Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,656
Kwa mtazamo wangu.
Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata.
Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
Amerudi nchini na baada ya miaka mingi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Amekuwa kimya kabisa kuhusu haya yanayoendelea ilihali anafahamu msimamo wa mikataba ya Kimataifa kuhusu mauaji ya kimbari na kuhusu uchezeaji wa mifumo ya demokrasia.
Kwa haya yanayoendelea nchini chini ya CCM ni wazi huyu mama hajali CV yake kuchafuka. Hakuna CCM aliye afadhali maana wanaamini tatizo ni Watanzania na siyo ujambazi wao
Uzi tayari