Dk Ulimboka, kwanini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?

ungekuwa na akili ungeitaka sirikali ikamate Rama na team yake kabla ya kumsumbua Dkt
 
Dk ulimboka,kwa nini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?au na wewe umeshakuwa fisadi?nani ataona tena matatizo ya hospitali zetu?umepewa kiasi gani mpaka umesahau mateso uliyopata kule mabwepande?
View attachment 63502
ulianza kutetea hawa waliolala chini
View attachment 63504
na hawa pia
View attachment 63505
hata hawa pia!
View attachment 63506
mkaanza mijadala ya kututetea
View attachment 63507
wakaanza mambo yao,utafikiri wanatibiwa ulaya!
View attachment 63508
wakakufanya hivi!
View attachment 63509
na pia ulionekana hivi!
View attachment 63510
hospitali ulizokuwa unatetea zikashindwa kukutibu,na wwe ukapelekwa ulaya!
View attachment 63511
ukarudi hivi!
Nakuuliza tena umepewa nini huko ulaya?mbona umewasaliti wenzako?na sisi maskini kwa ujumla?
Nimesikitika sana!na kama wamekupa hela ujasiri wako uliouonyesha hauna maana asilani,na bora ungetulia kimya tangu mwanzo!
Habari...., Mh uandishi wako inaonesha uelewa wako unashida kidogo maana hata mipaka ya mabara HUIJUI,tuachane na hilo tuje kwenye kwenye mada yako,
Dunia nzima inajua jinsi namna Dr Ulimboka alivyojitoa kufanya kazi kubwa ya kupigania wanyonge,mpaka DHAIFU na MAGENGE yake wanatengeneza na kutekeleza mkakati wa kumteka na kumtesa.ni dhahili alifanya sehemu kubwa zaidi ya ilivyo mpasa,
SWALI Wewe unaelalamika,mnyonge uliekuwa ukipiganiwa umefanya nini?
Umetimiza wajibu wako? au we kazi yako ni kukaa chumbani na kuandika hapa JF tu?
kuwa mwelewa na mwenye kupembua mambo kwa mantiki na sababu za kina,
1/Dr Ulimboka alisha ongea mara nyingi
a/kuhusu watu waliomteka na kumtesa tukio lote kwa ujumla huku akiwa kwenye mateso makubwa alivyorudi alishukuru wa TANZANIA na MADAKTARI wenzie kwa kumuombea na kumchangia kwa namna tofauti matibabu yake hapa na nje ya nchi.
b/ Alisha mataja na namba yake ya SIMU na anapofanya kazi, Alie mwita na huko ndo akatekwa(Pamoja na kuwa alitumia jina tofauti ila baadae kubenea kwa umahiri na ujasiri wake KUPITIA mwanaHALISI aliweka mambo yote hadharani).
JIPIME KWANZA: i/Wewe kama mnyonge,Mtanzania ama DAKTARI Umefanya nini (KWENYE MGOMO) kuhakikisha una sapoti mapambano dhidi ya udhalimu na ufedhuli unaofanywa kwa wanyonge nchini,
ii/ kuna madaktari zaidi ya 300 wamesimamishwa,Na huu ni makakati wa madhalimu hao hao na wewe unalijua hili wazi wali si siri tena cha kushangaza haya yote wajifanya huyajui kuwa makini Mh TAO BOLITI KWANZA KWENYE JICHO LAKO NDO UTAFUTE KIBANZI KWA MWENZIO tena uwe na aibu.
HUNA hoja ulikuwa umekaa tu unasubiri mtu alie kuwa mahututi apone alafu aje kukupigania wewe huu ni UJINGA NA UPUMBAVU uliopitiliza.
 
Unachanganya mambo,Dr.ulimboka sio daktari wa muhimbili wala muajiriwa wa serikali,madakatari wa muhimbili ndio wasaliti,mbona ulimboka alipopata matatizo wao wakarudi kazini badala ya kujitoa mhanga kama alivyojitoa yeye kuwatetea?acha ulimboka apige zake kimya tu
 
Yangu macho!
 
Aafu tafuteni habari nzuri ili muweze kueleweka. Dr ulimboka siyo mwanzilishi wa mgomo, alikuja na kigwangalah kwenye kikao ndipo akapewa uenyekiti. Hapo mgogoro ulishafika zaidi ya siku tano. Baada ya madaktari kuona wanachopata kinawatosha na kurudi kazini, sasa amtetee nani? Awe peke yake? Kwani umeona madaktari wanalalamika kwamba hawapi ushirikiano? Hii nchi kila mtu angekuwa anajua katiba na haki zake wote tungekuwa wanaharakati na kuingia barabarani ila kwa sababu ni wanafiki, tunapenda kuandika na kuongea kuliko kutenda tunaendelea kunyonywa na kupumbazwa kila siku. Pumbaf zetu watanzania
 
