Dk.Slaa: Tulishinda urais mwaka 2010

Dk.Slaa: Tulishinda urais mwaka 2010

Usalama ulimsaidia kikwete kushinda kumnusuru na aibu kwakuongoza kipindi kimoja na kuanguka vibaya na kuwa raisi wa kwanza tz tena msilamu kuongoza nchi kipindi kimoja tu. Kikwete alihaha akuomba nakuaidi atawaongeza mshahara tunajua kama msalini hujui wewe ni mchanga kwenye siasa subiri ukue utajua.

Hata kwenye ubunge usalama wa taifa uliwasaidia? Mbona CHADEMA ilipata wabunge 23 tu? Uongo hauna marefu!
 
Mlishinda kwa maneno weka mchaganuo wa kura jinsi mlivyoshinda, msidhani kila mtu ni mateka wa Chadema kila pumba inayosema na Dr.Slaa anaikubali bila ushahidi.

Kwani kosa la mleta mada hapo ni lipi mpaka umshambulie yeye binafsi? Kwako kila anaeleta mada inayohusiana na CHADEMA unamchukulia kuwa mfuasi wa CHADEMA? Mi mbona nimemuelewa vizuri tu,kwamba Dr.Slaa ameyasema hayo wakati anaongea na waandishi wa habari,tena kakupa mpaka source ya taarifa. Ni jukumu lako kutafuta source husika ili uone km kuna ushahidi unaotaka. Dr. Karume aliwahi kuiambia NEC ya CCM kwamba ameamua kuungana na CUF kwa manufaa ya Wazanzibar,na akawakumbusha juu ya ushindi wake ulivyokuwa,akiwa na maana kwamba hakuwahi kushinda uchaguzi bali mara zote ilitumika nguvu kumtangaza kuwa mshindi hivyo amechoka kuua watu,lkn NEC haikumtaka atoe ushahidi. Siku zote unapaswa kujadili hoja bila kuwa na upande,kwa kufanya hivyo utajifunza mengi hasa kwa yale uliyokuwa huyajui. Kumbuka CCM ina wenyewe,na wala sio wewe bali wewe ni wa CCM. Jifunze kuwa na fikra huru kabla hujawa great thinker.
 
Mkuu umeongea point sana, unafikiri hawafahamu ni ubishi tuu, waliambia wajibu hoja mitandaoni na mwenyekiti wao sasa hawana hoja wao wanajibu tuu.
 
Msalani wewe huwezi kujikomboa tena na usukule wa ccm labda atokee mchungaji mtumishi wa mungu akuombee ila hata hivo ni ngumu mana atakupata wapi mana kila cku unatimiza kazi za usukule wa ccm. Bahati mbaya msukule huwa hajielewaji maskini wa mungu. Yani hadi cku yake yakufa ifike aondoke zake. R.I.P ccm in 2015
 
Kwani kosa la mleta mada hapo ni lipi mpaka umshambulie yeye binafsi? Kwako kila anaeleta mada inayohusiana na CHADEMA unamchukulia kuwa mfuasi wa CHADEMA? Mi mbona nimemuelewa vizuri tu,kwamba Dr.Slaa ameyasema hayo wakati anaongea na waandishi wa habari,tena kakupa mpaka source ya taarifa. Ni jukumu lako kutafuta source husika ili uone km kuna ushahidi unaotaka. Dr. Karume aliwahi kuiambia NEC ya CCM kwamba ameamua kuungana na CUF kwa manufaa ya Wazanzibar,na akawakumbusha juu ya ushindi wake ulivyokuwa,akiwa na maana kwamba hakuwahi kushinda uchaguzi bali mara zote ilitumika nguvu kumtangaza kuwa mshindi hivyo amechoka kuua watu,lkn NEC haikumtaka atoe ushahidi. Siku zote unapaswa kujadili hoja bila kuwa na upande,kwa kufanya hivyo utajifunza mengi hasa kwa yale uliyokuwa huyajui. Kumbuka CCM ina wenyewe,na wala sio wewe bali wewe ni wa CCM. Jifunze kuwa na fikra huru kabla hujawa great thinker.

Soma posts zinazofuata za mleta mada ndipo utaijua rangi yake halisi na msimamo wake .
 
Hawa walaghai sijui vichwa vyao vinatumika kufugia nywele tu!
 
Msalani wewe huwezi kujikomboa tena na usukule wa ccm labda atokee mchungaji mtumishi wa mungu akuombee ila hata hivo ni ngumu mana atakupata wapi mana kila cku unatimiza kazi za usukule wa ccm. Bahati mbaya msukule huwa hajielewaji maskini wa mungu. Yani hadi cku yake yakufa ifike aondoke zake. R.I.P ccm in 2015
Kwahiyo usalama wa taifa waliiba na kura za wagombea ubunge wa Chadema?
 
