Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Huenda akapewa Uwaziri Mkuu. Mimi natabiri hivyo. Majaliwa ameyumba kidogo jamii imekosa imani na yeye baada ya kwenda kusema uongo na kutoa vijembe msikitini
 
Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu

Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA

Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!

Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.

Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.

Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.

Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!

View attachment 1741824
Mkuu Mshana jr bingwa wa vilinge,ni kwanini mara nyingi maneno huumba kwenye negativity!? Mtu akijitamkia utajiri au kushinda bet ngoma inakuwa hola
 
Jamaa nadhani ndo anaongoza kuchukiwa Tanzania kampokea Makonda kijiti...Makonda anapumua sasa hivi...maana watanzania wakikuchukia hata ukicheka wanasema unacheka vibaya
 
Ni kawaida ya waalimu kujitolea mifano wao wenyewe ambayo hata haina maana kwa jambo husika.

Huyu dakta na wenzake wengi tu ni wahanga wa kushika chaki muda mrefu na kisha kukimbilia kwenye siasa.
 
Mkuu Mshana jr bingwa wa vilinge,ni kwanini mara nyingi maneno huumba kwenye negativity!? Mtu akijitamkia utajiri au kushinda bet ngoma inakuwa hola
Hata positive zipo nyingi tu ila zinazoonekana zaidi ni neg... Wanasema mambo mabaya huwa na sauti kubwa kuliko mema
 
Huenda akapewa Uwaziri Mkuu. Mimi natabiri hivyo. Majaliwa ameyumba kidogo jamii imekosa imani na yeye baada ya kwenda kusema uongo na kutoa vijembe msikitini
Haiwezekani PM hawezi kutoka viti maalum/vya kuteuliwa
 
Jamaa nadhani ndo anaongoza kuchukiwa Tanzania kampokea Makonda kijiti...Makonda anapumua sasa hivi...maana watanzania wakikuchukia hata ukicheka wanasema unacheka vibaya
Chanzo ni hii mambo ya kupayuka bila tafakuri
Screenshot_20210403-111129.jpg
 
Bashiru kathibitisha msemo kuwa wanasiasa niwaongo waliojawa na tamaa!! Bora angeomba akawe hata balozi kule JapanI, kukaa pembeni ya "babutale" akiuliza maswali ni fedheha sana!! kuzunguka na "mwanaefuei" tena mwenzie yukojuu maana kagombea hajapewa viti maalumu kimazereu!! Leo anamwuliza maswali Gekul kweli? Pole sana Kokulwa
 
Kazitengue zote unazokumbuka na usizokumbuka
Unatenguaje? Nikiwa mdogo nilisema staki utajiri nataka maisha ya kati tu,kibanda cha kuishi kula na kulala basi,nilisema hivyo kwasababu niliaminishwa huwezi kuwa tajiri mpaka utoe kafara,ni kweli mpaka sasa naishi maisha hayo kila nikifurukuta nizimakate nyingi sana nakwama naishia kwenye 20M na kuanza kurudi nyuma,baada ya kusoma huu uzi nimejikuta nipo kundi moja na Bashiru Kakurwa,natenguaje?nataka kuwa tajiri
 
Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu

Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA

Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!

Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.

Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.

Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.

Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!

View attachment 1741824
Hata jiwe aliropoka kuhusu kifo chake pale kanisani
 
Kuna album ya msanii mmoja aliipa jina la twice again hii ni mara yake 2 kutwa tuzo kupitia hiyo album mfululizo, huwenda ikawa ndio mwisho wake kutwa tuzo hiyo mfululizo
 
Tuendelee kukumbuka Cheo ni dhamana.. hakuna aliezaliwa nacho ...

Apambane na hali yake
Inasemekana alikwenda Ikulu kwa ving'ora akarudi kwa lift baada ya mtu mwingine kupewa nafasi yake, sijui ni nani alimpa lift.

Ama kweli there is no permanent season on earth
 
Back
Top Bottom