ushauri wangu amrudishe kwa mwenyewe yule nanihii.
Silaa mungu akulinde akika maneno yako yamejaa busara na hekima kubwa,hakika unastahili kuwa rais ya nchi ya watu wajinga na wezi kama wanaosapoti chama cha mababu zetu ccm
ushauri wangu amrudishe kwa mwenyewe yule nanihii.
Hebu wekeni hayo matokeo yanayoonyesha ushindi wa Dr.Slaa 2010.
Huoni jamaa mvi zimemjaa kinoma!
Unacheza na kunusurika wewe!
Unataka kuniambia Jamaa amezeeka kuliko BABU?