Kaka wewe ni mchaga wa wapi?

Itakusaidia nini mkuu.
Cha Muhimu chambua mada ilioko mbele yako Ccm ilivokua inapitisha kanuni za kutunga katiba na kuamua robo tatu ya wajumbe wawepo ndipo hoja ipite hawakujua hio robo ni Ukawa?
 
Kanseli zinazo ongozwa na CDM hazifiki 9 ktk zaidi 136,Wabunge zaidi ya 200 CDM walipata 23 tu,huyu Mzinifu anazeeka vibaya.
 
We mburula soma gazeti la habari leo ndiyo useme haya unayosema nenda kwenye kijiwe cha magazeti pata nakala yako ya gazeti la leo halafu uone ulivyo mjinga na ukawa yako.

Habari leo gazeti la nani? Unadhani wataandika nini km c habari zinazofanana na za gazeti la Uhuru?
 
Soma posts zinazofuta za mleta mada ndipo utaijua rangi yake halisi na msimamo wake .

Siku zote yafaa kuijadili hoja kama ilivyo na sio kumwangalia mtoa hoja. Leo hii kuna miswada ya Prof. Lipumba inatumika ktk vyuo vyetu vikuu na hata kwenye rejea mbalimbali za wachumi wakiwemo na wapinzani wake wa kisiasa. Wanafanya hivyo kwa kuangalia mantiki na sio nani kasema. Kuna hoja nyingi sana humu JF tena zenye afya kwa Taifa letu lkn zinapuuzwa kwa sababu ya kumwangalia mtoa hoja ni wa upande gani! Naamini hili sio kusudio la jukwaa hili. TUBADILIKE!
 
Hata kwenye ubunge usalama wa taifa uliwasaidia? Mbona CHADEMA ilipata wabunge 23 tu? Uongo hauna marefu!

Siku ukitoka Chooni ndo utakuja na michango ya busara!wewe umesajiliwa tu na Nape ukiwa huna uelewa wa kitu chochote.unajua majimbo mangapi ambayo chadema ilidhurumiwa,achalia mbali unfair election.ungesema hayo kama kungekuwa na fair election,hayo majimbo ya Dar yenyewe hata hujui tumeyapata vipi.muulize Dr.Makongoro aliyekimbia na mabox ya kura.nenda kawaulize Sumbawanga,mtafute Makamba akueleze alivochakachua kura moja tu kumdhulumu Shilembi ubunge,unajua Zito aliuza majimbo mangapi? Toka chooni tukupe shule dogo
 
ccm ni chama cha walaghai na matapeli! yaliahidi maisha bora, yako wapi?utapeli na usanii tu!
 
Uchaguzi wa 2015 bado wewe. Mnasema uongo mpaka mnajichanganya wenyewe. Nenda kwenye website ya tume ya taifa ya uchaguzi utapata matokeo yote. Halafu uje utuambie huyo BABU alishindaje uchaguzi 2010.

Inawezekana alishinda.mbona maoni ya tume ya warioba mnayakataa hadharani sembuse matokeo ambayo hatuyaoni mtashindwa kuchakachua?
 
Siku ukitoka Chooni ndo utakuja na michango ya busara!wewe umesajiliwa tu na Nape ukiwa huna uelewa wa kitu chochote.unajua majimbo mangapi ambayo chadema ilidhurumiwa,achalia mbali unfair election.ungesema hayo kama kungekuwa na fair election,hayo majimbo ya Dar yenyewe hata hujui tumeyapata vipi.muulize Dr.Makongoro aliyekimbia na mabox ya kura.nenda kawaulize Sumbawanga,mtafute Makamba akueleze alivochakachua kura moja tu kumdhulumu Shilembi ubunge,unajua Zito aliuza majimbo mangapi? Toka chooni tukupe shule dogo

Ungeweka hayo matokeo yanyomuonyesha Slaa mshindi wa urais 2010 badala ya kuandika porojo mingi!
 
Inawezekana alishinda.mbona maoni ya tume ya warioba mnayakataa hadharani sembuse matokeo ambayo hatuyaoni mtashindwa kuchakachua?

Bora wewe hujaamini moja kwa moja kama wenzio waliotekwa kifkra na Mzee Slaa.
 
Mlishinda kwa maneno weka mchaganuo wa kura jinsi mlivyoshinda, msidhani kila mtu ni mateka wa Chadema kila pumba inayosema na Dr.Slaa anaikubali bila ushahidi.

umemimina mapovu mengi sana , lakini tunakuambia usubiri siku ambayo LEWIS MAKAME ATAKAPOKUJA KUMWAGA KILA KITU .
 
Back
Top Bottom