Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.

Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.

Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.

Lengo lilikuwa kumnyamazisha, amenusurika, anajua mpango mzima wewe una maslahi gani na kukaa kwake kimya? Pia nani atatuondoea sintofahamu hii kama si yeye kutueleza? Mimi nadhani umepotoka kama ni mshauri wa serikali waambie watueleze ukweli ambao tutaulinganisha na mazingira.
 
Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

Polisi wapanga kumhoji

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Suleiman Kova ametoa kauli inaonesha kwamba vyombo vya usalama vitamuhoji Dk. Ulimboka.

Kova ambaye alikuwa akizungumza na gazeti hili, lililotaka kujua msimamo wa vyombo vya usalama katika kulishughulikia suala la Ulimboka, hasa baada ya kurejea kutoka kwenye matibabu nchini Afrika Kusini, alisema kwamba taratibu za kipelelezi zitafuatwa.

Hata hivyo Kova alisisitiza kuwa; “watu wakipeleleza hawasemi ila tambua tu kwamba taratibu za upelelezi zitafuatwa.”

Tayari taarifa na mwenendo wa tukio zima zinaonesha pasipo shaka kuwa, Jeshi la Polisi katika taratibu zake sasa linafikiria kumuita na kumuhoji Dk. Ulimboka ili liweze kuondoa maneno ya kusikia sikia.
Kuhusu kutajwa tajwa kwa mtu anayedaiwa kuwa ni ofisa wa Usalama wa Taifa wa Ikulu, Ramadhan Ingondhur kuwa alihusika na njama za kumteka na kumtesa Dk. Ulimboka, Kova aliahidi kulizungumzia hilo siku ya Ijumaa.

Sasa hii Movie mimi binafsi sijaielewa!!!!!!!!

Huyu Huyu Afande Sele, alikanusha kuwa kusema kuwa Usalama wa Taifa hawahusiki,

Leo anakuja na Movie mpya kuwa Ijumaa atatoa tamko kuelezea kuhusu Usalama wa Taifa,

Je, atatoa taarifa tofauti na ile ya awali??

Mbona anakurupuka mtu mzima huyu mwenye heshima katika Jeshi la Polisi na taifa Tanzania???

Je, ijumaa atatoa taarifa ya vipi na ikiwa suala hili lipo Mahakamani?????? Au sheria inamruhusu yeye kutoa tamko kabla ya mahakama kusema???

:disapointed:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sikubaliani na wewe, ni lazima aseme ukweli ili isije ikatokea tukasikia tena kirahisirahisi kwamba Radhia Sweety ameuawa msitu wa pande na watu wa Ikulu, kwasababu tu huwa anachangia kwenye mijadala ya JF against Serikali
Kwa mtizamo wangu huyu jamaa hataweza kusema yaliyompata kwani atakufa kabala hajaseme, akitaka kujua watu anaopambana nao wana uwezo gani amuulize Mwakiyembe, kubenea, mwandosia; vilevile akumbuke ya akina Kombe, Sokoine, kolimba na yule polisi wa morogoro, nimesahau jina lake kidogo.
 
Huu pia ni muda mzuri wa DR. kutubu kwa MUNGU wake kwa roho zisizo na hatia zilizoangamia hospitalini kutokana na harakati zake.
 
Chonde chonde Ulimboka usijaribu kuharakisha siku yako ya mwisho kwa kuthubutu kushindana na kitu kinachoitwa SERIKALI. Utadhurika na hao wanaokupamba hutawaona ndugu yangu. Wewe rudi Muhimbili uendelee na kibarua chako ulichosomea badala ya kuhangaika na vitu ambavyo hutapata majibu yake kamwe. Kuhusu suala la maslahi na mazingira duni ya kazi ya madaktari, serikali itaangalia uwezekano wa kukuongeaea kamshahara kidogo kwa sharti kwamba hutatoa siri kwa wafanyakazi wenzako, sawa?
 
Kwa mtizamo wangu huyu jamaa hataweza kusema yaliyompata kwani atakufa kabala hajaseme, akitaka kujua watu anaopambana nao wana uwezo gani amuulize Mwakiyembe, kubenea, mwandosia; vilevile akumbuke ya akina Kombe, Sokoine, kolimba na yule polisi wa morogoro, nimesahau jina lake kidogo.

Inahitaji moyo sana mtu unawafahamu waliotaka kukuua halafu unaendelea kuishi nao. Yaani wao ndo vidume wamekunyamazisha kwa pesa

Halafu kama Dr. Ulimboka atafuata nyayo za homeboy wake Dr. Mwakyembe atakuwa hajafanya informed decision. Kwa maana ya kwamba tofauti na Dr. Ulimboka, Dr. Mwakyembe mpaka kesho hawajui waliomwekea sumu. Yeye Dr. Ulimboka anawajua

Ni vigumu kwa Dr. Ulimboka au watesi wake kuamini kwamba wataweza kusameheana. Hapo ndipo kifo hakitaepukika. Hata kama upande mmoja wapo utaamua kuishi nje ya nchi wataishi huko kwa hofu.
 
