sio wa kupigiwa debe na magazeti haya mawili.
 
Huyu dau ni jipu alimzunguka msikitini kuomba support eti magufuli anamchukia hivyo atamuondoa nssf kwa visa.misikiti yote alipita akishirikiana na jamaa mmoja toka kondoa,taarifa zote jpm anazo,sasa ndo magazeti yanatafuta sympathy kwa jamii kwa mwavuli wa uislamu
 
Kesho wataandika... waislam wafelishwa kdt cha 4 na Ndalichako...

Hawa jamaa!!??
 
mimi sina hkika na hicho unachosema kinawezekana kikawa kweli au si kweli
 
MBA,CPA(T),bado unasubiri kuajiriwa tena na NSSF?,fungua Auditing firm weweeee,alaaaah
asante kwa ushauri wako mzuri, mimi nililikuwa namjibu huyo jamaa, maofisni watu mara nyingi upewa kazi kwa kujuana na sio dini ,iwe nssf au pengine( ingawa sio mashirika/makampuni yote)
 


PIGENI KAZI, ACHENI KULIALIA
 
Mlu
 
Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu

Dau hakupewa kazi NSSF kwasababu alikuwa muislam, alipewa hiyo kazi kwakudhaniwa kuwa angelinda fedha za wafanyakazi!!! Nenda UDOM ukaone quality ya majengo yaliyofadhiliwa na NSSF yalivyojengwa chini ya viwango; matokeo ya kuchukua 10% huku majengo yanapata nyufa ndani ya miaka miwili!!
 
Mimi naunga nkono hayo magazeti yote kwani kwenye makala ya gazzete la raia mwema Prof. Kitila mkumbo alitahadharisha juu ya jambo hilo, pamoja na uwino kikanda na jinsia pia!
Huko ndiyo kuisoma namba kama ulikuwa hujui! Mi'nasema wacha waisome namba eeh!
 
La muhimu ni kuanza kupima baada ya Dau NCCF WATAFANYA NINI CHA MAANA......

Marais wa kiislamu wanakuaga wamezubaa sana,cheki wenzao wanavyofanya kweli,mtaisha serikalini atabakia majaliwa peke yake,ha ha ha ha
 
Unadhani kwanini maaskofu huwa wanahaha sana ukifika uchaguzi mkuu.......?
 
Kama mtoa Uzi huu kafanya utafiti na kagundua kuwa sehemu zote zilizokuwa zimeshikwa na Waislam sasa zinatolewa kwa Wakristo je kuna ubaya gani hapo?

Au alitaka sehemu hizo zishikwe na waislam milele,, kama mwanzo nafasi ilishikwa na Mwislam na sas inashikwa na mkristo hakuna ubaya wowote hapo,,

Mbona wakati nafasi hizo wanateuliwa Waislam kuzishika ,Wakristo mbona hawakulalamika.

Magazeti kama haya hayafai kuendelea kuwepo,, yanasambaza Chuki kwa watz, badala ya kuwaunganisha.

Labda atuambie ni nafasi zipi zimetengwa kwa ajili ya waislamu tu, na sasa nafac hizo zinaporwa na kupewa wakristo.

Mtoa Uzi huu kajawa na Udini hayo magazeti ni bora yakajikita zaidi ktk kuelimisha waumini wao juu ya Imani yao badala ya kujihusisha na haya MAJIPU,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…