Tatizo letu ni kusubiri mtu mmoja apulize filimbi. Each-one of us should become a whistle blower, Kila mtu mzima anao uwezo wa kudai haki na kuisimamia, yanini kumbana Dr Uli tu? come on...... give him a break. Kwa aliyoyapata na hatimaye kutupwa Mabwepande, kama tungekuwa makini nchi nzima tulipaswa kusimama kumtetea kwa nguvu, siyo kubaki nyumbani tukipiga kelele kwenye vitarakishi na kuishia kumsindikiza na kumpokea kwa mabango. Hayo ni maneno matupu yasokuwa na tija!!!!! In short, sisi ndo tuliomsaliti Dr wala visiletwe visingizio kuwa inawezekana amepewa "chochote".
 
Usifanye mchezo na mabwepande halafu si nasikia kina igondhu wamevunja korodani sidhani kama kitu mnara nasikia mtalimbo doro,ni kweli?
Sijui tuwatanzania wa aina gani hata kama masuala ya msingi kama haya ya wapiganaji kama Dr kudhihakiwa na watanzania na nina wasiwasi na kwamba miongoni mwao ni wale wanaotetewa naye kwa mpango fulani?

Hebu tujiulize swali jepesi tu, je kuna mtanzania aliye katika ajira huru au ya binafsi ambaye anatendewa yote mema na viongozi au serikali ya nchi hii?

Mtakumbuka sumaye akiwa waziri mkuu allishawahi kusema akiwa moshi kwamba ili ufanikiwe kibiashara lazima uwe CCM? Tulishawahi kujiuliza hii ina maana gani? Na tulichukuwa hatua gani?

Hivyo mimi naamini miongoni mwetu kama watanzania wadhaifu ni wengi mno! Hatuwezi kugombea haki zetu na ndio maana ni rahisi tu kutishwa katika masuala yetu ya msingi na tukaingia mitini.

Naamini ingekuwa bora pale tunapopata majasiri wachache kama Dr kuwapongeza kwani ukombozi wa kweli wa watanzania unawategemea wao pamoja na uchache wao, kuwakatisha tamaa kama tufanyavyo ni kama kupenda maisha ya gerezani yaliyopelekewa na hukumu isiyo sahihi.

Tuamke jamani, Tanzania yenye maendeleo inawezekana.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mamamamaeee zetu wabongo wallah! hivi vichwa aliyeturoga alitumia zindiko la ajabu, yaaani majitu na akili zetu na elimu zetu tumekalisha kengele zetu zinaning'inia hatufanyi lolote kupambana na situation hii pamoja na taarifa yote aliyotoa Ulimboka na nyinginezo badala yake tunakuja hapa kubwabwaja kumlaumu mtu mmoja ambaye kwa nafasi yake ametenda zaidi ya kawaida.Shame on you, shame on me SHAME ON US! Once again our oppressors have emerged victors!
 
...umejifungia na mke wako chumbani mmezima na taa,upo ndani ya blanket,nje umefunguli mbwa wakali na kuna uzio wenye geti kali..
Unawasha ka PC kako na jina lako hatulijui hatapicha yako haippo.,.

Wamuamuru DK. aendelee hatarisha uhai wake na familia yake...

Nakushauri.. Toka hapo kwako saasa hivi nenda TBC waambie wewe ni activist unataka endelea alipoachia DK.. Angalau tukufahamu

Positive
 
huu ni udaku sasa,unachokitaka ni story ya kuuzia gazeti tu!

Swali la kujiuliza ni kuwa huyu mleta uzi amechangia kitu gani ili kufanikisha walichokuwa wakipigania madaktari wetu? Na pia anajua kwa undani (kama anavyojua Dkt Ulimboka mwenyewe) juu ya kilichomkumba mpaka anaenda kuokotwa msitu wa pande? Naamini kilichomkuta Dkt Uli kingemkuta huyu mtoa mada hivi sasa angeshageuka samadi!
 
Watu hatuja mpa support ya kutosha,kama watu tungeandamana siku ametoka mabwepande ingeleta uzito.
 
Nilisema watu mtaachwa keepleft hamkuamini.YOU SEE NOW?

manina zako! Badala ya kufikiria kila mmoja adai haki zake nyie mnasubiri ulimboka aitishe press conference, mlikubaliana naye wakati wa madai? Wale wamama waliandamana peke yao wanaume na kengele zenu zinabembea tunapiga kelele kwenye komputa.
 
Usifanye mchezo na mabwepande halafu si nasikia kina igondhu wamevunja korodani sidhani kama kitu mnara nasikia mtalimbo doro,ni kweli?
We kila kitu unasikia tu...dizaini umbea ni jadi yako...karibu kwetu Arabuni tunatafuta watu nyie ili msimulie mengi mtakayoyasikia..!!
 
Back
Top Bottom