Lengo lilikuwa kumnyamazisha, amenusurika, anajua mpango mzima wewe una maslahi gani na kukaa kwake kimya? Pia nani atatuondoea sintofahamu hii kama si yeye kutueleza? Mimi nadhani umepotoka kama ni mshauri wa serikali waambie watueleze ukweli ambao tutaulinganisha na mazingira.

Kwahyo akiongea hicho unachotaka aongee ndo ukoo wenu wote mtajikuta mwaishi ''HEAVEN" na wote mtageuka kuwa mamilionea.. eti eehh.!!??
 
Dr ulimboka angalia sana! Kama hautaki kuzumza kaa kimya tu! Haya mambo ya kusema ukweli unaujua halafu unasema nitatoa tamko siku yeyote au unaweka mazingira ya kukaa mezani kula mrungula?
 
Tatizo la nchi yetu wakishajua udhaifu wako tu baaasi,nina wasiwasi na Dkt Ulimboka wasije wakamnunua akapindisha ukweli! Nyuma ya pazia hatujui kinachoendelea ingawa tuna hamu kweli ya kuujua ukweli!
 
Kwahyo akiongea hicho unachotaka aongee ndo ukoo wenu wote mtajikuta mwaishi ''HEAVEN" na wote mtageuka kuwa mamilionea.. eti eehh.!!??

Wewe unapag suala muhimu kama la Dr. Ulimboka na pesa? Si shangai unashadidia sakata hii kwa kufikiria pesa kwani ndiyo mwisho wa kuwaza kwako. Pesa ni matokeo siyo msingi. LA ULIMBOKA MNALO
 
Chonde chonde Ulimboka usijaribu kuharakisha siku yako ya mwisho kwa kuthubutu kushindana na kitu kinachoitwa SERIKALI. Utadhurika na hao wanaokupamba hutawaona ndugu yangu. Wewe rudi Muhimbili uendelee na kibarua chako ulichosomea badala ya kuhangaika na vitu ambavyo hutapata majibu yake kamwe. Kuhusu suala la maslahi na mazingira duni ya kazi ya madaktari, serikali itaangalia uwezekano wa kukuongeaea kamshahara kidogo kwa sharti kwamba hutatoa siri kwa wafanyakazi wenzako, sawa?
e. Kuhusu suala la maslahi na mazingira duni ya kazi ya madaktari, serikali itaangalia uwezekano wa kukuongeaea kamshahara kidogo kwa sharti kwamba hutatoa siri kwa wafanyakazi wenzako, sawa?
Siri kwmba serikali imehusika, au siyo? Siku zote nilidhani wewe ni kibaraka wa serikali au ndo kama wanvyosema damu ni nzito kuliko maji hivyo umeanza kuropoka?
 
Lengo lilikuwa kumnyamazisha, amenusurika, anajua mpango mzima wewe una maslahi gani na kukaa kwake kimya? Pia nani atatuondoea sintofahamu hii kama si yeye kutueleza? Mimi nadhani umepotoka kama ni mshauri wa serikali waambie watueleze ukweli ambao tutaulinganisha na mazingira.

Kwahyo akiongea hicho unachotaka aongee ndo ukoo wenu wote mtajikuta mwaishi ''HEAVEN" na wote mtageuka kuwa mamilionea.. eti eehh.!!??
 
ulizaliwa peke yako na utapokufa utakufa peke yako, usipoteze nafasi yako na muda wako kwa ajili ya kutetea watu ambao watakuja kukugeuka baadae, yu wapi Gadaf aliyeijenga libya na kuwapa kila k2 walibya? Ulimboka kaa na familia yako utulie achana na hayo mambo, Afrika hakuna shujaa.
 
Huyu nae ni mpuuzi tu, anatafuta umaarafu sasa. Kila siku analeta longo longo tu. Bila shaka hajui hata walio mpa kichapo.
 
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.

Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.

Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.

Ni heri vita inayokupa uhuru kuliko amani inayopumbaza, msingi aliokuwa anapigania Dr. Ulimboka na wenzie ni huduma za afya bora kwa watanzania, kitu ambacho hakijawa achieved, na ni uoga 2 strike someone from behind (kwa watesi wake) so aluta continua
 
sinema ya ulimboka part 2, je ni mambo mangapi yatapitishwa kimwa kimya apitishwa huku wananchi wakikimbilia part 2 ???????!!!!!!!!!!!!
 
Huyu nae ni mpuuzi tu, anatafuta umaarafu sasa. Kila siku analeta longo longo tu. Bila shaka hajui hata walio mpa kichapo................

Vipi unawajua? kilichofanyika siyo upuuzi, siyo lazima kulamba watu miguu hata pasipostahili.

Llet the truth prevail, hakuteswa kwa kufanya kitendo cha kipuuzi, na hata kama ingekuwa hivyo due process of the law ingetumika ili afunguliwe mashtaka na siyo kilichotokea.

Nina masikitiko kama level ya uelewa wetu (thinking capacity) ni km hii, aibu tupu
.
 
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.

Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.

Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
...............

Tehe! teheh! you are right, huyu awe makini sana. Vinginevyo mh!
 
Back
Top Bottom