Dkt. Bashiru Ally ni Public Servant au Civil servant?

Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja katika muktadha tofauti

Public servant au Civil servant hutumika kwa mtu yeyote anayefanya kazi za uma au jamii na kulipwa pesa za walipa kodi

Public servant au Civil servant anaweza akawa yupo kwenye taasisi za serikali , Serikali za mitaa au Serikali kuu na amechaguliwa kufanya kazi hiyo

Walimu, Polisi, Madaktari ,Wauguzi wote hao ni Public servant au Civil servant endapo tu wanalipwa kodi za uma

Public servant au Civil servant baada ya kuchaguliwa au kujiunga yampasa kutofanya kazi za kisiasa yaani(Political related)

Kuna watu wanahoji eti Rais amevunja katiba ni katiba ipi mnayoongelea ambayo inasema Public servant au Civil servant haihusishi vyuo vikuu hasa chuo kikuu cha Dar es Salaam

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya uma na wafanyakazi wake wanalipwa kodi za wananchi hivyo basi Dkt Bashiru yeye pale Chuo kikuu anahesabika ni mwalimu wa uma(Public Servant) anayeelimisha jamii ( Social Servant) ambaye yupo likizo.

Dkt Bashiru Ally pamoja na Dkt Kitila Mkumbo pale chuo kikuu wanahesabika ni watumishi wapo likizo ,Kazi zao za uteuzi kwenye nafasi za uma yaani Public Servant au kwenye nafasi za jamii yaani Social servant haziwazui kurudi chuo kikuu baada ya kuacha

Hoja ya kuwa Bashiru ni Public servant au Civil servant ni watu kukosa uelewa na tafsiri ya maneno

Hoja hupingwa kwa hoja mwenye hoja kuwa Bashiru sio Public servant au Civil servant alete Definition zake hapa toka kwenye shule zake za kata au toka Oxford School of linguistic ili tumsaidie kutafsiri kwa kiswahili na sio kutafsiri kwa kinyakyusa au kichaga

Hongera Rais Magufuli, Watapambana lakini hawatashinda, Tutaendelea kutumia ShiKwambi (Shinda kwa mbinu) na mwaka 2025 ni ushindi usio na kifani(landslides Victory)

Naunga mkono Serikali na Mahakama waendelee kutafsiri sheria na kanuni ziwe kwa kiswahili maana lugha za kigeni ni tatizo kubwa watu wanajadili maneno yenye maana moja yaani Public na Civil servant bila kuangalia context( au Muktadha )
Nilijua umekuja na ufafanuzi wa kisheria kumbe maushuzi tu ya Lumumba,sijui hata umeandika utumbo gani
 
Hata hivyo sio dhambi kwa raia wa Tanzania kuteuliwa katika nafasi yoyote ya utumishi wa umma.
mfano. Hassani Ngoma alitokea sekta binafsi, Godwin Gondwe, n. k..... orodha ni ndefu.
 
Siku hizi hakuna kinacholipa Tanzania kama kusifu, kupongeza, au kuunga mkono matendo ya mh. Rais. Lakini pia hakuna biashara mbaya kama kukosoa, kushauri au kutoa mawazo mbadala kwa matendo ya mh. rais. Kazana brother wenzako they are somewhere now including Bashiru.
 
Nina uhakika 100% hakuna sheria itakayosema civil services iache kutekeleza ilani ya uchaguzi ndio jukumu lao no 1 hilo kwa serikali ya chama chochote.

The role of civil service is to administer nothing else.
well kuna sheria tena nyingi tu ambazo hazifingamani na ilani.
wala hazi state kuwa ilani ifuatwe. not one that i recall of.
sheria za kazi zilitungwa as independent na core rules without kufungamana na upande wa chama.
is why hakuna siasa kwenye sheria za kazi. na mfanyakazi akijaribu kuleta siasa kwenye kazi sheria zita mletea shida.
maybe awe ni kiongozi mkubwa.
 
Si ndio maana kuna uchaguzi nani kabishia hilo.

However katika kipindi cha chama husika kuongoza serikali, priority ya civil service ni ku-implement ilani ya chama hilo ndio jukumu lao kuu.
Kazi ya kutimiza ilani ya vyama ni kazi ya viongozi wa kisiasa.

