Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,605
- 5,185
Alipotea njia ya kuondokea kwenye ile shughuli ya uapisho.

Labda aroge Mbunge wa kwenye Jimbo lake afe kisha akagombee yeye vinginevyo aishi kwa matumaini tu kuwa Ile special audit report ya BOT ije msafishe. Pale alipo haja ndefu inagonga kyupi na kurudi ndani.Haiwezekani PM hawezi kutoka viti maalum/vya kuteuliwa
Na israili naye hakuremba,ukim beep yeye anakupandia hewani fastaAlikuwa anajichulia kifo
Kaishaiba hela ya kumtosha maishaniHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
View attachment 1741824
Alikuwa anasaini cheki ya kifo chake maana kila marehemu husimulia juu ya kifo chake kabla ya kufa mm binafsi nilipoona simulizi za kuhusu kifo zimekuwa nyingi pale kanisani nilianza maandalizi ya sherehe ya maombolezo😅😅😅😅😅Alikuwa anajichulia kifo
Wapinzani wa nchi hii hamna akili kabisa ni ulofa kushangilia Mtu Kama Balozi Bashiru ambaye mbunge kuondolewa kwenye nafasi KMKHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
View attachment 1741824
Ni nafasi ya yeye kula maisha na "baby Pauline"Bila kumsahau Pauline Gekul

"baby Pauline"Kwani kuna nini hapa Kati yake na Gekul? Maana naona watu wanamsema.sana tujuzane
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app

Alaa kumbe!!!! , sasa kawa boss wake"baby Pauline"![]()

duu maisha haya kasogezewa msosi
Hii nayo pia ni reply kwa mtazamo mwingine... Asante kwa kuchangia madaWapinzani wa nchi hii hamna akili kabisa ni ulofa kushangilia Mtu Kama Balozi Bashiru ambaye mbunge kuondolewa kwenye nafasi KMK
Balozi Bashiru ni mwana CCM aliyemuondoa pale ni mwana CCM
Kwanza kwa nafasi aliyonayo mpk sasa bado si ya kubeza
Pili Bashiru ni mwanasiasa amekuwa katibu wa chama chao hujui legacy aliyotengeneza
Hawa Cha dema mmejaa chuki mno hataaminika katika nchi hii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tupo huku mbezi beach anapiga tizi balaaVipi Hamis Kingwangwala ?? yupo mji huu
Maisha ni gwarideInasemekana alikwenda Ikulu kwa ving'ora akarudi kwa lift baada ya mtu mwingine kupewa nafasi yake, sijui ni nani alimpa lift.
Ama kweli there is no permanent season on earth
Kumbe u Rais ndio kazi ya kudumu sivyo? Wewe ni MJINGA wa ki ukweli ukweli aisee.Weka posho zao hapa tuone.
Na usisahau katibu mkuu KIONGOZI sio KAZI ya kudumu.
AiseeHi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu