Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dkt. Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
 
Miezi mingapi imepita hajatoa shukrani ya kuteuliwa kama Mbunge? Jana ndiyo imeingia akilini kwamba Mama kamteua kama Mbunge?
😂😂😂😂ukubwa mtamu.
Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom