johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,582
- 141,381
Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dkt. Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni