900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
ahahahahahaha vita unafikiri hadi uone vifaru vya Izrael na Kim joun unHaya magazeti ukiyasoma unaweza wehuka;
" Hakuna vita baina ya Membe na Dr. Bashiru".
ahahahahahaha vita unafikiri hadi uone vifaru vya Izrael na Kim joun unHaya magazeti ukiyasoma unaweza wehuka;
" Hakuna vita baina ya Membe na Dr. Bashiru".
mbaya siku zote una kula keki naye.huwa hata nyimbo na vitabu mvisomiKatibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amekosoa kauli iliyotolewa na Bernard Membe aliyedai kuwa msomi huyo ni mgeni ndani ya chama tawala, kusisitiza kuwa anataka kuonana naye ili achote busara za waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu zao la korosho
Katika maelezo yake Dk Bashiru amesema yeye ni mgeni katika timu Membe na timu ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, lakini si mgeni kwenye kanuni za CCM.
Bashiru ametoa kauli hiyo jana usiku Desemba 2, 2018 mjini Geita baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita.
Kauli hiyo ya Dk Bashiru ni mwendelezo wa vita yake na Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akimtaka afike ofisini kwake kujieleza.
Alitoa kauli hiyo kwa mara ya kwanza akiwa mkoani Geita, akijibu ujumbe uliotumwa kwenye akaunti ya mtandaoni ya mtu mwenye jina la Bernard Membe kujibu tuhuma zilizotolewa na Dk Bashiru akiwa Geita.
Dk Bashiru alimtuhumu Membe kuandaa mpango wa kumkwamisha Rais John Magufuli katika uchaguzi wa rais na kwamba tangu ateuliwe hajawahi kuonana na mbunge huyo za zamani wa Mtama.
Membe alieleza kushangazwa na utaratibu uliotumika kumuita akibainisha kuwa pengine ni ugeni wa kazini wa Bashiru, lakini akaahidi kwenda kumuona akirudi safari ya nje ya nchi.
Lakini jana katika majibu yake Dk Bashiru ameonekana kukerwa na kauli kuwa yeye ni mgeni kazini.
Dk Bashiru amesema tangu ateuliwe kushika wadhifa huo, amekutana na wanachama wengi, akiwemo mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, Hawa Ghasia (Mtwara Vijijini) na kwamba wito wake kwa Membe ni kawaida na ni taratibu za CCM.
Pia, amesisitiza Membe kwenda kumuona ili ampe baraka na si mashtaka.
“Mimi simuhitaji kwa mashtaka nahitaji busara zake alikuwa mbunge kule Mtama sasa tunahangaika na korosho tunapambana na Kangomba ambayo inahusisha viongozi wa chama na Serikali, aje anipe busara tunataka kutokomeza unyonyaji kwa wakulima aje anipe busara,” amesema Bashiru.
Amesema hamzuii Membe kumjibu kwenye mitandao ya kijamii lakini majibu anayotoa yatatoa nafasi kwenye chama kumpima.
Bashiru amesema hawezi kumzungumzia mtu aliyetoa tuhuma dhidi ya Membe kwa kuwa CCM si chama cha kuzungumzia wanaharakati.
Dk Bashiru alisema wanafanya mageuzi makubwa kwenye chama kuhusu tabia hivyo wanaokosoa waendelee kukosoa lakini yeye anafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama na sio mitandao ya kijamii.
Chanzo: Mwananchi
Mnadanganywa kuhusu koro show
kwani hajafika tu ofisini kwakeKatibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amekosoa kauli iliyotolewa na Bernard Membe aliyedai kuwa msomi huyo ni mgeni ndani ya chama tawala, kusisitiza kuwa anataka kuonana naye ili achote busara za waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhusu zao la korosho
Katika maelezo yake Dk Bashiru amesema yeye ni mgeni katika timu Membe na timu ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, lakini si mgeni kwenye kanuni za CCM.
Bashiru ametoa kauli hiyo jana usiku Desemba 2, 2018 mjini Geita baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Geita.
Kauli hiyo ya Dk Bashiru ni mwendelezo wa vita yake na Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akimtaka afike ofisini kwake kujieleza.
Alitoa kauli hiyo kwa mara ya kwanza akiwa mkoani Geita, akijibu ujumbe uliotumwa kwenye akaunti ya mtandaoni ya mtu mwenye jina la Bernard Membe kujibu tuhuma zilizotolewa na Dk Bashiru akiwa Geita.
Dk Bashiru alimtuhumu Membe kuandaa mpango wa kumkwamisha Rais John Magufuli katika uchaguzi wa rais na kwamba tangu ateuliwe hajawahi kuonana na mbunge huyo za zamani wa Mtama.
Membe alieleza kushangazwa na utaratibu uliotumika kumuita akibainisha kuwa pengine ni ugeni wa kazini wa Bashiru, lakini akaahidi kwenda kumuona akirudi safari ya nje ya nchi.
Lakini jana katika majibu yake Dk Bashiru ameonekana kukerwa na kauli kuwa yeye ni mgeni kazini.
