Chama tawala ndicho hutoa mwelekeo wa nchi kila eneoKwakweli safari hii nchi imepatikana , kikwete ndiye aliye tuletea matatizo makubwa nchi hii?
serikali ya CCM ndio inawalipaKwani hao watumishi wameajiriwa na wanalipwa na CCM?.
Umenena huu ndio uzuri waJF.Wafanyakazi hawakuajiriwa kwa ilani ta ccm. wana job description na mikataba ambayo wali sign.
hakuna mahali kwenye job decription waliandikiwa wafuate ilani.
wafanyakazi waendelee kufanya kazi kwa kufuata job decription na sheria za nchi
serikali inayo walipa ni serikali ya watanzania. sio serikal ya ccm. ccm haina hati miliki ya serikali au nchi hiiserikali ya CCM ndio inawalipa
Hakuna serikali ya ccm inayolipa watumishi wa umma bali inalipa viongozi na watumishi wa chama wa chama cha mapinduzi ikiongozwa na mwenye kiti wa chama katibu na wasemaji pamoja na wenyeviti wa chama wilaya na mikoa na hao watumishi wa chama wanalipwa na chama kutoka kwenye pesa zinazo tokana na miradi ya chama pamoja na vyanzo vingine vya mapato vya chamaserikali ya CCM ndio inawalipa
Upo sahihi,,kwa mujibu wa katiba na sheria za utumishi wa umma,,ili upewe nafasi ya juu ya kiutendaji inatakiwa uwe umehudumu kwenye utumishi wa umma kwa miaka kadhaa,,sio kuhudumu kwenye chama,,hii inatoa nafasi na uhalali wa mtumishi kuhudumu hata pale chama pinzani kikichukua dola.Hivyo katiba imesema anatokana miongoni mwa watumishi wa umma, sio watumishi wa chama tawala, vinginevyo katiba irekebishwe!
Sehemu gani ya katiba imeeleza hayo? Tuanzie hapo kwanza.Hivyo katiba imesema anatokana miongoni mwa watumishi wa umma, sio watumishi wa chama tawala, vinginevyo katiba irekebishwe!
Si ndio maana kuna uchaguzi nani kabishia hilo.Wana legitimate ya miaka 5 tu. Chama chochote kitakachojidhatiti chaweza kuwa tawala.
Imbecile!
Serikali ni executive branch kama hujui ambayo inaongozwa na raisi akisaidiwa na baraza lake la mawaziri; sasa jiulize hao watu agenda yao nini zaidi ya kutimiza ilani yao ya uchaguzi katika muda wao.hapo kwenye jukumu la public servants ni ku serve under matakwa ya serikali husika. si chama.
sasa hapa ulivyo andika ni kama chama automaticaly kina overide even taratibu za kisheria za public servant.. kwamba wanatakiwa wafuate ilani.
this is bullshit
Nina uhakika 100% hakuna sheria itakayosema civil services iache kutekeleza ilani ya uchaguzi ndio jukumu lao no 1 hilo kwa serikali ya chama chochote.speaking of agenda. you do realize kuna katiba, kuna sheria zingine ndogo zinazosimamia utumishi wa umma.
even if they have agenda, they are forced kucheza pale pale kwenye sheria za utumishi.. lakin kabwe.. ilani ya chama si sheria.. si muongozo kazi.
otherwise labda watumie mabavu. ila ilani doesnt add anything to utumishi wa umma.