Civil servants hawapaswi kujihusisha na siasa.

Wao wana wajibu wa kutimiza majukumu yao anuai kama ilivyo tanabahiwa kwenye mikataba yao.

Ni ujinga wa viongozi wachache kufikilia ni kazi ya civil servants kutembea na ilani ya chama.

Sehemu ilani ya chama tawala kuongoza ni kwenye nafasi za kisiasa kama bunge, wabebesheni hao ma ilani yenu hayo.

Mwalimu, daktari, hakimu utampa ilani ya nini hasa? Maana hatutoi huduma kwa kubaguana kisiasa.
 
well kuna sheria tena nyingi tu ambazo hazifingamani na ilani.
wala hazi state kuwa ilani ifuatwe. not one that i recall of.
sheria za kazi zilitungwa as independent na core rules without kufungamana na upande wa chama.
is why hakuna siasa kwenye sheria za kazi. na mfanyakazi akijaribu kuleta siasa kwenye kazi sheria zita mletea shida.
maybe awe ni kiongozi mkubwa.
AA8E19B7-E646-477A-A11A-C637DDCB61BE.jpeg

Hapo number kwenye policy implementation 4 maana yake ilani ya uchaguzi serikali ya chama tawala waliokuja nayo.

88355EE3-F54C-4F14-8750-11DDE88D6645.jpeg

Nyie watu inabidi mtafute elementary books za siasa muelewe principles behind ya sheria kutokana na kazi za civil services.

Hizo ni administrative laws lakini there is a philosophy behind those laws. Wanatakiwa kuwa neutral kwa sababu serikali moja ikitoka nyingine inakuja na mipango yake na jukumu lao ku implement hiyo ilani mpya.

Futa kichwani kwako Bashiru kama bado ni katibu mkuu wa CCM. Sasa hivi hana nafasi ya chama ni head of civil services na moja ya majukumu yake ni ku-implement ilani ya chama kilichopo madarakani.

Ikitokea miujiza 2025 CDM ikashinda huyo raisi wao akiamua kumuacha Bashiru kama katibu mkuu kiongozi basi atakuwa na jukumu la ku implement ilani yao that is what the law implies by being neutral.

Ebu someni vitabu vya siasa ata vya A’level sio kukariri sheria za administration bila ya kuelewa mantiki zake.
 
Kazi ya kutimiza ilani ya vyama ni kazi ya viongozi wa kisiasa.

Civil servants hawapaswi kujihusisha na siasa.

Wao wana wajibu wa kutimiza majukumu yao anuai kama ilivyo tanabahiwa kwenye mikataba yao.

Ni ujinga wa viongozi wachache kufikilia ni kazi ya civil servants kutembea na ilani ya chama.

Sehemu ilani ya chama tawala kuongoza ni kwenye nafasi za kisiasa kama bunge, wabebesheni hao ma ilani yenu hayo.

Mwalimu, daktari, hakimu utampa ilani ya nini hasa? Maana hatutoi huduma kwa kubaguana kisiasa
Nenda kasome siasa kwanza apparently huijui; soma post ya juu nimeelezea hayo maelezo yako.
 
View attachment 1713831

Hapo number kwenye policy implementation maana yake ilani ya uchaguzi serikali ya chama tawala waliokuja nayo.

View attachment 1713832

Nyie watu inabidi mtafute elementary books za siasa muelewe principles behind ya sheria kutokana na kazi za civil services.

Hizo ni administrative laws lakini there is a philosophy behind those laws. Wanatakiwa kuwa neutral kwa sababu serikali moja ikitoka nyingine inakuja na mipango yake na jukumu lao ku implement hiyo ilani mpya.

Futa kichwani kwako Bashiru kama bado ni katibu mkuu wa CCM. Sasa hivi hana nafasi ya chama ni head of civil services na moja ya majukumu yake ni ku-implement ilani ya chama kilichopo madarakani.

Ikitokea miujiza 2025 CDM ikashinda huyo raisi wao akiamua kumuacha Bashiru kama katibu mkuu kiongozi basi atakuwa na jukumu la ku implement ilani yao that is what the law implies by being neutral.

Ebu someni vitabu vya siasa ata vya A’level sio kukariri sheria za administration bila ya kuelewa mantiki zake.
nimesoma ulichoandika. but my question is ilani inasaidia nn kwenye utumishi wa umma? does it increase productivity yoyote?
ilani ina add kitu gani kwenye utumishi wa umma?
 
