Dk.Slaa: Tulishinda urais mwaka 2010

Dk.Slaa: Tulishinda urais mwaka 2010

Mwaka kipigo chake mtakimbiana na huyu mzee wenu andaeni pembasi kabisa make mtatikiswa kweli ccm ni chama cha watu wakati chadema chama cha kikabila na ubaguzi.

muulize makame kuhusu matokeo halisi ya 2010 .
 
Msalani ni shida tupu. Kwani kushinda urais lazma ushinde na ubunge na udiwani. Ndo maana nimekwambia wew ni mchanga wa kisiasa ila upo msukule lumumba hujijui.
 
Hata kwenye ubunge usalama wa taifa uliwasaidia? Mbona CHADEMA ilipata wabunge 23 tu? Uongo hauna marefu!

mahanga hakushinda , hata yule jamaa wa lugha chafu kigoma mjini hakushinda , orodha ni ndefu sana .
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kimesema kilishinda uchaguzi mkuu wa Mwaka 2010 chini ya mfumo wa vyama vingi.

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa,Ambaze pia alikuwa mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi huo,Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na Waandishi wa Gazeti la Mwananchi.

Source Mwananchi toleo la leo Jumamosi.

Hili lilikuwa wazi na kama siyo napoteza kumbukumbu WikiLes walivujisha hili sana!
Na huku tunakoelekea mafasadi hawana lao hata punje na hata wakitumia jeshi lote hawawezi kuzidi nguvu ya umma!
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kimesema kilishinda uchaguzi mkuu wa Mwaka 2010 chini ya mfumo wa vyama vingi.

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa,Ambaze pia alikuwa mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi huo,Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na Waandishi wa Gazeti la Mwananchi.

Source Mwananchi toleo la leo Jumamosi.

Why their not in white house?
 
Msalani ni shida tupu. Kwani kushinda urais lazma ushinde na ubunge na udiwani. Ndo maana nimekwambia wew ni mchanga wa kisiasa ila upo msukule lumumba hujijui.

ukifuatilia michango yake inatia kinyaa kama matapishi,hajui chochote,kama mtu kakosa hata akili ya kufikiria ID unadhani kichwani zitakuwepo ngapi
 
Mwaka kipigo chake mtakimbiana na huyu mzee wenu andaeni pembasi kabisa make mtatikiswa kweli ccm ni chama cha watu wakati chadema chama cha kikabila na ubaguzi.

hatuna muda wa vichaa kama wewe
 
Hiki chama cha masultani[CCM] ni walaghai na waongo,
mifumo inawasaidia kuiba kura!
 
Kwa swala la Zanzibar CUF inawezekana walishinda maana kule CCM na CUF nguvu zimelingana, lakini kwa upande wa Dr. Slaa kusema alishinda uraisi 2010 napata shida kuamini unawezaje kushinda ukiwa hujapata hata robo ya viti bungeni? inawezekana kweli?

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Sio swala la msingi Sana kwa kipindi huku lakini chadema walishinda uchaguzi huo kwa asilimia 64.
Aidha usalama wa taifa walishiri kubaka demokrasia na kuchagua kuwakandamiza wananchi wa taifa hili.
 
ukifuatilia michango yake inatia kinyaa kama matapishi,hajui chochote,kama mtu kakosa hata akili ya kufikiria ID unadhani kichwani zitakuwepo ngapi

Acha kutokwa Povu.

Unapoleta hoja kuwa umeshinda urais ila tume ya uchaguzi na usalama wa taifa wakachakachua.

Inatakiwa uwe na matokeo mengine tofauti na yale unayodhani sio sahihi.

Hata kama "sijui chochote", ila kuhusu hili hanidanganyi mtu. Slaa hakushinda urais wala hatakaa ashinde cheo hicho mpaka mwisho.
 
quote_icon.png
By rashidforeseer1
Msalani ni shida tupu. Kwani kushinda urais lazma ushinde na ubunge na udiwani. Ndo maana nimekwambia wew ni mchanga wa kisiasa ila upo msukule lumumba hujijui.

Sasa angepata wapi mawaziri?
 
Tatizo linakuja pale ambapo wabunge walichakachuliwa hata mh... Wa bunda hakushinda
 
Kikwete kata ya shayo iliyopo wilayan kasulu mkoa wakigoma vituo vyote vitano alipata kura 48. Na slaa 208.
 
Back
Top Bottom