Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Tutalirejesha jimbo la Kigoma Mjini mikononi mwa CCM kwa gharama zozote

Pascal Mayalla,
Conclusion yako si sahihi! Ili kuonesha kuwa CCM imeshinda lazima ihakikishe hayo majimbo inayachukua na hata Iringa Mjini. Isipoyachukua itakuwa haijashinda ila imeonea wanyonge tu. Uchaguzi ni mbinu na anayekushinda unampa mkono maisha yanaendelea.
 
Gharama zozote?

Huu ndio u chochezi

Nashangaa jeshi la police halijachukua hatua za kisheria na kumuhoji ni jinsi gani watalichukua.

Naamini kauli hii ingelikuwa ya kiongozi wa chama cha upinzani basi sasa hivi yupo mikononi kwa police au watu wasio julikana
 
Pascal Mayalla,
mzee kama hivyo ndivyo walivyokutuma ccm useme basi warejeshee majibu waambie ccm watakavyo lipiga ndio litavyo chezwa mara hii huu ni mwaka 2020
 
Zito Kabwe piga, ua, garagaza harudi Bungeni 2025 hata kwa mbinde!
Ndio, kwa gharama yeyote maana yake hata kwa damu! Mwambie Bashiru tumemuelewa.
Mtaturu kaingia Ikungi (Singida mashariki) kwa damu ya Lissu ambayo kama Mungu asingekataa roho yake ingeachana na mwili.
Ni vizuri sasa viongozi wa CCM wanasema kwa uwazi mipango yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu tulipobaini kuwa wewe Ni miongoni mwa waliopanga na kumbambikia kesi Kabendera. Kila nikiona comments yako napatwa na hasira kali ya kulipiza kisasi.

Inawezekana unawajua wengi waliko
Ben Saanane
Azory Gwanda

Na wengine wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Uhuru wako umepitiliza. Tusiwe tunatuhumiana bila ushahidi na mbaya zaidi tuhuma zinapokuwa zimeshatolewa ufafanuzi na member wenzetu.
Pascal Mayalla alisha liweka jambo la Kabendera wazi na tumemuelewa, kauli yako inaondoa mood ya mtu kushiriki hii mijadala ya kupeana elimu bure.
Utani uwepo lakini usiwe wa kuumizana au kufedheheshana. I'm sorry mkuu ni ushauri tuu.
Kwanza alicho post hapo ni wazo bora tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Bushiri usitume mtu wewe mwenyewe chukua form then uone aibu utakayoipata - achana na kitu kinaitwa Kigoma...kule wana siasa zao ambazo mwingine ukivamia huko utaonekana ka kibaka vile... Hangereni Kigoma kwa kuwakataa CCM na mawakala wao.
 
Back
Top Bottom