Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja katika muktadha tofauti
Public servant au Civil servant hutumika kwa mtu yeyote anayefanya kazi za uma au jamii na kulipwa pesa za walipa kodi
Public servant au Civil servant anaweza akawa yupo kwenye taasisi za serikali , Serikali za mitaa au Serikali kuu na amechaguliwa kufanya kazi hiyo
Walimu, Polisi, Madaktari ,Wauguzi wote hao ni Public servant au Civil servant endapo tu wanalipwa kodi za uma
Public servant au Civil servant baada ya kuchaguliwa au kujiunga yampasa kutofanya kazi za kisiasa yaani(Political related)
Kuna watu wanahoji eti Rais amevunja katiba ni katiba ipi mnayoongelea ambayo inasema Public servant au Civil servant haihusishi vyuo vikuu hasa chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya uma na wafanyakazi wake wanalipwa kodi za wananchi hivyo basi Dkt Bashiru yeye pale Chuo kikuu anahesabika ni mwalimu wa uma(Public Servant) anayeelimisha jamii (Social Servant) ambaye yupo likizo.
Dkt Bashiru Ally pamoja na Dkt Kitila Mkumbo pale chuo kikuu wanahesabika ni watumishi wapo likizo, Kazi zao za uteuzi kwenye nafasi za uma yaani Public Servant au kwenye nafasi za jamii yaani Social servant haziwazui kurudi chuo kikuu baada ya kuacha
Hoja ya kuwa Bashiru ni Public servant au Civil servant ni watu kukosa uelewa na tafsiri ya maneno.
Hoja hupingwa kwa hoja mwenye hoja kuwa Bashiru sio Public servant au Civil servant alete Definition zake hapa toka kwenye shule zake za kata au toka Oxford School of linguistic ili tumsaidie kutafsiri kwa kiswahili na sio kutafsiri kwa kinyakyusa au kichaga.
Hongera Rais Magufuli, Watapambana lakini hawatashinda, Tutaendelea kutumia ShiKwambi (Shinda kwa mbinu) na mwaka 2025 ni ushindi usio na kifani (landslides Victory)
Naunga mkono Serikali na Mahakama waendelee kutafsiri sheria na kanuni ziwe kwa kiswahili maana lugha za kigeni ni tatizo kubwa watu wanajadili maneno yenye maana moja yaani Public na Civil servant bila kuangalia context (au Muktad
(watumishi wa wananchi) ni viongozi kama (RC,DC,DAS,DED,MINISTERS ) na wateule wote wa RAIS ambao Rais anawateua.
Civil servant (ni watumishi wa
Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja katika muktadha tofauti
Public servant au Civil servant hutumika kwa mtu yeyote anayefanya kazi za uma au jamii na kulipwa pesa za walipa kodi
Public servant au Civil servant anaweza akawa yupo kwenye taasisi za serikali , Serikali za mitaa au Serikali kuu na amechaguliwa kufanya kazi hiyo
Walimu, Polisi, Madaktari ,Wauguzi wote hao ni Public servant au Civil servant endapo tu wanalipwa kodi za uma
Public servant au Civil servant baada ya kuchaguliwa au kujiunga yampasa kutofanya kazi za kisiasa yaani(Political related)
Kuna watu wanahoji eti Rais amevunja katiba ni katiba ipi mnayoongelea ambayo inasema Public servant au Civil servant haihusishi vyuo vikuu hasa chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya uma na wafanyakazi wake wanalipwa kodi za wananchi hivyo basi Dkt Bashiru yeye pale Chuo kikuu anahesabika ni mwalimu wa uma(Public Servant) anayeelimisha jamii (Social Servant) ambaye yupo likizo.
Dkt Bashiru Ally pamoja na Dkt Kitila Mkumbo pale chuo kikuu wanahesabika ni watumishi wapo likizo, Kazi zao za uteuzi kwenye nafasi za uma yaani Public Servant au kwenye nafasi za jamii yaani Social servant haziwazui kurudi chuo kikuu baada ya kuacha
Hoja ya kuwa Bashiru ni Public servant au Civil servant ni watu kukosa uelewa na tafsiri ya maneno.
Hoja hupingwa kwa hoja mwenye hoja kuwa Bashiru sio Public servant au Civil servant alete Definition zake hapa toka kwenye shule zake za kata au toka Oxford School of linguistic ili tumsaidie kutafsiri kwa kiswahili na sio kutafsiri kwa kinyakyusa au kichaga.
Hongera Rais Magufuli, Watapambana lakini hawatashinda, Tutaendelea kutumia ShiKwambi (Shinda kwa mbinu) na mwaka 2025 ni ushindi usio na kifani (landslides Victory)
Naunga mkono Serikali na Mahakama waendelee kutafsiri sheria na kanuni ziwe kwa kiswahili maana lugha za kigeni ni tatizo kubwa watu wanajadili maneno yenye maana moja yaani Public na Civil servant bila kuangalia context (au Muktadha)
Kwa faida wasiolewa kama(gormles and moron ).
Chukua hii na ufanyie kazi na uelimishe wenzio
Public servant (mtumishi wa umma) ni mtumishi anaefanya kazi serikali kwa kuchaguliwa au kuteuliwa (selected and apointed) mara nyingi hawa ni viongozi wa kisiasa hawahitaji kufanyiwa interview wala kutuma maombi ya kazi.
Kundi hili utawakuta (Ma-Rc,Ma,DC,DAS,DED,Mawaziri,RAS AG,n.k),hao hawahitaji kuwa na qualification/requirement...kumbuka uhakiki haukuwagusa sio watumishi wa serikali hawa ni viongozi wa umma.
CIVIL SERVANT hawa ni watumishi wa serikali wanaofanya kazi za serikali kwa kuzingatia Vigezo (requirement) na kuingia mkataba na mwajiri...kundi hili kwa kifupi ni walimu,watendaji wa vijiji/kata,maafisa utumishi,maafisa mifugo,kilimo,madaktari, manesi n.k.
A public servant can be defined as a person who is elected or appointed by people or higher authorities in order to serve the general public. The term “public servant” is mostly used to refer to the politicians of a country’s government. These public servants always aim to serve common people in different ways. Unlike a civil servant, a public servant does not require educational qualifications or any other experience. It can be said that anybody can become a public servant if they are interested in social service and welfare.
A public servant can be defined as a person who is elected or appointed by people or higher authorities in order to serve the general public. The term “public servant” is mostly used to refer to the politicians of a country’s government. These public servants always aim to serve common people in different ways. Unlike a civil servant, a public servant does not require educational qualifications or any other experience. It can be said that anybody can become a public servant if they are interested in social service and welfare. Moreover, a public servant does not necessarily work for the government but they are able to work for the society voluntarily.
A civil servant can be defined as a selected person for a government department to offer his/her services for the government and for the general public. Usually, a civil servant is selected through a competitive examination or an interview, and he/she should possess required educational and professional qualifications; experience will also be an advantage. A civil servant is usually paid by the government for his/her services. Also, a civil servant can be recognized as a representative of the government as well. A civil servant may stand for the government and provide needed services to the general public. A civil servant’s duties and responsibilities are usually decided by his/her respective department officials.
Nadhani tumefunga mjadala.