johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,029
- 142,089
Wafuasi wa Kigogo siku hizi wameshtuka kuwa walikuwa wanalishwa michembe mibichi ila wewe tu ndio bado umeunga tera!Hivi ile hela waliyotoa hazina yeye na Dotto James walisharudisha bwashee?
Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni
Msemaji wa SKM GANG!Hizi nyuzi zako za kila dk tukifungua sisi ban nje nje. Sijui ww una cheo gani humu
We Nape wewe...Ni bora nibaki kua machinga kuliko kua msomi fa,la kama Bashiru.
Ulikuwepo wakati wanaitoaHivi ile hela waliyotoa hazina yeye na Dotto James walisharudisha bwashee?
MbususuJitu la hovyo kabisa, usomi wa kifala na mavi