Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 #1 Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dkt. Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dkt. Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,110 Apr 7, 2021 #2 Hana Jimbo huyo mwamba.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,239 Apr 7, 2021 #3 Haha nasema ukweri kutoka moyoni Bashiru anafuraha kweli-kweli
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,446 Apr 7, 2021 #4 Mmawia said: Wakuu wale wanao jua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya bunge ukifuatilia bunge linavyo enda.View attachment 1745669 Click to expand... πππππππ Mmawia kama Mmawia. Your browser is not able to display this video.
Mmawia said: Wakuu wale wanao jua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya bunge ukifuatilia bunge linavyo enda.View attachment 1745669 Click to expand... πππππππ Mmawia kama Mmawia. Your browser is not able to display this video.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,682 Reaction score 16,247 Apr 7, 2021 #5 Kafedheheshwa sana
jooohs JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 3,241 Reaction score 12,736 Apr 7, 2021 #6 Jana bungeni alikuwa na furaha ya ajabu muda wote kicheko ,meno yote njee
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 Thread starter #7 Mailman said: Hana Jimbo huyo mwamba. Click to expand... Jimbo lake ni chamwino
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 Thread starter #8 jooohs said: Jana bungeni alikuwa na furaha ya ajabu muda wote kicheko ,meno yote njee Click to expand... Umeonaeeeeee?
jooohs said: Jana bungeni alikuwa na furaha ya ajabu muda wote kicheko ,meno yote njee Click to expand... Umeonaeeeeee?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,341 Reaction score 88,511 Apr 7, 2021 #9 Hapo tunasema moja haikai wala mbili ,silencer ipo juu ukishindwa kubalance gari inazima hahahaaa.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 Thread starter #10 ki2c said: Kafedheheshwa sana Click to expand... Vinginevyo angelituumiza sana
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 Thread starter #11 mama D said: Mmawia kama Mmawia Click to expand... Watu wanaitaga kuwa MAJUTO NI MJUKUU
U Uchiwa nghambalu Member Joined Aug 28, 2020 Posts 51 Reaction score 102 Apr 7, 2021 #12 ki2c said: Kafedheheshwa sana Click to expand... Mmawia ni mtu gani?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 Thread starter #13 goodluck5 said: msukule wa jiwe Click to expand... Kati ya watu wanao sikitika sana kwa kuja kwa corona hapa nchini basi ni huyu
goodluck5 said: msukule wa jiwe Click to expand... Kati ya watu wanao sikitika sana kwa kuja kwa corona hapa nchini basi ni huyu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Apr 7, 2021 Thread starter #14 Daudi Mchambuzi said: Haha nasema ukweri kutoka moyoni Bashiru anafuraha kweri-kweri Click to expand... Au naongopa ndugu zangu?
Daudi Mchambuzi said: Haha nasema ukweri kutoka moyoni Bashiru anafuraha kweri-kweri Click to expand... Au naongopa ndugu zangu?
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,446 Apr 7, 2021 #15 Mmawia said: Watu wanitaga kuwa MAJUTO NI MJUKUU Click to expand... Ukiona mafanikio ya mtu, pesa, mali au ukaribu wake na watu flani unambadilisha tabia yake na ujue kabisa huyo mtu hafai
Mmawia said: Watu wanitaga kuwa MAJUTO NI MJUKUU Click to expand... Ukiona mafanikio ya mtu, pesa, mali au ukaribu wake na watu flani unambadilisha tabia yake na ujue kabisa huyo mtu hafai
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,996 Reaction score 69,371 Apr 7, 2021 #16 Daudi Mchambuzi said: Haha nasema ukweri kutoka moyoni Bashiru anafuraha kweri-kweri Click to expand... Msemakweli Ni Mpenzi Wa Mungu. Anawaza Kuuza Ndizi Zake Kemondo Pumzika Jiwe Umeacha Kisanga Huku ππππ
Daudi Mchambuzi said: Haha nasema ukweri kutoka moyoni Bashiru anafuraha kweri-kweri Click to expand... Msemakweli Ni Mpenzi Wa Mungu. Anawaza Kuuza Ndizi Zake Kemondo Pumzika Jiwe Umeacha Kisanga Huku ππππ
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,682 Reaction score 16,247 Apr 7, 2021 #17 Uchiwa nghambalu said: Mmawia ni mtu gani? Click to expand... hata sijui,ndugu
jooohs JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 3,241 Reaction score 12,736 Apr 7, 2021 #18 Msela wake mzee wa mavieite naona kashakubaki kwenda na mdundo wa maza kishingo upande. Hata ukatibu tarafa anaweza kuupokea kwa mikono miwili na kicheko juu
Msela wake mzee wa mavieite naona kashakubaki kwenda na mdundo wa maza kishingo upande. Hata ukatibu tarafa anaweza kuupokea kwa mikono miwili na kicheko juu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,539 Reaction score 48,850 Apr 7, 2021 #19 Weka na ya Mbowe akiwa Dubai.
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,881 Reaction score 5,021 Apr 7, 2021 #20 Mmawia said: Wakuu wale wanao jua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya bunge ukifuatilia bunge linavyo enda.View attachment 1745669 Click to expand... Jamaa kapewa bonge la dimosheni! Sasa hivi yupo sawa na Kibaji, babu Tale, msukuma, Jah pipo .....! Atazoea tu
Mmawia said: Wakuu wale wanao jua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha. Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya bunge ukifuatilia bunge linavyo enda.View attachment 1745669 Click to expand... Jamaa kapewa bonge la dimosheni! Sasa hivi yupo sawa na Kibaji, babu Tale, msukuma, Jah pipo .....! Atazoea tu