Majukumu ya utumisha wa umma ni nini? tuanzie hapo.
 
Ni namna gani ilani ya chama kinachoongoza serikali inatekelezwa?
Watumishi ni watendaji, ni kazi yenu kutoa miongozo inayotimiliza matakwa ya ilani zenu na sio kuwatwisha watumishi siasa hiyo ni kazi yenu haswaa.

Ilani zibaki mifukoni mwenu huko
 
You are getting there, walau unakubali civil servants wanajukumu la ku-execute ilani ya chama tawala.

Mtumishi wa kawaida wa umma wala atakiwi kuijua ilani ya chama tawala. Hiyo ni executive duty ambayo inaangukia kwa katibu mkuu na wataalamu wake wizarani kwenye kutengeneza strategy ya kufikia hayo mafanikio, huko chini wao wanatakiwa kufanya implementations tu.

Kwa ivyo uozo wa kuto kutekelezeka kwa ilani kwa ufanisi unaanzia na kuishia kwa katibu mkuu wa wizara he or she is the top manager kama kwenye kampuni therefore uzembe unaweza kuwa poor control measures, ajali ilani ya chama, poor supervision, poor communication, poor implementation of strategy which is not clear or simply incompetent staff huko chini.

Nadhani unaweza kuona kwa muktadha huo katibu mkuu wa wizara lazima awe na uzoefu wa kufanya kazi serikalini na awe nauelewa mpana wa maswala ya management ili mambo yaende vizuri.

Can you also see why Magufuli kamteua Bashiru kama mambo anadhani ayaendi vizuri, ili akabadili attitude za makatibu wakuu wanaofanya kazi kwa mazoea huko mawizarani katika harakati zake za ku push agenda yao iliyowapa nafasi ya kuongoza nchi.
 
Mtumishi akienda kwenye siasa utumishi unakoma kwa sheria za utumishi wa umma.
Hivyo ninamashaka na utumishi wake wa umma mimi binafsi.

Huyu alipoteza utumishi wake kwa kuvaa kofia za siasa
 
Na akirudi kwenye utumishi kofia yake ya siasa inakoma.

Hakuna sehemu kwenye sheria inayosema you can’t switch back and forth isipokuwa uwezi kuvaa kofia mbili kwa wakati mmoja.
 
Kwani katibu mkuu wa ccm ni nani?
Katibu mkuu wa CCM ni mtendaji wa chama, hakuna sehemu inayosema mwanasiasa awezi kufanya kazi ya utendaji akipata nafasi (considering some post raisi anaweza teua) isipokuwa ukishateuliwa katika hizo nafasi utakiwi tena kuwa upande wa siasa (basically kuonyesha upendeleo wa chama fulani publicly maana in reality civil servants wengi wanamitazamo yao ya kisiasa privately).

Kwa ivyo kukata mjadala short kwa mujibu wa katiba raisi anamamlaka ya kuteua civil servants. Na kwenye katiba hakuna criteria ya experience kwenye uteuzi, ata kama kuna sheria inasema otherwise katiba ndio sheria mama inayofuatwa, kwa huo uteuzi ni legit by law.

Swala la msingi kuteuliwa kwa Dr Bashiru sio la kisheria per se, hoja je ana competent skills za hiyo nafasi kubwa ivyo?

Time to run errands laters 👋
 
Serikali ni executive branch kama hujui ambayo inaongozwa na raisi akisaidiwa na baraza lake la mawaziri; sasa jiulize hao watu agenda yao nini zaidi ya kutimiza ilani yao ya uchaguzi katika muda wao.

Tatizo lenu mnasoma sheria husika na miongozo yake without understanding the principles and aims behind particular laws.
Kwani ilani ailikubali nani? Walichaguliwa nanani?
 
Naona kujadili mambo yanayoamriwa na kiongozi wa Nchi iliyoko Afrika chini ya jangwa la Sahara ni kukosa majukumu!

Maana akiamua jambo, analifanya, haya 'wakereketwa' wa Sheria na katiba na haki za binadamu mnazua hoja, wakati mnaendelea kujadili yeye anafanya mambo mengine..
 
Back
Top Bottom