Dk Ulimboka, kwanini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?

Mnataka muuze magazeti kwa gharama ya uhai wa Dr. Ulimboka? Bila shaka kwa sasa anahitaji timing kwenye kila atakachokifanya vinginevyo ndio atajua ukweli wa sisi wote tunaojifanya tuko pamoja na yeye wakati tuna malengo yetu tofauti na tunachokiongea
 
ulimboka si mjinga adanganyike kirahisi ivo. anaendelea kupigania afya yake kwanza.nyie mnaodai haki vyumbani msimdanganye uli hata kdg.
 
file_show_image.php


sasa mkuu naona wewe unataka dr ulimboka hawe huku! kama wewe nawe unauchungu sana na hayo yaliko anzia jito kize basi kuonesha udhubutu, dr uli yeye katuanzishia njia sasa tumpe support, embu anza kwa kuonesha harakati zako kwanza!

duh! ila raia inaonesha wameshazipotezea ishu za dr uli, mana mpaka sasa hata viewers 600 hawafiki, wakucomment hata 40, msilete tena habari za dr uli humu! tumezichoka
 
Mtoa uzi hii shughuli ni kupokezana kijiti na sio ya ulimboka tu! Mie mpaka naona aibu pale ulimboka alipokuwa umauti mauti lakini alikuwa jasiri kuwataja watesi wake! Jee wewe na mimi tulipokea kijiti au tulikiona ni chamoto! Si wakati wa kulaumiana bali kujiuliza jee nimeshika nafasi yangu?
 
Tangu mwanzo kabla hayajamtokea Uli alikuwa msaliti gizani na mazalendo mwangani, tukumbuke alikuwa anafanya majadiliano na Ramadhani AKA Abeid wakiwa wawili na usiku kwa akili ya kawaida kama kweli una wenzako mnaoshirikiana huwezi kuwa unafanya vikao vya siri peke yako, hapa inaonekana huyu jamaa anachoangalia yeye ni dili gani inamjia mbele na kwa hili jamaa ameisha chua chake amesepa hakuna cha uongozi wala kudai maslahi ya wagonjwa na Madr, kwanza inawezekana hayupo humu nchini.
 
Jamani kila mtu anaupenda uhai wake. Kwa kitendo alichofanyiwa sijui hata kama ni wewe ungekuwa na ujasiri wa kuendeleza mapambano. Tusubiri hiyo ripoti yao ambao hatujui itatoka lini tuone.
Ila tunaomba na kwenye hiyo ripoti watuambie yule rama aliyekuwa ni usalama wa taifa yuko wapi na alihusika vipi, manake naona kimya tu hutusikii chochote.
 
Dk ulimboka,kwa nini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?au na wewe umeshakuwa fisadi?nani ataona tena matatizo ya hospitali zetu?umepewa kiasi gani mpaka umesahau mateso uliyopata kule mabwepande?
View attachment 63502
ulianza kutetea hawa waliolala chini
View attachment 63504
na hawa pia
View attachment 63505
hata hawa pia!
View attachment 63506
mkaanza mijadala ya kututetea
View attachment 63507
wakaanza mambo yao,utafikiri wanatibiwa ulaya!
View attachment 63508
wakakufanya hivi!
View attachment 63509
na pia ulionekana hivi!
View attachment 63510
hospitali ulizokuwa unatetea zikashindwa kukutibu,na wwe ukapelekwa ulaya!
View attachment 63511
ukarudi hivi!
Nakuuliza tena umepewa nini huko ulaya?mbona umewasaliti wenzako?na sisi maskini kwa ujumla?
Nimesikitika sana!na kama wamekupa hela ujasiri wako uliouonyesha hauna maana asilani,na bora ungetulia kimya tangu mwanzo!
Kufa kufaana, si urithi viatu vyake wewe Kama unaona anafaidi!
 
Dr Ulimboka ndo nani? Aaah, kumbe yule wa mabwepande, anaogopa kurudi mabwepande second round
 
Dk ulimboka,kwa nini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?au na wewe umeshakuwa fisadi?nani ataona tena matatizo ya hospitali zetu?umepewa kiasi gani mpaka umesahau mateso uliyopata kule mabwepande?
View attachment 63502
ulianza kutetea hawa waliolala chini
View attachment 63504
na hawa pia
View attachment 63505
hata hawa pia!
View attachment 63506
mkaanza mijadala ya kututetea
View attachment 63507
wakaanza mambo yao,utafikiri wanatibiwa ulaya!
View attachment 63508
wakakufanya hivi!
View attachment 63509
na pia ulionekana hivi!
View attachment 63510
hospitali ulizokuwa unatetea zikashindwa kukutibu,na wwe ukapelekwa ulaya!
View attachment 63511
ukarudi hivi!
Nakuuliza tena umepewa nini huko ulaya?mbona umewasaliti wenzako?na sisi maskini kwa ujumla?
Nimesikitika sana!na kama wamekupa hela ujasiri wako uliouonyesha hauna maana asilani,na bora ungetulia kimya tangu mwanzo!

Wazalendo wa kweli tunajua maana ya bandiko lako hili la kipuuzi! Piga ua garagaza, lakini kawaambie waliokutuma kuwa Watanzania tumeamka!
 
Dr.Ulimboka amesha aidiwa Ubalozi anchosubiri UPEPO UPITE aapishwe. kwani Dr. Mwakyembe alikuaje? alipopewa Uwaziri wa Uchukuzi na mjadala wa afya yake akaufunga. Uroho wa Madaraka UTATUANGAMIZA WENGI

hili nalo neno......"uroho wa madaraka utatuangamiza wengi"
 
Mbona na nyie mlimsaliti uli ,hamkuendeleza mapambano aliyo anzisha. Usipende sana kufanyiwa kila kitu dai haki yako bila kumtegemea mtu.
 
Back
Top Bottom