Dk Bashiru amesema tangu ateuliwe kushika wadhifa huo, amekutana na wanachama wengi, akiwemo mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, Hawa Ghasia (Mtwara Vijijini) na kwamba wito wake kwa Membe ni kawaida na ni taratibu za CCM.
Pia, amesisitiza Membe kwenda kumuona ili ampe baraka na si mashtaka.
“Mimi simuhitaji kwa mashtaka nahitaji busara zake alikuwa mbunge kule Mtama sasa tunahangaika na korosho tunapambana na Kangomba ambayo inahusisha viongozi wa chama na Serikali, aje anipe busara tunataka kutokomeza unyonyaji kwa wakulima aje anipe busara,” amesema Bashiru.
Amesema hamzuii Membe kumjibu kwenye mitandao ya kijamii lakini majibu anayotoa yatatoa nafasi kwenye chama kumpima.
Bashiru amesema hawezi kumzungumzia mtu aliyetoa tuhuma dhidi ya Membe kwa kuwa CCM si chama cha kuzungumzia wanaharakati.
Dk Bashiru alisema wanafanya mageuzi makubwa kwenye chama kuhusu tabia hivyo wanaokosoa waendelee kukosoa lakini yeye anafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama na sio mitandao ya kijamii.
Chanzo: Mwananchi
Tulia weweeCcm ni ilee ilee[emoji443][emoji441]
Ooh! ni ile ileee[emoji445][emoji444]
Mi nnafurahi sana nnapoona lumumba panafuka moshi.Moja ya garasa katika ccm ni Dr bashiru ally
Anaruka kauli zake na haeleweki ,
Mwanzoni alimuita Membe kujibu tuhuma ,sasa hivi anasema anataka Busara zake
Huyu CUF wa zamani , atapata shida Ccm halafu hana uungwaji mkono ndani ya CCM , hana ushawishi wowote kiufupi CCM inahitaji Katibu Mkuu mpya kabla 2020
Safi nyofoaneni hivyohivyo sisi wapinzani ndio furaha yetu hata thread za membe tunazileta hili mparuaneni tufurahi.Bashiru anapwaya Sana Chamani
Yeye katoa shutuma hadharani Halafu hataki majibu ya shutuma zake yatoke hadharani
Hayati Rais wa zamani wa Zambia Fredrick Chiluba alipopona kwenye Jaribio la Mapinduzi akatangaza kuwafanyia 'Mapinduzi' wale wahaini
Akaulizwa unawezaje kumpindua Mtu ambae hayupo Madarakani akasema 'naweza kutumia Panga uliloshika Mwenyewe kuhujumu Mwili wako bila ya kukupora Na hicho ndicho kipaji kati ya Vipaji vingi nilivyonavyo'
Membe anatumia shutuma Za Bashiru kumshusha thamani Bashiru Mwenyewe
We nawe hiyo profile pic na mawazo yako yapo sawaHaya magazeti ukiyasoma unaweza wehuka;
" Hakuna vita baina ya Membe na Dr. Bashiru".
Safi nyofoaneni hivyohivyo sisi wapinzani ndio furaha yetu hata thread za membe tunazileta hili mparuaneni tufurahi.
Nchi imewashinda kabisa
msimamo wako wewe upi sasa? kura unampa nani?Ni Mtz mbumbumbu tu ambayde hawezi kujua kinachoendelea hapa!
Hizi chokochoko za MEMBE na BASHIR ni vita ya MAGUFULI na WAGOMBEA WOTE WA URAIS MWAKA 2015: MEMBE,JANUARI,MIGIRO,NCHIMBI na MADELU kwa upande wa CCM na LOWASA upinzani!
Ukiangalia kwa jicho la tatu Magufuli anekuwa akiwashughulikia hawa walokuwa wapinzani wake kwenye Urahisi kwa staili tofautitafauti kulingana na nguvu waliyonayo ndani na nje ya chama!
Chama kimeshikwa na MANYANG'AU YA CCM....!!!
Nasikia wanasema kangomba ya korosho inapigwa na viongozi, au wamebaini na jamaa ni miongoni mwao nini?wamemtoa kinana, wakamtoa nape,wakawanyamazisha akina malope,mwigulu akina bulembo na wafia chama wengine wakaambiwa wanakula mali za chama. haya yote yamefanyika wakidhania sasa watakuwa salama chamani...hahahaaaa pathetic
chama hichikinahistoria moja toka awamu ya pili kuisha kulianza siasa za makundi tena mbele ya nyerere..JK GROUP VS MKAPA GROUP. ikaja JK GROUP VS SALIM GROUP na mengineyo.
ninyi kina bashiru hiihali mliikuta na approach yenu ndoinazidi kuwa gawa zaidi tena hali ya sasa ndo mbaya zaidi.
kama kipindikile JK walimuimbia wanaimani na mtu furani then mwenyekiti wa sasa akajinasibu angekuwa yeye angewafukuza...nakuhakikishieni mwaka 2020 ajiandae kukutana na dhuruba maana wanaccm kipindihicho huwa hawaangalii kesho ila rushwa na ahadi za kuteuliwa na hilo huwa linawatia ukichaa. Mtaniambia wa kuu
Nasikia wanasema kangomba ya korosho inapigwa na viongozi, au wamebaini na jamaa ni miongoni mwao nini?